Nawasalimu Kwa Jina La Jamhuri Ya Muungano. Nami nitumie Fursa ya Jukwa Hili Kutafuta Nimpendaye,
Wasifu Wangu:
Elimu Ya Chuo
Single Father,
Miaka 41
Naishi DSM
Mfanyakazi & Biashara
Mkristo, KKKT
Mfupi Kiasi, Mweusi &Mnene Kiasi.
Wasifu Wa Mtarajiwa:
Miaka 30 +
Kabila Lolote
Dini Yoyote...
SIFA ZANGU
Umri 36
Dini: Mkristo
Elimu: Shahada ya Uzamili.
Ajira: Mwajiliwa wa serikali.
Urefu : 172cm
SIFA ZA MWANAMKE
Umri 30-36
Dini: Yoyote
Kabila: Lolote.
Elimu: Diploma na kuendelea.
Kazi: Yoyote halali.
NB: Mimi sina mtoto lakini yeye hata akiwa naye sawa tu.
Nipo kanda ya kati dodoma
Umr 27 yrs
☆kazi: mganga njaa, dei waka kiraka a.k.a multipurpose
☆sina nyumba
☆ sina gari
☆elimu la saba
Natafta msichana wa kuoa kuanzia miaka 18 up to 30
Ajue anakuja kupambana wote mpka tutoboe
If you're interested, karibu inbox tuyajenge
Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29
Elimu yangu kidato cha nne
Umbo la mwili wangu ni mwembamba na mrefu kiasi.
Kabila langu Mnyamwezi naishi Dar.
Kazi yangu Mjasiriamali/biashara
Dini yangu mkristo.
Mke nnaye muhitaji awe mweupe/ maji ya kunde
Umri kuanzia miaka 23
Awe...
Habari wana jukwaa. Tayari nina wake watatu (03), wote ni wake wema na wana sifa za msingi kuwa wake bora.
Sasa natafuta mke wa nne (04). Huyu namuoa kama sehemu ya kusaidia watu wenye uhitaji maalum kwenye jamii. Muhusika awe na sifa zifuatazo;-
1. Awe mjane (sio aliyepewa talaka), 2. Anaweza...
Natafuta mwanamke aliyetayari kwa marriage si ngono. Sijawahi kuoa ila ninaye mtoto wa kike wa miaka 7. Umri wangu miaka 39.
Mbali na tabia njema, pia ninavutiwa na mwanamke maji ya kunde, mrefu wa kawaida, asiwe na asili ya unene maana mi ni mwembamba.
Awe mcha Mungu Mkristo wa dhehebu...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Elimu yangu ni bachelors degree.
Ni mwajiriwa na nimejiajiri pia. Dini yangu ni Mkristo.
Nahitaji mke mwenye umri wa miaka 20-32. Dini awe mkristo
Natafuta mke
Sifa za muhitaji
.Mrefu
.Mweusi
.Diploma ya afya(mwajiriwa gov)
.Mwembamba kiasi
.Miaka 32
Naishi Dodoma mjin
Sifa anayehitajika
.Urefu wa wastan
.Maji ya kunde au mweupe
.Elimu kuanzia std 7
.miaka 26-30
Natafuta mke wa kula naye uzee mwenye sifa hizi:
Awe na umri miaka35-47,
Awe mkiristo,
Ambaye hazai
Awe tayari kunilea
Wasifu wangu:
Nina miaka 64
Nina watoto 6 wa mwisho ana miaka5
Mimi ni mgane,
Retired since 2020 January
Mjasilia Mali na mkulima wa vitunguu mpunga na mfugaji wa kuku na...
Sasa leo ni zamu yangu kutangaza nia ya dhati ya kutafuta mke kupitia JF.
Ninachoamini mke wangu huenda akatokea humu au tukaunganishwa na mke wangu mtarajiwa na mtu anayeishi ndani ya jiji la JF.
MIMI.
Umri 24
Muislam halisi
Diploma ya civil engineering.
Maji ya kunde
Zanzibar
Ninayemuhitaji...
Katika vitabu vya dini mbali mbali na misemo ya mababu zetu inasema ya kwamba
1. Mwanaume bila mke hajakamilika
2. Wenye akili wote wameoa
3. Ndoa ni kipimo cha akili n.k
Yapo mengi mno ambayo hata Mimi siyafahamu na wewe waweza kuwa unafahamu mengine.
Niingie moja kwa moja kwenye pointi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.