Habari zenu ndugu zangu wa damu,pongezi nyingi kwa kuamka salama
Nimepata hela kidogo nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i ipi nzuri zaidi na kama au bora zaidi ?
Karibuni sana
Habari ndugu zangu...
Nahitaji boss wakunipa gari yake niendeshe nimletee hesabu.
Naahidi tutaenda vizuri tu wala aside na wasiwasi.
Napatikana kerege chama ipo mkoa wa pwani nje kidogo ya mkoa wa Dar es Salaam
Tuwasiliane whatsapp 0679194505
Habari zenu wana Jamii forums.
Jumapili hii tulivu ya leo nimechekecha kichwa kidogo nimepata wazo la kuandika kitabu kisha nikipeleke kampuni ya ucapishaji na usambazaji kiwe kinnapatikana kwenye stationary na naduka ya vitabu.
Kabla sijaanza kukiandika nimeona ni vema niyajue kwanza...
Mambo vipi wakuu kichwa kinajieleza hapo juu nataka kwenda kwenye hiyo biashara. Mada kuu nikujua bwawa la mtera linafanya kazi kwa sasa? Mimi Nipo nje ya nchi
Na je mtaji wake wa kuanzia changamoto zake n.k Zaidi sehemu ya kupata hao samaki nimeona ni bwawa mtera ndio pata nifaa.
Onyo:
BIDADA wale wa" Mkaka gani Unatuletea inshu hizi humu , Hawa ninawaambia, Achen Wivu , sijakutongoza na Sina mwanamke JF na kwakua sitegemei kupata mwanamke humu, Tulia am free ndio maana naandika ili ikitokea nmeingiwa na Tamaa Kwa mdada wa JF, basi apitie post zangu. .
KWA JAMAA ZANGU...
Utangulizi.
Maarifa ni elimu ambayo mtu huitaji ili aweze kuitumia katika maisha yake au kusaidia wengine kwa changamoto ambazo hawawezi kuzitatua kutokana na ufinyu wa maarifa. Maarifa unaweza kuyapata kwa kutumia elimu rasmi hiisiyo rasmi mfano mtaani. Tukiongelea neno mtu wa maarifa ni yule...
Ma legends,
Nimepata changamoto ya kusafiri na huyu wife material!
Changamoto ninayopitia ni kuwa kila tukianza safari ya utalii wa ndani, huwa tunaanza kwa pamoja, kanda ya kaskazini. Tunapotoka kanda ya kaskazini mimi huwa niweke pozi kanda ya ziwa. Hapo nitakaa muda kadhaa nikirukaruka...
Wadau, kuna fursa nimepata ambapo natakiwa kuanzisha chuo.
Kwa kuanza, chuo kitakuwa kinatoa mafunzo kwa ngazi za certificate na diploma kisha baadaye tutaenda level za juu zaidi.
Sasa natamani kujua ni kozi zipi nianze nazo? ambazo zinapendwa, zenye soko na zitakazouza jina la chuo vizuri...
Hivi kweli kabisa Logically hizi Klabu zetu pendwa nchini za Simba SC na Yanga SC kwa Uswahili uliozitawala na Ujanja Ujanja ( Usamjo Usamjo ) ni za Kudhaminiwa Bilioni 26.1 na Mbet kwa Miaka Mitano na Bilioni 12 na Sports Pesa kwa Miaka Mitatu?
Klabu pekee nchini Tanzania kutokana na Structure...
Wadau wa Kilimo na wenyeji wa kanda ya ziwa Mwanza n.k.
Nataka kulima Karanga na muhugo sehemu gani nzuri kwa mazao haya iwe ndani ya mkoa wa Mwanza au jirani na mkoa wa Mwanza.
Pia sehemu ambayo taweza kulima mahindi angalau mara mbili kwa msimu mmoja.
Mada hii si ya uchokozi wa kidini, la hasha.
Ni la kutaka kueleweshwa tu.
Kwa mantiki ya Hijja, mwisho wake sala hiyo ni kuzunguka lile jiwe la K'aaba.
Halafu baada ya hapo kuna kulipiga jiwe na mawe kwa imani ya kumpiga mawe shetani.
Hapo ndipo mimi nataka kwenda ,kumsulubu shetani kwa mawe...
Wanaoijua hii simu nahitaji msaada wenu,
Je, ni simu nzuri? nimeifuatilia mtandaoni inaonekana nzuri ila nahitaji wazoefu ambao wamewahi kuitumia kabla sijajilipua kuinunua.
Habari za asubuhi?
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza nimeajiriwa na serikali taaluma yangu ni Daktari wa binadamu (medical doctor) kuna mkopo nimechukua wa thamani ya mil 35. Nimefungua pharmacy pamoja na maabara.
Nataka niache kazi nisimamie biashara zangu. Je, nikikimbia serikali...
Nimewaza kutafuta biashara nitayopata faida sh 2000 kwa kila item. Nimepiga hesabu nitatengeneza million na zaidi kwa mwezi.
Hesabu ipo hivi, niweze kuuza bidhaa 500 ndani ya mwezi, nipate shilingi 2,000 faida kwa kila bidhaa. Kwa siku niuze bidhaa 20 na kila bidhaa niuze kwa faida ya Tsh 2000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.