Tafadhali naomba nijielezee kwanza:
Jina langu naitwa mosses, dini yangu mkristo, mwili wangu wa kawaida wa kimazoezi na nina six pack, urefu wangu kawaida, rangi yangu maji ya kunde, uvaaji wangu smart, sivuti sigara wala sinywi pombe, sina mtoto wala sijawai kuowa, ninaishi dar es salaam...