natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano yenye malengo

    Awe na sifa zifuatazo Awe na miaka kati ya 25 mpaka 30 Awe Mkristo Awe tayari kupima hiv Awe anaishi dar es salaam Elimu bachelor ya kozi yeyote ile Sifa zangu Nina miaka 33 Kazi; duka kariakoo Sina mtoto Elimu bachelor
  2. M

    Music production

    Natafuta mtu wa kufundisha mdogo wangu music production Dodoma aniachie namba
  3. A

    NATAFUTA AGENT AMBAE YUPO DAR TUFANYE KAZI

    Mambo vp wana ndugu natafuta agent ambae yupo dar kuna gari yangu naitaji aje kunitolea
  4. Natafuta kazi

    Naitwa jonas mashanda ni mkazi wa mkoa wa kagera wilaya ya karagwe,Mimi ni fundi umeme wa majumbani nina uhaba sana wa kazi huku niliko ni fundi mzuri mkweli,mchapakazi na mwaminifu yeyote mwenye tenda (Contract) ya kazi anitafute tupeane michongo
  5. Natafuta mke awe mwalimu

    Hello Wanabodi mimi ni Kijana nipo tu nafanya ujasiriamali mdogomdogo kiasi sikosi hela ya kulipa Pango na Kula Napenda kutafuta Mke awe Mwalimu wa Daraja lolote lile asizidi miaka 25, asiwe mweusi, wala mnene sana, Mkristo itakuwa vizuri hata akiwa Dini nyingine sawa ila akubali kuolewa na...
  6. Dereva taxi na Bajaji mtandaoni natafuta kazi

    Habari, naitwa omary ni dereva timamu,sina usumbufu kwenye mali ya mtu uwaminifu 100%.naweza kuendesha gari na Bajaji kwa boss yeyote mwenye uhitaji katika chombo kimoja wapo tajwa hapo juu iwe ya hesabu au mkataba pia iwe ya gesi au petrol tuwasiliane 0654037276.Nina uzoefu wa miaka 2 katika...
  7. H

    Natafuta nafasi za internship

    Wakuu nimesomea political science and public administration specialized in international relations and diplomacy. Natafuta nafasi za internship; nafikilia JNICC. Je utaratibu wa kuomba internship jnicc upoje ?
  8. N

    Natafuta mwanamke wa kuoa - Mtwara mjini

    Habari ndugu zangu. Mtaniwia radhi kama nitakuwa nimekosea au utakwazika kwa ujumbe wangu. 1. Natafuta mwanamke anayehitaji mume wa kumuoa. Mwanamke ambaye yupo "intrinsic" na hilo jambo; 2. Umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 33; 3. ASIWE NA MTOTO - kwa maana nyingine SIHITAJI SINGLE MOTHER...
  9. W

    Natafuta dalali wa kiwanja

    TANGAZO: NATAFUTA DALALI WA KIWANJA Natafuta dalali wa kusaidia kuuza kiwanja changu kilichopo Bukoba Mjini. Kiwanja kina eneo zuri, kipo kwenye mahala pazuri kwa makazi au biashara, na kina hati halali. Dalali anayejua soko la viwanja Bukoba na anaweza kupata mteja haraka awasiliane nami...
  10. Natafuta mke wa kuoa

    Natafuta mwanamke aliye serious kuolewa mwaka huu Niko na miaka 30 Mkristo Aliye tayari tuwasiliane
  11. Natafuta mke wa kuoa kabisa

    Sifa zangu: Umri wangu ni kijana Ni mwajiriwa na mfanyabiashara Kigezo cha mwanamke Awe na kitu cha kuofa kwangu mbali na kunivulia nguo ya ndani
  12. G

    NATAFUTA OFISI

    Za siku nyingi wakuu, kama kichwa kinavyojieleza , Natafuta office space sqm 15 hadi 25 ambayo ipo vizuri kidogo na angalau iwe na parking , biashara ni consultation budget yangu 500,000-700,000 mwisho, mwenye msaada anichek chap tuone tunafanyaje,, maeneo pendwa ni posta, masaki, kijitonyama...
  13. Natafuta kiwanja Kitunda Magole

    Habari Wakuu naomba connection ya kiwanja KITUNDA MAGOLE nahitaji ninunue
  14. natafuta gari kali la tsh million 60 wakuu

    kwema natafuta ndonga kali ya kuvimba nayo mjini ya tah million 60-80 mwenye nayo aweke mawasiliano au atupiemo ka picha
  15. Natafuta shambaboy mwenye kujua na maua pia na ufugaji

    Kama uko na ndugu au wewe mwenyewe tuwasiliane... πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ Update: Nimepata 5 interview kesho... Nitatoa mrejesho.. Asanteni sana kwa ushirikiano,πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
  16. Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako Habarini Wakuu, Naweza kuwa tofauti na wengi, naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa, lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. Ni suala litakalo iweka...
  17. K

    Natafuta lodge au guest bubu ya bei rahisi mbeya mjini

    Kesho asubuhi nitakua mbeya mjini kwa shughuli zangu binafsi. Natafuta lodge au guest house zile bubu ya bei rahisi,budget yangu ni shilingi za kitanzania elfu 8 to 10. Iwe mbeya mjini maeneo ya kuanzia uyole,nanenane,ilomba,Sae,Mama John,Soweto,isyesye na mafiati.iwe na usalama wa kueleweka na...
  18. M

    Natafuta kazi ya uhasibu Naombeni msaada wetu

    Naitwa jenipha Nimesomea degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
  19. F

    Natafuta trucks za kwenda lubumbashi

    Kuna mzigo wa kontena za 40ft kwenda lubumbashi . Na return trip ni copper Nahitaji gari 20 Mawasiliano 0692595127
  20. Natafuta rafiki Anaependa Tour Tuwe tunasafiri kila mwaka kwenda nchi mbali mbali!

    Wakuu niko na obsession ya kusafiri kama wale youtuber shida sijapata company . Au mtu mwenye hoby kama yangu. So naishia kugairi kila mara Imagine sijafika hata BURUNDI tu. Kusafiri mwenyewe naona ni Risk sana hasa nchi za ugenini. Tuanze na nchi za Africa kwanza Mawazo tafadhari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…