Habari zenu wakuu,
Jamani mwenye connection ya mashamba anisaidie, nataka kama heka kumi kwa ajili ya kulima mkonge, maeneo ya Tanga au Morogoro,
Yanayouzwa kwa bei rafiki
Asante
Wakuu nani anaweza kunisababishia nikajua bei ya betri hizi. Na nazitolea wapi kabla sijaingia mzigoni mwenyewe huko kariakoo.
Nb: niko mbagala muda huu
Kazi ya haraka kesho tarehe 24.
Printer inajam kila baada ya kuprint page chache. Aina ni Hp Canon 404.
Location. Dar es salaam ubongo.
Please DM me with your quotation
Habari zenu watanzania ndugu zangu
Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya uandishi na utangazaji wa habari, call center au afisa uhusiano wa umma
Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo Dar es salaam wilaya ya Ubungo,kimara.Asanteni
Habari za leo wakuu,
Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam weekend hii.
Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
Habari zenu wakubwa,
Natafuta ni wapi naweza pata roller blades (viatu vya matair) za kununua either dukani au kama kuna mtu anacho na anakiuza tunaweza fanya biashara
Mimi nipo mwanza kama kuna mtu pia anafahamu bei zake naomba msaada tafdhari ahsanteni.
Wadau habarini,
Mimi Nina tabia nzuri Sana mwenye huruma sijisifu bali naongea ukwwli wangu nilioa mwanamke ambae hakuwa na malezi mazuri alijichanganya mtaani na kufuata uhu I kwa ujumla alikuwa mshamba wa mapenzi alipojua saloon ni nini akachepukamazima. Kwa sasa nahangaika Sana kujua...
Habari za leo wakuu,
Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam wiki hii.
Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
Habar wakuu nina umri wa miaka 29 natafuta kazi yeyote ya halali kwa taaluma ninachet cha hotel kama housekeeper na waiter ambayo nitalipwa mshahara kuanzia 300,000 kwa mwezi.
Pia najua kuendesha gari, sijasomea.
Nipo DODOMA ila kokote naweza fanya kazi.
Kwa manual work nahitaji ambayo naweza...
Nina laki 6 natafuta laptop
Iwe dell, hp au mackbook ndio ninazikubali sana
Iwe na angalau sifa zifuatazo
Ram 8GB
STORAGE - SSD angalau 200 gb
Generation 8+
Bluetooth, webcam, HDMI port LAZIMA
Ukubwa wa Kioo uanzie 13 mpaka 16 yaani iwe saizi ya kati sitaki kioo kidogo au kikubwa
Chaji...
Mimi ni kijana wa kiume miaka 21 Nina elimu ya form six
Nimeshindwa kujiendeleza na masomo mwaka jana maana nilikosa mkopo
Hivyo basi natafuta kazi yoyote maana nilikokuwa nimejishikiza mwenyewe amefunga
Napatikana kwa 0622905303
Habari,
Tanga kunani palee
Wanajf natafuta chumba cha kupanga tanga maeneo ya kisosora au chumbageni au maeneo karibu na hayo.
Chumba kiwe na choo ndani
Bajeti yangu 70k kushuka chini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.