Salam ndugu zangu natanguliza shukrani kwa Muumba wetu.
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 22,
Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu ninahitaji mtu mwenye koneksheni ya kazi za migodini,migodi za wachimbaji wadogo pia hata wakubwa.
Natafuta maisha ndugu zangu kwa atakaeguswa au kwa...
Habari,
Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es Salaam. Level yangu ya elimu nina degree ya Information systems Management. Npo hapa kuomba kazi yoyote kama vile barista cafe, kuuza duka, kuuza Supermaket, na kazi nyingine yoyote mnayoweza nisaidia.
Asante
Naitwa Yusuph , umri miaka 20 natafuta Ajira au kazi yoyote ile ya halali.
Elimu yangu kidato cha nne.
Aina ya kazi , naweza kufanya Kazi mbali mbali , zakutumia akili pamoja na nguvu
Napatikana DSM wilaya ya TEMEKE
Mawasiliano +255696993834
Habari ya Uzima wanaJF!
Nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kibarua chochote Cha halali.
✅Nna shahada kwenye real estate management (hiki kisiwe kigezo Cha Mimi kupewa kazi)
✅Najua vema kutumia kompyuta kwenye program zote.
Naishi DSM, Asanteni sana
Habari za wakati huu ndugu zangu.
Naombeni mnisaide kazi, mahali pa kujitolea au hata ushauri, Nina Shahada ya Uchumi na Takwimu na nipo vizuri hasa kwenye masuala ya hesabu. Iwe ndani ya fani au nje ya fani muhimu ya halali tu.
Napatkana Dar es Salaam
Mawasiliano yangu ni; 0784990919...
Habari za humu JF
Mimi ni mwanamke umri 34yrs naishi Dar es Salaam natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:mpare wa ugweno
Elim Digree
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Nina watoto 3 niliwahi kuolewa Ila Bahati mbaya amefariki kwa ajali ya gari, ninahofu ya Mungu...
Wakuu natafuta kiwanja Dar es Salaam cha million 4. Aisee nataka na mimi niwe na kwangu nimechoka kupanga kumfaidisha mwenye nyumba pesa. Nipo serious.
Natumaini ni wazima wote.
Ndugu jamaa na marafiki embu angalieni mnanisaidiaje na hii fani na uzuefu nilionao kwa nguvu zangu nimekwama.
EXCAVATOR OPERATOR uzoefu miaka 5
WHEEL LOADER uzoefu mwaka1
pia naoperate LLOLER
NABIDII NIWAPO KAZINI
NATAMANI SANA KUPATA MASHINE YA MTU BINAFSI...
Habari wakuu.
Natafuta chupa za plastik hizi za kijani kubwa na ndogo,naomba maelekezo ya kiwanda maana nahitaji kwa wingi na biashara endelevu.
Piga 0713 039 875
Mimi ni mwanaume umri miaka 33.
Kazi ; nipo mwaka wa mwisho kimasomo (udaktari) niliamua kurudi kupiga tena kitabu sasa nipo mwa mwisho kimasomo .
Natafuta mchumba (ke) kikubwa awe msikivu kwangu sichagui umri wala kabila.
Makazi yangu yapo dar, na mpenzi wa mwisho nilimpata humuhumu ila...
Husika na mada tajwa hapo juu. Mimi ni mhitimu mwenye shahada ya Business Information Technology. Natafuta nafasi yoyote ambapo naweza kujifunza kazi kutokana na taaluma yangu. Ingawa nimejifunza mambo mengi nikiwa chuoni, natamani kupata sehemu ya kufanya mazoezi ya kazi, hasa katika upande wa...
Habari wanajukwaa
Mimi ni kijana wa miaka 23
Jina ni Rajab
Makazi ni Kwa Aziz Ali, Dar es salaam
Elimu nimesoma hadi kidato cha sita kisha nikaenda chuo.
Nimehitimu chuo mwaka huu (Lakini sitaweza pata cheti wala kufanya mahafali hadi mwakani juu ya changamoto zilizonitokea ikasababisha...
Wakuu habari
Natafuta power tiller la kukodi, Nina eneo langu dogo tu la kulima bustani , kama Kuna mtu ana power tiller naomba anikodishie
Eneo la kazi ni Kimara, dar es salaam
0616274277
Naitwa Ezra
Umri 23
Elimu kidato cha sita.
Nimepita JKT
Natafuta Kazi zifuatazo
Ulinzi -kazi hii nipo na uzoefu nayo maana nimepita JKT pia nimewahi kufanya Kazi SGA Kama Mlinzi wa Silaha.
(security group of Africa) kazi hii niliacha Kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.