Khabari zenu ndugu zangu.
Naomba mnipe mawazo katika Hili.
Mimi ni kijana miaka 28 hivi, kipato changu sh 30k kwa siku but nikifanya matumizi yangu katika familia Yaweza baki 10 au 15 inategemea na siku.
Nataka kununua kiwanja nina mawazo na kiwanja huu ni mwaka sasa kinanitia mawazo. Nawaza...
Wakuu,
Nataka nianze kuuza ugali na dagaa mchele wale wa kukaanga, nitaweka na kachumbari kunogesha au mboga za majani.
Nimefikiria ugali na nyama ya kukaanga lakini nimeona itanikost sana kwenye nyama. Kwahiyo mbadala nimeona ni dagaa mchele ambao kuwapata ni hapa hapa Kigamboni. Kuna mwenye...
Habari wa nzengo (salaam kutoka Jijini Mwanza)
Mimi ni kijana mpambanaji. Nimekua katika hustles kwa muda mrefu sasa naona milango ya baraka inafunguka na mimi sitaki kuchezea nafasi. Mwisho wa mwezi uliopita nilibahatika kununua kiwanja kwa bei ya kugalaliza vibaya sana.
Size ya kiwanja ni...
Huyu Jamaa kapata mwanamke mzuri na mimi i wish to get such Woman. Mwanamke anayekomaa na we A part of challenges u face she is right woman. Nb simpendi Sabaya ila napenda nipate mwanamke kama wake.
Sabaya hela zake zipo with-held zote since awe under custody (Arrested) so Mtu asinimbie habari...
Habari wanajf
Mimi ni mkristo moja kati ya ndoto zangu ni kuwa na wake wawili mmoja muislamu mwingine mkristo. Hii kitu imekuwa ikija kichwani hivi karibuni kwasababu nimekuwa na bahati ya kupata mabinti wa kislamu tena unakuta ni wife material wanastahili kuwekwa ndani na nimekuwa nikidumu nao...
Habari zenu watoto wa mama (SSH)
Nimejikuta wiki nzima imeharibika baada ya kupokea matusi kutoka kwa mtu ambaye amejitambulisha ni mtoa huduma kwa wateja (customer care).
Nilikuwa nimepumzika zangu majira ya asubuhi ghafla nikapokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa anatoka kitengo...
Ndugu zangu tunajaribu kupambana na maisha ili siku ziende, ukishika hapa unajaribu na pengine, naomba wenye kujua namna ya kupata vifaa vya kucholea marembo kwenye nguzo na madirisha anisaidie tafadhali.
Mazingira ya hii kampuni tu hayajanivutia. Ni kazi ya mkataba wa mwaka mmoja(renewable). So naona siwezi kuendelea nao mbele.
Ndio kwanza nina week ya pili kazini ila nataka kuacha.
Mnanishaurije?
Wasalaam
Nilikuwa nadiscuss na dada angu wa faida kuhusu kuanzisha platform ya kuakutanisha watu wenye vipato mbali mbali hasa kipato cha kati na chini ,ila wana uhakika wa kipato hata kiduchu na ni waaminifu,
Hii platform itaenda na wakati mtu akijisajili anajisajili na details zake ikiwemo...
Nimemuuzia Mpemba mmoja Kiwanja hapa Kihonda Morogoro, hakuna kikwazo chochote alichopata kipindi cha kubadili umiliki wa kiwanja toka kwangu kwenda kwake. Sasa nataka namimi niende Unguja nikanunue kiwanja kwaajili ya makazi na biashara... Naamini sitakutana na kikwazo chochote maana hii ni...
Oy wazee wa tech nilikua na wazo la kufungua ad network
ambayo ni special sana kwa blogu za kuswahili ila lugha nyingine nitalipa pia
japo bado nipo kwenye mawazo wapi nitapata matangazo au publishers
Haya nimelileta kwenu vipi mtanisapoti au ?????? Wenye blog/tovuti
N.B NATENGENEZA BLOGU...
kuna hizi simu za nokia g10 nimeona review ziko vizuri kutoka na review nilizoangalia je nyinyi watumia wa nokia g10 ni nzuri kwa picha za mchana na usiku
bei nimeona around 370k za bongo
Hi!
Naweza nikaonekana nakufuru au naringa. Hapana, huo ni msimamo wangu tu kama wewe msomaji ulivyojiapiza kwenye baadhi ya mambo.
Mimi sili kwa mama nitilie.
Habari wana Jf nimeamua kufungua daycare baada ya kuhitimu diploma ya childhood education nimeamua nijiajiri,hivyo ninaomba mwenye uelewa wa taratibu za kufuata anielekeze tafadhali.Ushauri
Tuwe serious na hili tokea 2019 mpaka sasa kuna mtu hajaolewa na kuna mtu hajaoa mpaka sasa leo hii mtuelezee matatizo mnayokumbana nayo ili muweze kutoa dukuduku zenu.
Halafu kingine ninaomba kujua kama mpo single mnaishije? Tuambizane.
Changamoto mnazokutana nazo.
Nipo serious
Habari wana jamii,
Naomba mnishauri, mimi ni mfanyakazi serikalini. Muda mrefu nafikiria biashara ya kufanya lakini nashindwa. Sasa hivi nimeamua kuanza kufuga kuku chotara. Nataka kununua kuku chotara vifaranga mia moja. Nivitunze na kuvilisha vzr, lengo nataka muda ukifika 40 niviuze halafu 60...
Habari zenu wanajukwaa,nna mpango wa kwenda Mauritius kusaka life, naomba wenyeji wa huko mnipe habari mbali mbali zinazohusiana na nchi hiyo hasa katika masuala ya uchumi- ajira na biashara na mambo mengineyo.
hii bongo ni ngum sana ata uwe na elimu gan bdo shida tu.
karibuni wenyeji
Nipo kwenye miangaiko ya maisha kwa muda wa miaka miwili sasa baada ya kupoteza kazi.
Maisha yamekuwa magumu sana nimetumia akili, maarifa na kila ujanja lakini hali inazidi kuwa mbaya.
Kila kitu sasa nimekuwa nakipata kwa shida iwe kula iwe mahitaji yoyote ya kila siku.
Mimi ni mkiristo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.