Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi kijana mwenzenu nimelenga kujilipua kwa kuagiza mzigo kutoka china kwa mara ya kwanza,hivyo basi naomba munielekeze namna ya kufanya malipo.
natanguliza shukrani za dhati
Wakuu,nimepitia malalamiko mengi kuwa pressure cooker za umeme,zinasimbua sana.
Kampuni gani ni nzuri,nasikia zinatumia umeme vizuri sana..
msaada wazoefu.
Mwaka 2025 usikae kihasara
Nikikuita kwenye darasa la Feminine unaona nakuibia
Mmemwona Mke wa Bilionea Mwamposa? Alivyo mrembo? Alivyo FEMININE?
Hivyo ndivyo wanaume wakiwa na hela wanachagua wanawake wanaowataka wao, ambao walishindwa kuwamiliki wakiwa hawana hela
We zubaa hapo, shauriako...
Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million
Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti
Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za mikopo huku wengine wakitumia taasisi za mikopo
Nahitaji kufahamu vigezo hii itasaidia endapo nataka...
Wakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe gari mwaka huu
Nyumba ya 5 bedrooms
Master kubwa 1
Self 3
Single 1
Sitting room, dining & kitchen
Study room
Laundry
Public toilet
Store
Je kila kitu mpaka inayooneka hapa maybe na finishing ya vitu kama masinki nk.
Inaweza gharimu kiasi gani?
Wakuu nataka kuagiza jezi original ya Madrid ila Kila nikifungua website Yao haifunguki Hawa jamaa shida itakua nini naombeni anaejua maana Nataka kuagiza jezi tatu zote wakuu
Aslaam,
Kuna wakati kama binadamu unatakiwa ujitafakari.
Mim binafsi nimejitafakari na kugundua nimechelewa saana katika maisha. Na Moja yakitu kilichonichelewesha ni hofu.
Asikuambie mtu hii kitu(hofu) ni ya kijinga saana, nakama hujaiugundua mapema inaweza kukumaliza mpka uzeeni...
Wakuu baada kupambana hapa Tabora na kutokuona mwelekeo wowote maisha nimeamua niende Zanzibar. Sasa nimekuja hapa mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar nataka niende huko nikatafute KAZI ZA UJENZI. Pesa niliyonayo Kwasasa niliyosevu ya kunifikisha huko kutoka Tabora na matumizi mengineyo...
Google
You've closed your Google payments profile
Hello from Google,
You recently closed your Google payments profile.
You'll still be responsible for outstanding balances.
Most customers can delete additional payment information, including loyalty cards and contactless payment attempts, from My...
Mimi ni kijana wa miaka 23 ni mwajiriwa mpya katika jeshi Fulani Nina miezi 2 elimu degree ya upelelezi na Usalama ,Nafanya kazi kwenye taasisi ya jeshi Fulani natafuta Binti wa kuoa awe chini ya miaka 23 awe muislamu.
Wakuu hiv karibuni Shilingi ya Tanzania inaimarika Sana dhidi ya Dola.
Leo jion ilikuwa USD 1 = Tsh 2375
Lakin Kwa nionavyo kuimarika huku ni Kwa muda Tu na January mwishon au February USD 1 yaweza kuwa Tsh. 2800 huko.
Nataka nitumie fursa hii ninunue angalau USD 2000 ili nije niziuze baada ya...
Mambo vipi wadau nimekua na account ya email ya yahoo Kwa muda ila Kuna siku mwaka Jana nilitaka kulogin ikakataa kwamba password sio yenyewe nikajaribu kuforget password ili ni renew ikadai code zitatumwa kwenye namba ya simu niliotumia kusajilia account nilishindwa kwasabqbu namba niliotumia...
Ntaka niolewe lakini niendelee kuwa na uhuru wangu!
Nina mchumba wangu ambaye Mungu akipenda, mwezi huu mwishoni tunafunga ndoa. Hata hivyo, nimeshaanza kuogopa. Sio kwamba ananifanyia kitu kibaya au ni mtu mbaya, hapana, lakini kuna mambo yanatokea ambayo sijayapendi. Mchumba wangu ni daktari...
Wakuu
Mkuu wa Mkuo wa Arusha amegiza tarehe 24 kila nyumba ifanye kikao cha familia, ajenda iwe moja tu kwamba; "Tumekuli kuendelea hivi mpaka mwaka mpya (2025) unapoingia? Au tunataka mabadiliko"
Huu ndio Muongozo wa Rc Makonda kwa Wananchi wa Mkoa wa Arusha.
Nataka kununua router ya Airtel ila mitandaoni naona kelele ni nyingi juu ya malalamiko kuhusiana na internet kuwa slow.
Nilipo hapa natumia bando la kawaida la Airtel na liko poa. Naombeni ushauri kuhusu hizo router zinafaa au hazifai kabla sijaingia mkenge!
NB
Matumizi yangu ni ya kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.