Wasalaam.
Ni muda mrefu sasa sijafika hapo jijini na ata kwenye masoko makubwa kama kariakooo nimeishaanza kusahau mitaa.
Ila tatizo langu ni dogo kama nitapata mwenye uelewa wa kifaa hiki kinaitwa Hub motor.
Pia kama ikipatikana motor ya kawaida ambayo ni brushless dc motor itakuwa poa sana...
Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa Bachelor of Science in Chemistry (Mkemia) mwaka huu kutoka Mwenge catholic university. Natafuta kazi yoyote ata nje ya taaluma yangu
kwa mwenye connection naomb msaada🙏.
Update:
Ndugu wana Jf natumaini mko salama ndugu zangu.
Ndugu zangu katika vipindi vilivyopita ijulikane nilikua natafuta mke na Mwenyezi Mungu amenijalia nimepata mke na nimeoa.
Ndugu zangu mimi na huyu mke wangu tulikua tunatafuta mtoto katika siku zake tulizo amini ni siku za hatari ila cha ajabu...
gentamicine
gentamycine
half american
hekima
joanah
kubeba
kushika
mke
mke wangu
mshan jr
mtoto
mzizi mkavu
mzizimkavu
naombeni
natafuta
shida
to yeye
ujauzito
wangu
wapi
Nipo Mwanza kama kuna tu ana connection yoyote ya kazi aniunganishe mtaani kugumu sana. Nina elimu ya degree na pia leseni ya udereva umri wangu miaka 35. Nisaidie wakuu
Habari zenu ndugu zangu wanajamii Forums
Natafuta day work yeyote kwenda na kurudi napatikana ukonga (DSM)
Accademic qualifications
Diploma in accounting and finance
Computer applications
Basic Diving
Simu :0764877912
Habari za leo waungwana. Natafuta router ndogo ya mtandao wa Halotel au Universal router. Ninapatikana Mwanza. Kwa maelezo zaidi na bei tuwasiliane 0623304519.
Natafuta mtaalam wa masuala ya mazingira ambae anaweza kuandika vizuri miradi na kufanya EIA, EA AUDIT vizuri. Kama upo Vizuri kwenye Masuala hayo njoo tufanye kazi.
Asante
WhatsApp +258 87 299 8313
wakuu baada ya watu kuwa na maswali mengi juu ya bei,basi naomba tuwekane sana,ipo hivi debe moja ni 5000,na gunia ni 35,000,but ukizingatia sehem ninayoifata kdg kuna ka umbali so gunia lita cost 38,000,.ubuyu ni ule mweupe raw material kabsa,upo wa kutosha even kwa matumiz ya kiwandani,so kama...
Husika na kichwa Cha habari hapo juu.
Nipo Dar es salaam ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya Dar es salaam.
Umri = 31
Elimu = Form four
Uraia = Mtanzania
Uzoefu = Miaka minne
Note: Nilijifunza hii taaluma Kwa vitendo kwenye kiwanda Cha kampuni fulani ya vinywaji. Bidii, kujituma...
Habari za wakati huu........ mimi ni kijana wa miaka 23 nimemaliz bsc chemistry hivyo naombeni mwenye connection na internship anisaidie au kazi yoyote .
Asanten
Kichwa cha habari cha husika hapo juu.
1. Mimi ni mwanaume ninayejielewa na nakusudia kufunga ndoa mwaka huu ikimpendeza Allah.
2. Miaka yangu 40, mwajiriwa serikalini na mjasiria mali pia.
3. Natafuta mwanamke kwa maana ya Mchumba ili ikimpendeza Allah basi tuweze kufunga ndoa mwaka huu tuishi...
Kuna kijana wangu yuko kidato cha tatu. Anapenda sana kucheza mpira na anacheza vizuri. Kila nikikaa nae nikimuuliza anatamani kufanya nini katika maisha yake, anasema anataka kucheza soka.
Sasa nimeona ni vizuri kumuunga mkono kuliko kumlazimisha abadili muelekeo.
Kama Kuna mtu anazifahamu...
Habari.
Umri wangu ni miaka37 natafuta mwanamke wakuoa. Kazi nimejiajiri.
Mwanamke ni mtakaye.
Awe na umri kuanzia 28 nakuendelea.
Awe tayari kuishi popote,Asiwe mrefu Sana,,mwenye upendo wakweli,Dini yeyote.
Karibu sana iwapo upo serious tu maana muda ukuta.
Habari wakubwa mbele yenu ni mdogo wenu fresh graduate wa degree ya sheria Niko mkoa wa Mwanza lakini niko tayari kwenda sehemu yoyote muhitimu wa shahada ya sheria
Naomba ajira au nafasi ya internship sehemu yoyote
Nina ujuzi wa na ninaweza yafuatayo
i/ legal research and writing skills,
ii/...
Habarini Mabinti na wale wenye dada zao.
Nafasi ni moja tu, anatafutwa binti mzuri wa muonekano na tabia yaani Mtu mwenye Utu na Utulivu.
Umri: 18-23 (Asiye mshangazi bila Kitambi)
Elimu: Si muhimu.
Dini: Si muhimu.
Kabila: Si muhimu.
Kazi: Si muhimu ila asiwe mvivu mvivu.
Bikra: Si lazima ila...
Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.