Ninahitaji mtu ambaye Mungu akijalia ataweza kuwa mume wangu..
Kuhusu Mimi;
nina umri wa miaka 25
naishi Dar
ni mjasiriamali
sina mtoto/watoto
Elimu ni certificate.
Anayehitajika ni mtu ambaye kutokana na kuwasiliana tukaendana mtazamo, na nia ikawa moja .
Nipo mbele yenu natafuta mwanamke ambaye yupo single ili tuweze kuwa wapenzi na hapo badae nimuoe nimechoka kuwa bachelor kwa muda mrefu nipo serious kwa mwanamke au mdada ambaye yupo tayari PM ipo wazi.
Habari Wana jamii forum
Mimi ni kijana umri miaka 27, ni mfanyabiashara na Nina degree ya chemistry
Natafuta mwanamke wa kuoa ,
Naishi mabibo
Umri wa mwanamke usizidi miaka 22
Habari Wana jamii forum,
Mimi ni kijana na mfanyabiashara ,na ni Domo zege naomba mnipe mbinu ili niweze kutongoza mwanamke ,nipate mpenzi
Kuwa Domo zege kunanisumbua Sana sijui kutongoza nasindwa kupata hata mchumba
Habari wanajamvi, nipo katika harakati za kutafuta masoko ya peanut butter natengeneza peanut butter za organic (isiyo na mchanganyiko wowote) ya chumvi na ya asali shida ni masoko napatikana Mbeya kwa namba 0613070778 msaada wa kuniunganisha na wauzaji
Wakuu kama kuna mwanamke hapa mwajiriwa aliyepo morogoro au mpanda nifunge nae ndoa ili niweze kuhama huku niliko wilaya ya pangani mkoa wa Tanga mimi ni muajiriwa sekta ya Afya maana huku niliko nahisi nitakufa masikini kwa kujitakia!Tafadhalini ajitokeze PM iko wazi......
Habari, mimi nimeanzisha kampuni ya kutoa huduma za ki ICT. Ofisi ya kampuni ipo Dar es Salaam, kuna vifaa vya kazi kama Computer 5, printer 2, ofisi kubwa yenye AC, mashine nyingine kama mashine za Stationery servies pia zipo kama, lamination machine, binder, paper cutter nk. ipo miradi kadhaa...
Wadau natafuta chuo Marekani ambacho hawahitaji test ya IELTS au TEOFL.
Dogo kasoma bongo huo mtihani unasumbua ila ada ipo na application fee ipo.
Wasalaam!
Mimi ni mwanaume wa miaka 28 , nina mke na mtoto mmoja ninaujuzi wa hotel management pia naweza kuendesha gari (sijasomea). Mwanzo nilikuwa na biashara ya M- pesa lakini nikadhurumiwa na matapeli, nikapata kazi kwenye restaurant ya bungeni mshahara laki 2 kwa mwezi lakini si kazi ya kudumu...
Habari wana JF,
Mimi ni Mtanzania mwenye elimu ngazi ya Degree ya biashara katika uhasibu.
Natafuta kazi ya kuandaa Payroll na tax zake monthly kama Part time kwa gharama nafuu kabisa.
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 8 kwenye sector binafsi..
Napatikana kwa namba 0657940974
Karibuni sana..
Wa kutumia pesa zako ukitoa mama, ni mke wako. Msininukuu vibaya, namaanisha mke uliyemtoa usichana ukaiona damu yake. Mwisho wa nukuu.
Naungana na ndugu zangu Natafuta Ajira pamoja na R Heriel. Mke ambaye hukumkuta bikra, si wako na hatokuwa wako.
Faida nimeona nyingi sana, ingawa hasara zipo...
Habarini Wadau?
Nina semi-trailers 2 moja inabeba mizigo Tani 31 na nyingine Tani 32. Natafuta Mdau/Wadau wenye mizigo ya uhakika ya kusafirisha ndani na nje ya Nchi jirani. Awe tayari tuingie Mikataba ya Kisheria ili tuweze kufanya kazi kwa uhakika zaidi.
Aliye tayari tuwasiliane inbox.
Shalom
Moja kwa moja kwenye mada.
Je, ukiwa unasikia sauti za mtu ambaye unamjua kabisa whether ni Baba au Mama ah hata rafiki yako, kwanini hizi sauti zina tabia ya kukwambia kwamba ukikutana nae kimwili msiongee chichote sababu tayari upp kwenye ulimwengu wa kiroho.
Madakari na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.