Amani na utulivu iwaangazie wana JF: Ndugu zangu katika Imani kwa heshima na tahadhima naomba mwenye kujua masoko ya jumla ya vichwa, shingo, firigisi na miguu ya kuku wa kizungu (VIZIGO), anielekeze nende nikasombe nataka kusafirisha mkoani kibiashara.
Ahsanten.
. Awe mkazi wa Mwanza
. Uzoefu katika biashara ya laundry
. Ofisi ipo Mkolani
. Mshahara maelewano
. Kuanza kazi 1.10.2024
. Njoo inbox pamoja na offer yako ya mshahara
Hello esteemed partner.
I believe hii thread itakupata ukiwa poa.
Napatikana, Mbeya, and kama kichwa kilivyojieleza. Natafuta mwekezaji au mshiriki ambaye tutafanya pamoja biashara hii ya kuandaa na kuuza bidhaa za shamba baada ya kuzichakata.
Kwa kuanzia. Tutaanza na unga wa sembe na Dona...
Natumain ni wazima wa afya kwa mtu yeyote anaweza nisaidia jina la dawa na sehemu ya kuipata kuondoa michubuko sehemu ya haja kubwa pembeni ule utandu utandu wote uondoke
Ni muhimu sana
Nataka kununua kadi yaani N- Card nipo Tegeta kimakazi
Naomba kuelekezwa wapi naweza pata huduma hiyo?
Nasisitiza nahitaji kununua tu hivyo mniambie wapi naipata
Aksanteni
Wakuu habari za muda huu?
Naomba wauzaji wa tiles au yeyote mwenye kujua nani ambae ana hizi tiles za aina hii anijuze. Nimeshazitumia sehemu kubwa ila zimepelea kama box3 nimerudi kwa alieniuzia kamaliza. Mwenye nazo tafadhali sana naomba mawasiliano yako tufanye biashara.
Model yake ni...
Habarini wana jamvi.
Katika harakati za maisha nimeamua kufungua biashara (Chimbo) ya kuuza simu jumla na rejareja kutoka Dubai na China. Duka linapatikana mtaa za Aggrey na Masasi Kariakoo.
Naomba kufanya kazi na mawinga waaminifu wao nitawauzia kwa bei nzuri tu na hata akimleta mteja kwa bei...
Habari,
Nina kazi ya kukusanya data kwa wakulima wa alizeti katika Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida.
Natafuta jumla ya vijana sita waliomaliza degree lkn hawana ajira kwaajili ya kukusanya data katika maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo.
NOTE: MUHUSIKA AWE ANAPATIKANA WILAYA YA IRAMBA
Malipo...
Natafuta Laptop Bei isizidi 600,000
Iwe Toshiba, dell, hp au mackbook.
Iwe na angalau sifa zifuatazo
Ram 8GB
STORAGE - SSD angalau 200 gb
Generation 8+
Bluetooth, webcam, HDMI port LAZIMA
Ukubwa wa Kioo uwe 20+ kubwa na kuendelea
Chaji angalau masaa 3
ISIWE YA WIZI
isiwe na kipengele...
Ninatafuta kazi, Mimi ni mteknolojia wa maabara za hospitali niliyesajiliwa na baraza la HLPC nina leseni hai na nipo tayari kufanya kazi popote Tanzania.
Natanguliza shukrani🙏
Hello Wanajamvi……
Nimekuwa na jitihada za kufungua biashara ya bucha la kisasa la samaki ambalo ndani yake kutakuwa na duka dogo la Cash-point (mobile money & internet banking), nje mitungi ya gesi. Vitu vifuatavyo tayari ninavyo (angalia picha…)
Frem ya kisasa
Leseni ya biashara
Mashine ya...
Habari wana jamii,
Naomba kwa yeyeto mwenye connection ya kazi ya Health, Safety and Environment (HSE) popote aniunganishe.
Nina Degree ya Environmental Planning and Management pia nina NOSHC I, OHS Risk Assessment zote kutoka OSHA pamoja na Computer Certificate.
Kwa yeyeto anayeweza...
Habari WanaJF,
Hatimaye nimepata ugonjwa wa kusahau vitu.
Natafuta mwanasaikolojia anisaidie namna ya kuondokana na changamoto hii.
Imefikia hatua nasahau vitu vya muhimu kama kula na kuoga.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Jiwa Hassan
Habari ya wakati huu. Nimeleta mrejesho kwa kipindi ambacho nimekuwa na uhitaji wa mwenza na nikaposti humu. Lakini waliokuja pm ni wababa waume za watu na wengine wanakuja for funny tu, wakihisi hii ni sehemu ya kula kucheza na kuondoka.
Wakati Niko seriously katika Jambo hili na Nina uhitaji...
Wakuu habari za majukumu ,natafuta chumba cha kupanga kiwe self contained, kiwe na jiko na pia mazingira yenye usalama kwa maeneo ya Arusha-Njiro road kikipatikana mpaka maeneo ya kontena itakua vyema zaidi kwa bajeti ya 80,000-100,000.
Wasifu wangu;
JINSIA; Me
UMRI; 24-26
ELIMU; Bachelor of business administration
MAKAZI; Dar- kigamboni
Naombeni mwenye mchongo wa kazi yoyote halali anisaidie nikakomboe cheti changu chuoni kuna kiasi flani cha ada nadaiwa.
Wana JF
Nahitaji Toyota Premio Model mpya
Engine size CC 1450
Iwe ya Silver au nyeupe rangi nyingine pia sio mbaya
Namba DZ au Namba E.
Mwenye nayo aje tuzungumze kwenye comments./Inbox
Pia mwenye Toyota Rush anicheck. Samahanini sana Madalali nawapenda sana wapiganaji wenzangu...sio mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.