Kwasababu zangu binafsi ambazo sitapenda niziseme (but very reasonable) hua siui kiumbe yoyote aliye hai tofauti na mbu. Kiukweli siwapendi na nawaogopa sana nyoka ila hata wao imekua ikiniwea vigumu kuwaua hivyo pindi napokutana nao hua naishia kuwafukuza au kuwapotezea kama wameenda eneo...
Binadamu wanapenda kujaji watu kwa kuangalia sifa za nje kitu ambacho mara nyingi siyo sahihi, katika neighborhood ya kazini, one of colleague aliniomba nimshauri kwa yale anayopitia, kwa moyo mkunjufu nilijitahidi kua positive juu ya ndoa yake na bila kupindisha rula, so ikawa kama counselling...
Ndugu zangu Nipo Dar es Salaam,
Nataka kufahamu utaratibu wa upatikanaji wa Kibali cha Muda cha kuingia Kenya najua njia za shortcut zipo ila mimI sitaki hizo nataka kufahamu utaratibu wakupata official temporally Permit ya kuingia Kenya.
Ofisi ziko wapi na kuna malipo au la, na nahitqjika...
Wadau wa nyimbo za zamani zile Kali Kali Naomba mniandikie hapa chini nataka kumchukilia mzee wangu Flash then nimuwekee nyimbo .
Pia na za ki-congo na hata za kizungu za miaka ya zamani zile nzuri.
Salamu Kwenu Greatthinker(Akili kubwa).
Ushauri wako muhimu sana. Two weeks ago nilipewa connection Kwa Mzee wa makamu kidogo nikampigia simu kumuomba kazi the way nilivyoongea naye kupitia simu nilijionyesha kuwa Nina uhitaji sana na kazi hatimaye nikaitwa Kwenye interview japo Kwenye usaili...
nimemaliza chuo mwaka 2005 . nikafanya kazi maeneo kadhaa wakinizingua naacha.
huwa sipendi kuzinguliwa kazini. kwahiyo usitegemee uniajiri alafu ulete za kuleta eti nikuache
kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno hauwezi kunisahau maisha yako yote mpaka unadead.
so kuna sehemu...
Mzuka Wanajamvi!
Kanisa la Feel Free Church liko wapi Dar na mtaa gani? Nataka kwenda kusali hapo leo. Ratiba ya ibada ikoje?
Msaada kwa yotote anayejua.
Waziri utukufu wa mungu ukawe juu yako, na nakupa pole na majukum yako kwa mbali sana maana ni kazi yako na ujira unalipwa hufanyi bure.
Naja kwenye dhumuni la andiko hili, moja kwa moja maana u waziri mwenye dhamana kwa hili.
Ndugu waziri chini ya wizara yako vipo vitengo vingi ambavyo kwa...
Mimi ni fundi seremala huwa napenda sana kutumia internet hasa youtube kuongeza ujuzi.
Nimejikuta natumia wastani wa shilingi laki moja na elf 30 kila mwezi kwajili ya internet kwenye kucheki youtube, netflix, kudownload cartoon za watoto, kushare internet, n.k.
Nataka nipunguze gharama hio...
Habari wana jukwaa wa jamii forums
Niende kwenye mada moja kwa moja nina idea ya kumfungulia dogo salon, nina maana salon ya kiume simple tu wala sio ya gharama. Namchukulia vitu vya kawaida tu kama mashine za kunyolea mbili na vitu vidogo vidogo, kiti ataanza nacho kimoja na kochi la wateja...
Pamoja na kuzurura koote nikadondokea babati mjini nikakutana na binti age 22, binti fulani Mwenye asili ya kigoma but baba yake kazaliwa hapo babati na mama ake pia,
Aisee binti anazo sifa zote za kua wife material mda mwingi amekulia kwa bibi yake maana wazazi wake wako endasaki (ni mji...
Ndugu wana jamii wa Jamii Forums, naombeni ushauri wenu katika hili.
Nilipokuwa A-Level nilikuwa nina matatizo fulani shuleni na matokeo ya form 6 yalipotoka sikupata matokeo mazuri na naamini mpaka leo kuwa kuna kamchezo kalifanyika. Hili jambo limekuwa linaniuma sana kwa sababu naona kama...
Habari wanaJF,
Nawaza kujenga shule ya chekechea, sio Dar, ni mkoani, eneo ni la kutosha na sehemu hiyo ni mji ambao unakaribia hadhi ya makao makuu ya wilaya. Je, nizingatie mambo gani muhimu ?
Ahsanteni.
Bibi yangu mzaa mama ana kaka yake mdogo ambaye ana binti mzuri sana na nahisi tunapendana, kwa ufupi ni binamu yake mama.
Je, kiafrika naruhusiwa kumpelekea moto au ni mama yangu mdogo?
Habari zenu wakuu.
Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba.
Kama wewe unao kimojawapo au unaweza kuniunganisha na wauzaji wa bei ya chini kabisa nipatie tafadhali.
Natumain wazima kama kichwa Cha habari kinavojieleza.
Nilikuwa kwenye mahusiano na mtu lakini nilikuta tayari anamtoto wa miaka 5 mwenzangu hakuwai Kuishi na mzazi mwenzio na mtoto analelewa Kwa bibi yake, baada ya kunitambulisha yule mtoto kiukweli nilikuwa nampenda sana na mtoto alikuwa Yuko...
Habari wana jf, asalaam aleykum Muslimina.
Nianze moja kwa moja suala langu, nimekuwa na utaratibu wa kuomba overdraft miaka 4 iliyopita kiasi cha shilingi million 15.
Nimekuwa nikichukuwa kutumia fedha hizo kwa shughuli zangu za biashara ya mpunga na mahindi pamoja na korosho, kama kawaida...
Habari wakuu,
Naomba kuelekezwa sehemu wanazouza sigara kwa bei nafuu ya jumla ambayo na mimi nitakwenda kuuza jumla.
Pia na bidhaa nyingne kama k vant, konyagi nk
Wakuu kwenye misele yangu Dubai Mimi sio mfanyabiashara wa simu ila nimezikuta hizi simu OPPO A 57 bei zake imenivutia nizibebe kadhaa kupatia uchakavu bongo, je ubora wa hizi simu ukoje? Nisije kwenda kuwauzia watu simu Bomu nikaitwa tapeli, binafsi Mimi sizijui simu hizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.