Kwa wengi, Chimamanda Ngozi Adichie alipata umaarufu wakati mazungumzo yake kwenye TED Talk, “We should all be feminists” iliposhirikishwa katika wimbo wa Beyoncé Flawless, lakini vitabu vyake vimetafsiriwa katika lugha zaidi ya 30 duniani kote.
Mwandishi huyu maarufu wa Nigeria anazungumzia...
Nataka nijitoe ufahamu kwa kuandaa CV yangu vizuri, halafu nitaandika barua moja kwa moja kwa Rais ikulu, nitaambatanisha vyeti vyangu vyote kisha nitavizia siku rais yuko Dar.
Ntapeleka barua yangu pale geti la ikulu, ntawakabidhi walinzi kisha nitawaomba wamfikishie mheshimiwa hiyo barua...
Wakuu habari za hapa jamvini?
Nitumbukie kwenye mada yenyewe.
Ni hivi nilijenga msingi wa nyumba ya vyumba vitatu moja master, sebule, dining, stoo na public toilet katika plot mbili tofauti na sehemu tofauti pia moja wilayani kwetu na nyingine katika kata yangu. Sasa kote nimeshindwa...
Habari wadau
Zuku wamekuja ofisin leo wametuambia tulipie 69000 ili watuunge na fiber ya 10MB/S vp speedd yao nzur au utopolo
Nasubiri ushauri wenu wadau
Habari wadau,
Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada.
Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2.
GHARAMA
Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
1. Mecky Mexime Kocha Msaidizi
2. Ally Mayai Meneja wa Timu
3. Juma Kaseja Kocha wa Makipa
Kocha Mkuu Kim Poulsen hatufai ila awe Mkurugenzi wa Ufundi wa Timu za Taifa na atafutwe Kocha mwenye Viwango wa Kimataifa na anayejua Kucheza Soka la Kimalengo na siyo Soka la Hamasa, Siasa na Upuuzi...
Jamani wapendwa nataka kuanzisha biashara ya kuuza dawa za kuua nyasi kama vile round up kalachi nk.
Naombeni mwenye uzoefu anipe faida na hasara za biashara hii.
Asanteni sana
Nyama ya mamba inaliwa na inauzwa ghali Sana kg 1 ni 30,000/= pale kibaha kwa mzungu Sasa mamba na kenge ni ndugu je Kuna tatizo naomba ushauri.
Naishi pembeni ya mto Kuna kenge wengi Sana.
Ndg, mimi ni mtumishi wa Umma kwenye taasisi nyeti hapa Dar, hata hivyo juzi nilipigiwa simu na mtu aliejitambulisha yupo Dodoma. Akinitaka nifike ofisini kwao kesho kutwa yake kwa ajili ya mahojiano, nikakubali ila baadae nikamwambia naomba anitumie barua ya wito kupitia kwa mwajiri wangu...
Kutokana na changamoto ninazoziona kwa wazee au wakubwa zangu walionitangulia, hasa wenye umri mkubwa wanavyoishi, nimeazimia kutengeneza 'empire' kama mazingira yataniruhusu.
Wazee wengi wamekuwa wakiishi kinyonge, kutokana na watoto wao kuwa mbali nao; unakuta mzee alipambana kuwakuza watoto...
Mimi ni kijana umri Miaka 28. Naishi Dar es Salaam.
Baada ya kupata shauku kuoa niliamua kusafiri na kurudi kijijini kwetu ambako wazazi wanaishi.
Nilifanya uchunguzi kwa binti kadhaa waliokuwepo kijijini. Kutokana na Mimi kutokuwepo kijijini kwa Muda mrefu ilikuwa ngumu kujua yupi ni mtu...
Wataalam wa Technology habari zenu,
Bajeti yangu ndogo ila natamani nimiliki Iphone katika pita pita zangu nimekutana na Iphone S6 ambayo inaendana na Bajet yangu ila wasiwasi wangu ni kwamba nasikia ifikapo mwakani itakua expired kwamba baadhi ya app km WhatsApp na nyinginezo zitakua hazifanyi...
MAMBO 10 MUHIMU
UNAYOTAKIWA KUYAACHA.
Rafiki yangu mpendwa, Unashindwa kutoka hapo ulipo siyo kwa sababu hutaki kutoka hapo ulipo, hapana, unataka sana tu kutoka hapo ulipo na kufika kule unapotaka wewe kufika.
Ila tatizo lako wewe ni kuwa unataka kutoka hapo ulipo kwa maneno na si kwa vitendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.