Nikiviangalia sijui muundo wake lakini kwa chini naona Kuna chuma kimepita Sasa hakiwezi kutoka za mbao na kuleta balaa , embu tuambie, je muundo wako ukoje
Nilianza degree kwa vigezo vya advance levels, ila kwasasa Naona opportunity zipo kwenye diploma na certificate huku.
Kwaiyo namaliza degree nataka kusoma NTA level 5 na 6 ili kukabiliana na soko la ajira.
Naombeni ushauri kuhusu hili wakuu.
Huyu ni mdogo wangu amepata ufaulu huu
Ila Mimi nataka aaende chuo moja kwa moja aanze certificate mpka degree Naona kwenda advance ni kupoteza muda
Natamani asome
Cyber security
Computer engineering science
IT and accountancy
Micro biology
Naomba ushauri wako
Benson
Civic C
history C...
Katika kupambania life nimeamua kuingia kiwanjani nataka nikatafutie Fiji nataka nijue kwa upana fursa za uko, usafiri mpaka uko, maradhi na gharama za maisha kutoka kwa experience za watu mbalimbali waliowahi fika uko au wanajua mengi kuhusu uko.
#Toka magheton, ingia kiwanjani
Evening!!! Nahitaji kuchonga kabati la jikoni fundi wangu anashindwa kufanya vipimo vyake kwasababu ya hiki kitu"ovena iliyounganika na jiko Ina vipimo gani Yani urefu na upana!!" Msaada tafadhari naambatanisha na picha.Asante
Sina mali nyingi ila nashukuru Nina nyumba kadha wa kadha, viwanja , mashamba na mifugo kijijini kwetu.
Watoto wangu wanasoma na watamaliza bila shaka. Nimetafakari haya maisha hayana garantii naweza kufa saa yeyote je kwanini nisianze kula mali zangu taratibu kabla sijafa? Naombeni ushauri.
Wakuu, nimekuwa na wazo la kwenda Shinyanga kutafuta pisi moja ambayo nitatulia nayo tuanzishe familia.
Unaweza kuniuliza why Shinyanga? Kipindi kile Haji Manara alipomuibua Rushayna, baada ya kugombana naye nakumbuka alisema alimuibua huko Shinyanga. Rushayna ni pisi kwa kweli, naikubali sana...
Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana
Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au ndani ya kikundi cha watu na kwenda kufanya vurugu au jambo lolote.
Mungu ametupa mamlaka juu ya vitu...
Kwa darasani kwa sasa ni ngumu kurudi labda naweza pata njia nyingine nzuri ya kufahamu hasa kusoma na kuongea.
Nataka kufanya hivo kwasababu zifuatazo
1. Napenda Sana kusoma na kuangalia habari za kimataifa.
2. Napenda kusikiliza miziki ya kingereza
3. Napenda kutazama movie za kingereza...
Kuna nini ndani ya kuhitaji kuishi ziada kwa Dk Mpango?
Seems ameona akiwa ndani ya mfumo maisha yake yapo hatarini-kwanini yawe?!
Na kwa nini Rais Samia alijihami na kusema hitaji la Dk Mpango kutaka apumzike halichangizwi na masuala ya kazi?!
????
Wakuu habarini za wakati huu. Husika na madam tajwa hapo juu, Nina elimu ya Shahada ya kwanza katika tasnia ya teknolojia ya habari na biashara. (Businesses Information Technology).
Usiku wa kuamkia Leo nimekosa usingizi baada ya kuwa na mawazo ya kuwaza na kuwazua juu ya maisha yangu ya usoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.