natafuta mke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Natafuta mke wakuoa

    *Hello Wana JF, ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Natafuta mke wa kuoa, Ni mwanaume mwenye umri 37, dini mkristu, nimejiajiri, sina mtoto, situmii kilevi chochote,Ila nimpambanaji Sifa ya mke ninaye mtaka. ~ Awe na umri 28-30. ~ Elimu siyo kipaumbele changu. ~ Dini yeyote ~ Kabila...
  2. Portal

    Natafuta mke

    Ndugu wana JF napenda kuwasalimu kwa jina la bwana wetu Yesu Kristo. Napenda kuwatangazia kwamba natafuta mke, tangazo hili nimelileta hapa jukwaani kwa sababu jukwaa hili ni meeting point ya watu wenye rika na jinsia tofauti kutoka katika jamii mbali mbali. Nimetumia muda wangu mwingi...
  3. H

    Natafuta mke Muislam

    Nahitaji Mke Sifa awe na degree ya pharmacy Awe na umri wa kuanzia 30 – 37 Akiwa Muislam itakuwa poa zaidi Awe anajitambua Nimeweka hiyo sifa kwa kuwa natamani ahudumie watu upande huo hivyo nitamwezesha kutimiza hiyo ndoto Mengine tutaongea DM.
  4. Gus Fring

    Natafuta mke makini haswa

    Mimi ni mwanaume mwenye miaka 31, mkazi wa Dar es Saalam, Mkristo, nnaejishughulisha. Elimu niliyonayo ni kubwa, urefu wangu ni 6'1 mrefu fulani hivi, maji ya kunde, sina mtoto wala sijawai kuoa. Natafuta mke wa kuoa, mwenye sifa zifuatazo; ~ Umri miaka 25 kushuka chini ~ Mweupe ~ Elimu yoyote...
  5. M

    Natafuta mke wa kuoa

    Natafuta mke wakuoa, mwenye sifa hizi Umri-25-40 Dini -yeyote Kabila -lolote Kazi- yeyote Sifa zangu ni Umri-34-37 Dini -mkristo Kazi-nimeajiriwa/kujiajiri Mwenye utayari anitafute kwa namba mke mtarajiwa awe na hofu ya Mungu. Pia awe anajitambua na anajua anachofanya .
  6. M

    Natafuta Eva tuanzishe bustani yetu (mke na mume)

    Hello Wana JF, Natafuta mke wa kuoa, umri wangu ni 37, dini mkristu, kazi nimeajiriwa, sina mtoto, situmii kilevi chochote, elimu yangu ni chuo kikuu. Sifa ya Eva ninaye mtaka; ~ Awe na umri 28-35. ~ Elimu siyo kipaumbele changu. ~ Dini yeyote ~ Kabila lolote. ~ Akiwa na mtoto haina shida...
  7. F

    Natafuta mke

    Natafuta mchumba atakaye kuwa mke wangu. 1. Awe ana hofu ya Mungu. 2. Elimu atleast form 6 (hata ukiwa na PhD). 3. Awe na akili za maisha na shughuli ya kumuingizia kipato. 4. Awe na shape/figure. 5. Asiwe na mtoto. Age (25-32) Mimi nina miaka 33, nina kazi yangu nzuri tu ya kukutimizia...
  8. Makonde plateu

    Nipo hapa uwanja wa fisi manzese natafuta mke

    Mwadila Wakuu nipo hapa uwanja wa fisi hapa manzese kutokea jana usiku saa nne kamili mpaka mida hii nikitafuta mke wa kumuoa hawa machangudoa. Kuna mdau wangu mmoja aliwahi niambia eti machangaduo ukiwaoa wanatulia kwenye ndoa sana kwasababu yeye ameoa changudoa tena amemtoa pale mwananyamala...
  9. marundoo

    Natafuta mke

    Salaam, Natafuta rafiki ambaye ataenda kuwa mke wangu. Nina miaka 34, ni mkazi wa Arusha, awe na miaka kuanzia 25 mpaka 32, Mkristo, kabila lolote. Kwa aliyetayari na mhitaji karibu PM kwa mawasiliano zaidi. Asante.
  10. J

    Natafuta mke...

