Salaam; Wanajukwaa poleni na mihangaiko ya kila siku, natafuta Godown kubwa kiasi kwa ukubwa wa kuanzia Square metre 800 mpaka 1000, Nikipata maeneo ya kuanzia Nala na singida Road itapendeza sana.
Mwenye Offer nzuri basi aje PM tuongee Biashara. Namba zangu 0710 782874 na 0693 784003
NB...
Kanitumia hivi
HAbari dada naitwaa f natafuta mke wakuoa awe umri kuanzia 22 mpaka 25 ., awe maji yakunde , mrefu wastani, asiwe mnene wala mwembamba sana .
Awe anaishi dar , awe anafanya kazi
Awe yupo tayari kuwa mke.
Ila asiwe mchaga.
Muhitaji ni mwajiriwa , mkristo
Ni mpenda kanisa . Mrefu...
Shout out to you brothers, wengine kati yenu mna vipaji vya kuelezea story k.v Eric shigongo, wengine mnatoa post zenye falsafa iliyo timamu, wengine kati yenu huwa nikisomaga comments au post zenu mara nyingi huwaga nacheka kabla ya kujibu, wengine majina yenu ya humu yanachekesha, mara...
Habari wakuu,
Bila kuwachosha sana niende kwenye mada. Mm ni dereva Mzoefu ninatafuta Bajaj iwe ya mkataba au hesabu popote ndani ya Dar es salaam.
Contacts. 749662314
Nawaslisha.
Wasalaam
Habari zenu watanzania wenzangu.
Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya uandishi na utangazaji wa habari.
Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo dar es salaam wilaya ya ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Asanteni 🙏
Wakuu natumai mu-wazima wa afya,
Natafuta Caterpillar la kuvunja shamba. Shamba lipo mkoa Pwani (km 160 kutoka Dar).
Ningependa kujua gharama ya kukodisha, kusafirisha na kama Kuna gharama zingine
Wakuu nipo hapa tena mbele yenu bado natafuta kazi sehemu yeyote ile viwandani na sehemu nyiginezo naamin kupitia jukwaa hili mtanisaidia ombi langu wenye connection sehemu mbali mbali naombeni mnisaidie kwa hili sichagui kazi japokuwa nimesoma.
habarini Wana jf. mimi ni kijana wa miaka 23 nasoma bsc chemistry,Mwenge catholic university natalajia kumaliza chuo mwezi wa nane mwaka huu(2024). hivyo basi natafuta sehem ya kufany internship iwe kiwandan au migodoni kote nafany as quality controller, lab scientist and chemist.
mwenye kujua...
Habari wana jamvi, kama ilivyo heading hapo juu. Natafuta mtu ambaye yupo serious, committed, experienced and devoted; aje awe manager wa shamba.
Shamba lipo Namtumbo Ruvuma.
Note:
1. Shamba ndio linaanzishwa
2. Lita include mifugo kama kuku wa
kienyeji, Bata na mbuzi.
3. Mradi wa kilimo...
Habari za Jumapili wadau, naomba mwenye wimbo jina lake unaitwa NITUME MIMI BWANA kuna mapadre sijui ndo wameimba, ila ni wanaume pekee ndo wameuimba,
Mwenye nae auweke tu hapa niuchukue maana huko google kote hakuna pa kuichukua zaidi tu upo YouTube na mi sitaki, nataka tu ukae kwenye simu...
Natafuta Mchumba wa kike Mimi nina miaka 25
Sifa
Umri 27-20
Elimu form 4-Degree
Makazi-Dar es salaam(Wilaya ya ubungo)
KAZI yeyote tu
Anicheki kwenye email ebrahalwatan@gmail.com
Habarini.
Wazoefu wa shared office niko na startup yangu, hivyo niomena ni bora nipate shared office kwa miezi hii ya mwanzo kuliko kupanga office nzima maana gharama zitakuwa kubwa.
Hivyo naombeni wazoefu wa shared office mnipe ABC zake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.