Habari ndugu, kama kichwa Cha tangazo kilivyoandikwa nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba -Dar hivyo nahitaji watu wa kushirikiana nao kupata soko, dagaa ni rejareja kwenye packet au kwa jumla pia wanapatikana kuanzia ndoo ya lita 10 mpk 20, hivyo kwa ambae yupo...
Habarini wana jamvi popote mlipo,I hope mko sawa, mimi ni kijana wa umri wa miaka 24 naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia nipate kazi au mwenye connection ya mchongo wowote halali jamani anisaidie maana napitia wakati mgumu sana kwa sasa mimi niko Dodoma elimu yangu niliishia chuo kikuu mwaka...
Wapendwa nawasalim.
Katika hali ya u serious natafuta binti makini kwa ajili ya urafiki na ikipendeza kua nae kwenye mahusiano yenye future. Itapendeza sana muhusika akiwa na miaka 24 - 29. Na awe anajishughulisha na kazi halali.
Binafsi niko serious 30yrs nimeajiriwa na ninajitegemea...
Habari za wakati huu ndugu zangu wapendwa katika Bwana!? Najua mko katika mahangaiko.
Natafuta kazi zozote katika ukanda wangu huu wa Kanda ya ziwa, Nina ujuzi aina mbalimbali kama kazi za nje!? Kazi za nje kufyeka nyasi kulima nyasi, kukata miti na zozote zile za nje?
Pia kama una connection...
Habari zenu watanzania wenzangu naitwa FAIDHAnimemaliza chuo kikuu cha Dar es salaam katika kozi ya afisa mwajiri
Mawasiliano 0624-137476
E-mail:faidhak6@gmail.com
Habari wadau
Natafuta simu zangu mbili zilizoibiwa . Polisi waliniahidi kuwa zitapatikana lakini sasa nakaribia mwaka
Ila niliambiwa wapo vijana wa IT wanauwezo wa kutrack simu na kuzipata.
Naomba anayeweza aje inbox na naahidi zawadi nono itatolewa kwa sharti moja tu ya malipo ni baada ya...
Hello wadau,
Mimi ni mdada nimehitimu Sociology nina uzoefu wa kutosha kwenye kazi za Social Work kwa zaidi ya miaka kumi.
Kwa yeyote mwenye connection ya kazi Mwanza anisaidie.
Asante
Wakuu habari.
Mimi ni muuzaji wa mayai ya kisasa , nauza Kwa bei ya jumla.
Natafuta tender ya ku supply kwenye shule, hotels , dukani, kwenye malls , au popote pale.
Naweza ku supply Kwa idadi yoyote utakayo hitaji..
Ofisi ipo mbezi malamba mawili, Dar es salaam, kama upo Dar nafanya free...
Wakuu nipo kahama natafuta kazi ya kupiga debe kamahama stendi
Yeyote mwenye connection na magari nipo tayari kufanya kazi na campun yeyote nipo vizuri katika kushawishi na kuongea
Msaada wana jamiiforums
Popote ulipo mrembo mwenye miaka 26-30 , isiwe single mother
Nimechoka kuishi peke yangu karibu tusaidiane maisha uwe mke wangu
Uwe wewe au una mdogo wako au rafiki yako mjulishe taarifa hii
Habari zenu wana Jukwaa, kijana wenu nina uhitaji wa msimamizi wa shughuli zote za shamba, kuanzia kilimo mpaka usalama wa shamba. Shamba liko Mkuranga, Kimanzichana eneo lina Ekari 6, kilimo kikuu kitakuwa ni mboga mboga (Bustani).
Bajeti yangu ni 120,000 kwa mwezi pamoja na Unga kiroba...
Habari wakuu,
Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu.
Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
accounting
bachelor
chuo
chuo kikuu
dar
dar es salaam
degree
fursa jf
hello
kazi
kazi yoyote
kikuu
msaada
naomba
naombeni
natafutanatafuta kazi
uhasibu
Habari,
Ninaomba mtu mwenye hivi vitabu aweke hapa kwenye uzi huu. Nitashukuru sana.
NB
Nilishapost sana kwenye zile threads za vitabu lakini watu hawaoni hivo sikufanikiwa kuvipata ndio kusudi la kufungua uzi huu.
Majina kwa kingereza
1. Thus the bell rings kaandika Honore ngbanda
2. Inside...
Nichukue nafasi hii kuomba nafasi yoyote ya kazi Kwa mtu ambaye yupo tayari kunisaidia kwa hili namba zangu ni 0676917970
Cheti Cha form 4, 6 na Chuo kikuu ninavyo
N:B Kazi yoyote Ile nipo tayari
Natafuta fundi simu tufanye kazi, sehemu ya biashara ipo hapa maeneo ya survey opposite na Mlimani city, makubaliano na mambo mengine tutazungumza tukionana. PM kwa information zaidi
Habari tena wadau.
Natafuta kijana mkazi wa Dar es Salaam, kazi yake itakua ni kutafuta tenda ya kubeba mizigo kwenye makampuni na viwandani kwa kutumia malori. Elimu kuanzia certificate, mwenye uzoefu katika usafirishaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.