    Jina: Tumaini Umri; 31 Makazi: Mwanza Dini: Mkristo Kazi: Wizara ya mambo ya ndani. Natafuta mke miaka 25-30 awe Mwanza...
  11. J

    Natafuta mke wa kuoa

    ...
  12. L

    Natafuta mke wa kuoa (Eva ulietoka ubavuni mwangu Bado nakusubiria)

    Habari Wana JF. Naitwa parson, Nina umri wa miaka 35, pombe na sigara situmii, Kazi mjasiriamali (mdogomdogo) mwenye malengo makubwa. Sifa ya mke nimtakaye. Umri kuanzia 30-36 Kabila -lolote Dini- yeyote Rangi -Natural (asiwe wadukani) Elimu- kuanzia kidato Cha nne mpaka chuo kikuu. N:B Eva...
  13. Man from cuba

    Natafuta mke wa kuoa

    Habari zenu wakuu? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza natafuta mke wa kuoa awe serious na maisha umri miaka 24_30 kabila lolote ili mradi awe mtanzania dini sichagui wala rangi sijui sura mimi sichagui. Najua kuna wanawake wangependa kujua kipato changu mimi kwa sasa nabangaiza...
  14. Kiev

    Natafuta mke

    Hbr Jf, Natafuta binti mrembo wa kuoa, awe na sifa zifuatazo: Awe ameamua kutulia na kuanzisha familia Awe mrembo wa sura Asiwe mlevi Umri usizidi miaka 28 Elimu ya chuo na kuendelea Asiwe na mtoto Sifa zangu: Mkristo Nina umri wa miaka 35 Situmii kilevi chochote Nimeajiriwa, kipato cha...
  15. Restless Hustler

    Natafuta mke

    Sifa zangu: 1. Hustler 2. Sina nyumba wala gari 3. Mkulima 4. Monogamous 5. Mkristo. 6. Miaka 26 7. Mweusi; urefu futi 5+ 8. Elimu ya kawaida. Sifa za mwanamke ninayemuhitaji: 1. Kabila: mha, msukuma, mngoni 2. Hustler 3. Aasiwe na mtoto/ watoto 4. Dini mkristo 5. Miaka 22-32 6. Mnene...
  16. S

    Fedha na mali nimepata, sasa natafuta mke (mchumba)

    Baada ya kumaliza chuo vipaumbele vyangu vilikuwa ni fedha na mali bahati nzuri nimetafuta na nimezipata kwa sasa nina uwezo wa kutunza familia kwa asilimia mia moja hivyo Napenda kuwatangazia wasichana wenye uhitaji wa kuolewa kwamba natafuta mke naomba tuwasiliane ili tukikubaliana na...
  17. A

    Natafuta Mke / Mchumba ( MUISLAM TU)

    Habari zenu ndugu, Mimi mwanaume wa miaka 33 natafuta mwanamke wa kuoa . Sifa za mwanamke/ mchumba nimtakaye Awe muislam na mwenye hofu ya Mungu Awe na miaka kuanzia 20 na kuendelea hadi miaka 30 iwe mwisho Awe anajitambua Awe na elimu angalau Diploma na kuendelea Mwisho awe tayari kuolewa...
  18. Digital base

    Natafuta Mke wa kuoa aliye siriasi

    Habari ya leo wakuu, Natumia nyote mnaendelea vizuri kabisa Kama nilivo andika katika kichwa Cha habari kuwa natafuta Mke Wa kuoa aliye siriasi na ambaye yuko tayari kuanza mahusiano ya ndoa Mimi ni kijana wa miaka 30 Shughuri yangu mjasiriamali Elimu yangu kidato Cha nne Muonekano wangu...
  19. T

    Mwanaume miaka 36 natafuta mke

    Kuhusu Mimi, Miaka 36 Mkristo Mwajiriwa wa serikali Shahada ya uzamili Urefu 175cm, Uzito 66Kg Ninaye mtafuta -Umri 28 mpaka 38 -Dini yoyote lakini awe tayari kuwa mkristo. -Akiwa na mtoto siyo mbaya .
  20. B

    Natafuta mke mwenye HIV positive

    Ninajitokeza hapa nina nia ya dhati na kweli kutoka moyoni nimejitokeza hapa natafuta mke wa maisha mwenye HIV Positive, siitaji mpenzi naitaji mke! Napatikana Dar es Salaam, nina miaka 52, maji ya kunde, urefu futi tano inchi saba, slim body. Mke ninayemuitaji awe HIV Positive! Awe mweupe...
Back
Top Bottom