natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. elixer of life

    Natafuta mwanamke

    Hi… Mimi ni kijana 30+ nina tafuta mwanamke wa kuanzisha nae maisha Sifa :spiritually understanding :mbunifu wa kutafuta kipato :Asizidi 34+ Dini yoyote Kazi yangu na vipaji pm
  2. Isaack Newton

    Natafuta music academy kwa hapa dar

    Habari wakuu, natafuta chuo au sehem ambayo wanafundisha muziki. Nina mtoto wangu wa kiume anapenda drums sana. Kwa hapa dar es salaam ni sehem gani naweza pata?
  3. A

    Ruby caption natafuta mnunuzi

    Nina madini Aina ya ruby lakini Ni caption natafuta mnunuzi
  4. B

    Natafuta mhasibu

    Habari ninahitaji mhasibu kwa ajili ya kampuni mpya uwekezaji kwenye madini, awe na uzoefu wa kazi zaidi ya miaka 5. Majukumu ni kuandaa mishahara, kuandaa report za fedha kila mwezi kwenda mamlaka za serikali, kumanage cash na accounts, kudhibiti matumizi na kuratibu, n.k. Tuma CV kupitia...
  5. Varbo

    Natafuta chumba Scandinavia country

    Guys rafiki yangu 42yrs( ME) Anatafuta mchumba kutoka nchi za Scandinavia Hasa hasa Sweden. Aliachana na mzungu wake Miaka miwili iliyopita na sasa anataka kupenda Tena! Anawatoto wawili age 10 and 13. Income yupo vzr!! Mwanamke awe 30-38 awe mwafrica kutoka EA.. DM kwa ambar yupo interest
  6. L

    Natafuta mtaalam wa kuchimba madini ya Almasi

    Wadau Salaam. Shida yangu natafuta mdau mwenye ujuzi wa kuchimba almasi nitafute inbox WhatsApp
  7. Mkoba wa Mama

    Natafuta kazi, ni mhitimu wa stashahada ya afisa tabibu (clinical officer)

    Mimi ni kijana wa Kitanzania, nina umri wa miaka 25, elimu yangu ni stashahada ya utabibu, ninatafuta nafasi ya kazi, ninao utayari wa kufanya kazi mkoa wowote, iwe ni katika vituo vya kutolea huduma za afya (hospitali, vituo vya afya au zahanati), mashirika ya umma au binafsi au katika taasisi...
  8. Restless Hustler

    Natafuta dawa ya asili inayoitwa phylantus Niruri

    Wakuu natafuta dawa ya asili inayoitwa phylantus Niruri. Ni urgent sana. Natanguliza shukrani
  9. sangaone98

    Natafuta kazi, kibarua au ajira

    Heshima yenu wana JF popote mlipo, I hope mko sawa, mimi ni kijana wa kiume umri wa miaka 26. Naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia kupata kazi, kibarua, Ajira mwenye connection ya mchongo wowote halali naomba anisaidie naamini kwenye uwezo wenu wana JF. Kwa sasa niko iringa ila naweza kuja...
  10. Druggist

    Natafuta Peanut butter Mashine ya Kukodisha Kwa Dar

    Salaam Wadau.Kama Una Mashine ya kusaga Karanga kuwa rojorojo upo Dar, njoo tuzungumze biashara. Tunaweza kukupa mzigo kisha tukapatana utupe finished product au kila kitu kwako Sisi tunachukua rojorojo.Mashine iweze Kuchakata angalau Kilo 200 kwa Siku.
  11. Friedrich Nietzsche

    Natafuta mentor wa kunifundisha UTT

    Please kama unawiwa urafiki wa faida wa kufundishana na kuelekezana kuhusu uwekezaji kwene mifuko na bondi kama UTT jitokeze. Ingependeza uwe unajua viytu kuliko nijuavyo mm. mi ndo naanza kujitafuta kwene huu uwekezaji
  12. O

    Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi

    Habari: Mimi ni mhitimu wa degree ya ualimu wa civil engineering,, Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi, kwa mawasiliano 0747541717.
  13. F

    Natafuta kazi ya kupiga msasa/finishing mbao

    Ndugu zangu natafuta kazi ya kupiga msasa/finishing mbao na mdf bord.... Ni mzaliwa wa Tanga ila kwa sasa nipo Dodoma. Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote. kikubwa maelewano
  14. keneddelly

    Msaada wa kuwawajibisha benki ya CRDB kushughulikia kero yangu

    Mimi nalia na Hawa CRDB BANK. Mimi ni mfanyabiashara mdogo tu, nilichukua lipa ya CRDB nikaiweka ofsini kwangu, mteja wangu kanilipa kupitia hiyo lipa, pesa haikufika kwenye akaunti yangu na ilihali kwenye benki yake (NMB)inaonekana pesa imelipwa. Week ya tatu hii nafuatilia hakuna msaada...
  15. Kilakitu namudawake

    Naomba msaada wa kufika Ulaya

    Habari wakuu, Naomba msaada kwa mtu ambaye yupo ulaya anisaidie niweze kufika huko, nipo tayari kufanya kazi yeyote ya halali, passport ninayo.
  16. Sh3isart

    Natafuta kazi, fani ya mipango miji(Bsc. Housing and Infrastructure planning)

    Habari, nina degree ya housing and Infrastructure planning (Mipango miji) nimemaliza chuo kikuu Ardhi mwaka 2023 nipo Dar es Salaam. Natafuta nafasi ya kazi au hata ya kujitolea hata kwenye kampuni binafsi . Nitashukuru sana kwa msaada wako.
  17. Cerum

    Natafuta mpenzi/mchumba mwanamke

    Natafuta mpenzi wa kike awe na umri usiozidi miaka 36, awe anaishi dsm au morogoro, awe anafanya kazi au biashara. Mengine tutajadili PM.
  18. Alex Hamadi Hamis

    Natafuta chumba, masters cha kisasa - Mwenge / Sinza / Mlimani City

    Wakuu kwema humu? Nahitaji chumba masters, cha kisasa maeneo ya Mwenge, Mlimani City au Chuo (Ardhi) au Sinza Nataka kuhamia tarehe 1 mpaka 3 December! Bajeti yangu haitazidi 200,000/- TZS Nicheki +255676095799 kama una pictures kwa maeneo hayo. Asanteni
  19. Alex Hamadi Hamis

    Natafuta chumba masters, Mwenge / Mlimani City / Mlalakuwa

    Wakuu kwema humu? Nahitaji chumba masters, cha kisasa maeneo ya Mwenge, Mlimani City au Chuo (Ardhi) Nataka kuhamia tarehe 1 mpaka 3 December! Bajeti yangu haitazidi 200,000/- TZS Nicheki +255676095799 kama una pictures kwa maeneo hayo. Asanteni
  20. M

    Natafuta mtoto wa kike mwenye sifa zifuatazo..

    Natafuta mtoto wa kike mwenye sifa zifuatazo: Asiwe na urefu wa zaidi ya futi 6 au chini ya futi nee. Awe na rangi ya maji ya kinda, hata akiwa mweupe hakuna yaani. Asiwe na zaidi ya miaka 25. Awe na na umbo lisilolofautiana sana na lile la myigu. Mwisho awe anafaa kuwa mke. Ukiona andiko...
Back
Top Bottom