Kuna utapeli mkubwa unafanyika na serikali ipo kimya. Tena utapeli wa kutumia idara za serikali. Nina ushahidi wote wa namba za wahusika. Naomba mwenye namba ya msaidizi wa Makonda ili nimtumie ushahidi wote na nyaraka za kufoji.
Tumepeleka taarifa polisi tangu February 2024, ila utapeli...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,ninaomba kazi ya udereva,mkoa wa Ruvuma kwenye mashirika binafsi.Nina vigezo na uzoefu wa kazi wa miaka mitano, nawasilisha nakala hii kwenu kwaajili ya kupata fursa,Asante na Mungu awabariki.
Habarini wanajukwaa nipo mbele yenu natufuta kazi yeyote ambayo itaniingizia kipato au kama kuna mtu mwenye connection akaniunga kazi zilipo naomba anisaidie.
Nina diploma ya procurement and logistics location nipo dar es salaam.
Habari,
kama wewe ni android developer na una account ya google console ambayo umeifungua kabla ya mwaka 2023.
Nina uhitaji wa google console account / play store developer account.
Njoo pm please
Ndo hivyo wakuu Hali sio Hali nimeamua nipige yowee mwenye maskio na asikie, maana jiwe limepigwa gizani na Mimi ndo nilikuwa nimejificha humo na jiwe ndo limenipata😓
Mimi ni kijana wa makamo tu zaidi ya vibarua Sina kingine cha kufanya naombeni kazi jaman, Sina ujuzi wowote ule zaidi ya...
Mimi ni kijana wa kiume mkakamavu na mtii mwenye umri wa miaka 22 naishi tabora, nina elimu ya kidato cha 6 PCB.
Naandika andiko nikiwa nina uhitaji wa kazi yoyote ya halali kwamfano:kuuza duka, shamba boy pia kama nikipata nafasi ya kujifunza fani za ufundi au uendeshaji wa magari na mitambo...
Name: XX
Age: 23
gender: MALE
Academy: CERTIFICATE,GRAPHIC DESIGN
Professional: DRIVER/VETA, NIT, RFC, JKT, PREPARATION OF AGRICULTURAL SEEDS.
Experience : PASTA INDUSTRY, NIDA, SUMA JKT, MAGAMBA GOLD MINE'S, T, MARK SALES
region : DAR ES SALAAM
Contact : 0695581138 or 0613 654 307
Ila...
Habari,
Naitwa Device frabius ninamiaka 29,nakaa dar es Salaam Mikocheni natafuta gari Kati ya IST,RAUMU,SPACIAL AU WISH.
Kwaajili ya kuwaendesha Waturuki kwa mkataba wa mwaka mzima.
Namba yangu 0617146950
Habari wadau.
Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Kivule mpaka maeneo ya Msongola.
Bajeti yangu ni milioni 5.
Ukubwa wa Kiwanja kisipungue sqm 300. Kama kikiwa kikubwa zaidi nitashukuru.
Kama unauza kiwanja maeneo hayo karibu unipe sifa zake.
Pesa ipo mfuko wa shati
Awe ni mkristo wa dhehebu lolote au muislamu,mimi binafsi ni mkristo Nina miaka 43,nipo hapa Tanzania natafuta single mama yoyote ambaye anahitaji mtu wa kumfariji na kujenga familia stable, pia asiwe mpenda vileo ,pombe bangi au sigara. Awe pia mtu aneyejishughulisha katika kazi zenye heshima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.