Kama kichwa kinavojieleza natafuta kazi ya kuweza kujikimu, nina diploma ya uhasibu
Kwa yeyote anayeweza kunisaidia au kunipa mawazo ya jinsi ya kujikwamua, mitihani ya utumishi nimeshafanya mingi ila sijafanikiwa kupita.
Sina uzoefu sana nimefanya internship zile za TAESA ila ni mwepesi...
Habari Jamii!
Ninatafuta fursa ya kazi ya intern software developer(paid). Katika ajira yangu ya awali nimefanya kazi kama IT Support specialist lakin ninataka kubase kwenye coding kwasababu ninafurahia kufanya coding.
Skills ambazo nimejifunza na ninazielewa hadi sasa japo bado naendelea...
Habari wanajamvi
Ninatafuta dalali/mfanyabiashara wa mbuzi mkoani Tabora kwa yeyote anayeweza kunisaidia kwa hilo nitashukuru sana.
Tuwasiliane 0788303079
Habari
Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko )
Mashara : 300k ~ 400k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako.
Piga : 0678650509
Mimi ni kijana mwaminifu kabisa sio mwizi ila natafuta mtu wa kua ananiazima geto hata kwa masaa kwa ajili ya shughuli zangu ndogo ndogo!
Nitakua nampooza ya maji!!
NB: Wenye ushauri wa uende lodge/hotel siwataki
Habarini wana JF, Mimi ni kijana Nina miaka 25, natafuta kazi nimesoma clinical medicine, nipo registered na leseni ninayo, naomba kazi dispensary au health centre, Kwa Sasa nipo mwanza, nawasilisha
Kwa maelezo Zaidi...0719926468
Habari za wakuu
Mimi ni kijana wa kiume nina bachelor ya business adminstration based in accounting, nina uzoefu wa kufanya kazi benk lakin mkataba uliisha na sikua tayari kuongeza tena kwa sababu zangu binafsi, baadae nilipata kazi kweny kiwanda, mkoani kama mhasibu msaidizi lakin bahati mbaya...
Habari zenu wapendwa, mimi ni binti wa miaka 28 elimu yangu ni kidato cha nne ninaujuzi wa kompyuta nilisoma kozi fupi natafuta kazi ya stationary, au uwakala tigopesa nimefanya mara kadhaa hizo kazi nina uzoefu nazo napatikana Dar - Mabibo Napatikana humu0789 642604.
Asanteni.
Habari za saa hizi.
Mimi ni kijana naishi dar.
Umri 32.
Natafuta mwanamke kwa nia ya uchumba tukienda sawa awe mke.
Awe anaishi dar
Umri 20-36 usizidi zaidi ya hapa.
Aelewe thamani ya mwanaume .
Asiwe mtu wa vizinga.
Mengine PM.
Nataka kumiliki gari na mm.hv sasa Nina guta ila nimeona Kaz zangu inahitaji pro box
Naombeni Kam Kuna . member anato aniuuzie
Bajeti yangu Ni 4m ,
Nataka niuuzr guta nimiliki pro box
Faida za probox Ni kuwa hyo Ni gari tofauti na guta siwezi kula starehe nayo ila probox Nitabeba mizigo...
Habarini wakuu,
Naomba kwa anaefahamu sehemu wanatoa vibarua kwa siku Mbeya, iwe ni kiwandani ama kwenye miradi ya ujenzi, barabara n.k naomba anisaidie conection au utaratibu wa namna ya kupata hivyo vibarua nina uhitaji nacho sana nawaomba wakuu kwa waliopo Mbeya.
Mimi ni kijana wa Umri 25 Yrs
Nipo Dar es Salaam
Natafuta Mke wa kuoa.
Vigezo:
●Awe na CPA(T)au awe Doctor of Medicine(MD) au awe HR🍌
○Umri 24-48😎
●Awe na sexy Chocolate (colour)🥵
○If she's above 30's basi liwe li-shangazi fulani hivi jeupe jeupe!💃
●lazima awe na Bubbly Ass🍑
○ kuhusu...
Mimi kijana wa miaka 24 nasoma degree mwaka wa kwanza Dar es salaam. Naomba mnisaidie kazi kwa sababu najisomesha mwenyewe. Mimi hata nikipatiwa kazi ya kuingia kwa zamu sawa ila iwepo Dar es Salaam
Nitawashukuru sana jamani naomba mnisaidi namb zangu +255 772 525 607 hizo naomba mnisaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.