Wakuu habari zenu!
Jamani mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nataka kubadilisha mazingira nihamie Botswana 🇧🇼 japo kibishi bishi ,naomba ushauri au connection.
Asante.
Hii naamini ni settings tu
Nataka Simu nikitype message kwa Kiswahili nataka yale maneno automatically yawe saved ili next time nikitumia hayohayo kwenye kitype nichague tu
Aina ya simu Redmi
Nisaidieni.
Habar wadau !!
Nina mtoto nyendo zake sizielewielewi sasa nataka ni hack SMS za kawaida ili niweze kuzisoma bila kushika simu
Nataka nimtumie link either whatsapp au gmail kisha nimpigie nimwambie abonyeze io link kisha mm niweze soma sms zake huku
Nifanyaje
NOTE sitak purchase plan...
Niajee wadau, baada ya husle zangu za hapa na pale kutoonesha matunda mazuri kutokana na kuwa connection hafifu nimekuja na plan hii..
Nataka niingie CCM, niwe mwanachama kindaki ndaki wa CCM yaani mpaka nitengeneze connection kwa ajili ya fursa nizitarajiazo.
Je kwa wazoefu is this working...
Niaje wakuu.. Kuna Hii Biashara ya Vibanda vya Movie naona ina return nzuri asee.. 30K per Day kawaida sana. Nimeipenda kwani ina mtaji mdogo lakini pia ni ngumu kuleta Hasara na pia rahisi kufanya.
Sasa mie nataka niweke Goli hilo liwe la kuuzia Movies, Miziki, vitu kama Flash na accessories...
Ninataka kufungu satellite dish mwenyewe. Ni la kampuni ya Zuku. Ninaomba muongozo nilielekezee upande gani ili nipate signal na pia step by step jinsi ya kusearch chaneli
Habar wana jamii forum polen na majukumu leo nimeona nije na hii mada ngumu naomba kwa wenye uzoefu mnipe mbinu na changamoto za hii biashara
Nina mpango wa kufungua kiwanda cha PET BOTTLE RECYCLING kiwanda cha kusaga na kukata chupa za plastic nimeongea na kampuni moja ipo china jina kapuni...
Nina rafiki yangu mmoja ambaye amebahatika kukutana na kuongea na bosi mmjo wa kampuni moja kubwa iliyojikita kwenye biashara ya mafuta na gesi; katika maongezi yao rafiki yangu alipendezwa na kufanya biashara ya kuuza gesi. Wakakubaliana kuwa anataka kufanya biashara ya kuuza gesi iliyoko...
Kichwa cha habari hapo juu chahusika
Baada ya kupata kazi na kuwa na uhakika wa kipato sasa nataka nishughulike na kutafuta mwili maana sifurahii huu wembamba japo sina maradhi yoyote yanayoweza sababisha hivi.
Mimi ni kijana wa miaka 27 sijaoa naishi mwenyewe.
Sasa nataka kuongeza mwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.