nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Hemedy Jr Junior

    Nataka kuteketeza 10 million means kuzichoma moto hizi pesa baada ya kugundua pesa hizo sio halali

    Pesa makaratasi... hii ndo maanake ☝️😁😁 ukichoma pesa serikali inakupa kesi. Pesa zangu afu serikali inanipangia matumizi ☝️ hata kuchoma pesa ni matumizi mbona nikipoteza pesa hainisaidii kutafuta hizo pesa.... Utumwa still bado upo. Any way ....
  2. Analogia Malenga

    Nape: Hata mimi nataka Katiba Mpya

    Waziri wa Mawasiliano Nape Nnauye amesema ubaya uliopo ni kuwa wanaohitaji katiba Mpya wanahitaji kwa kudai badala ya kuwa na majadiliano kati yao na serikali. Katiba Mpya ni majadiliano katika wadau wote, isionekane kuna mtu anadai, kumdai mwingine. Amesema hakuna asiyehitaji katiba mpya, watu...
  3. Wakili wa shetani

    Nataka kuanzisha Podcast, naombeni ushauri

    Habari, nina mpango wa kuanzisha podcast. Naomba ushauri wowote utakaonisaidia kufikia amza yangu hii. Najua nahitaji vitu vya kurekodia, ni vitu gani basic natakiwa kuwa navyo na gharama zake zipo namna gani? Wapi naweza kupublish na kupata wasikilizaji wengi wa Tanzania? Platform hizo...
  4. D

    Nataka kuoa albino

    Weekend smart Wana JF Moja kati ya ndoto zangu Mimi ni kuoa albino,Hawa watu Huwa wananivutia sana Kila ninapowaona, tatizo tu huku mijini daslam hawaonekani. Kweli niliwahi kwenda kahama ila sikuambilia pia, leo hapa JF naomba kutangaza Rasmi Mimi DALALI MKUU nahitaji kuoa albino na kama...
  5. Binadamu Mtakatifu

    Nimepata kazi Upwork ila sina ujuzi nayo nataka nimpatie mtu

    Habari jaribuni kuangalia hii kazi hapa chini Sio mjuzi kutumia jukwaaa hili ila nilijaziwa profile na mtu so kuandika sio hobby yangu kabisa kuliko pesa itembeee nimeamua kusghare na marafiki zangu hapa kama unaona dili karibu sana inaliapa $700+ huko Nimeshabonyeza accept
  6. S

    Nataka kwenda kwenye kaburi kule Chato tarehe 17 March. Naombeni utaratibu

    Nataka kwenda kulishughulikia lile kaburi. Nitalishughulikiaje? Naomba ibakie siri yangu tu. Lakini mpende msipende tarehe 17 nitakuwa huko kulishughulikia Ili iwe funzo kwa viongozi mliopo madarakani kuwatendea mema wananchi kama afanyavyo mama. Mama wa watu kaombwa 1. Katiba ... Kakubali 2...
  7. Phobia

    Nataka nioe mwanamke wa Kisukuma, Wanyantuzu je wapoje?

    Naombeni mnipe experience kidogo kwa hawa wanawake wa kinyantuzu jamii ya wasukuma kwa sababu nimempata binti mmoja wa huku Simiyu wilaya ya Bariadi nimempata kabinti ama hakika anavutia na ni mweupeeee. Nipeni experience kidogo je wanawake wa Kinyantuzu wakoje? Kitabia na mengine kama hayo.
  8. DR HAYA LAND

    Naomba ABC nataka Mdogo wangu asome Diploma ya udaktari ana division 1.15

    Nataka Mdogo wangu akasome hapo Muhas Kuanzia certificate naomba kufahamu utaratibu mzima yupna division 1.15
  9. pancras utenga

    Miongozo kuhusu In Vitro Fertilization (IVF) hapa Tanzania

    Habari zenu jmn! Nataka kujua Kama Kuna sheria, regulations au rules zozote zinazogovern au kutoa muongozo wa In Vitro Fertilization (IVF) hapa Tanzania.
  10. B

    Nataka kumpeleka binti yangu(Mkristo) kwenye seminary ya kiislamu iliyopo Dar (wanasoma day). Je, ipi ambayo haina masharti ya kutaka awe muislamu?

    Naombeni msaada tafadhali. Je nitapata seminari ya kiislamu inayo FANYA vizuri ambayo huyu mtoto ataenda kusoma bila kulazimika kuwa muislamu? Mfano kutakiwa kuswali, kujifunza koroani etc. Mambo mengine yote atafuata kama mavazi na sheria nyinginezo za shule?.ushauri wenu tafadhali. Iwe dsm...
  11. NetMaster

    Sitaki kusikia watu wakimlaumu tena mangungu kua hafai kua kiongozi bali nataka kusikia ikilaumiwa safu nzima ya uongozi wa simba na tuliompigia kura

    Sasa hivi sitaki kusikia watu wakimlaumu tena mangungu kua hafai kua kiongozi bali nataka kusikia ikilaumiwa safu nzima ya uongozi wa simba na waliomuweka madarakani mangungu kwani kama mangungu angekua hatoshi na hakidhi vigezo asingerudishwa tena madarakani lakini walomchagua nadhani...
  12. Girland

    Nataka kujilipua na Volvo XC 90. Ushauri wenu wadau

    Itoshe kusema kwamba, Waswedish wanatengeneza vyombo vyenye uhakika katika mabasi na Malori kuna SCANIA NA VOLVO hawana mpinzani. kwenye SUV tunajua Japs na Germans wanachuana vikali lakini tunamuunderestimate huyu mnyama VOLVO XC 90 watakuja watu wa Subaru na Toyota, nataka muangalie hii video...
  13. Research Consultant

    Nataka Kusajili Jogging Club. Utaratibu Upoje?

    Nawasalimu wote Nipo Ndani ya Taasisi Binafsi Iliyopo katika moja ya Mikoa ya Kusini mwa Tanzania Tunataka kuanzisha Powerfull Jogging club katika eneo tulilopo na ilipo Taasisi yetu Nataka Kufahamu Utaratibu Upoje kuanzia Kuisajili na Process zote mpka tutakapo pewa Ruhusa ya Kuanza as...
  14. Binadamu Mtakatifu

    Nataka kuanzisha tovuti kwa ajili ya addiction ili tuweze peana uzoefu wa kukabiliana nao

    Habariiii viongozi baada ya kufikiria kwa sana nataka kuanzisha tovuti ambako watu wenye addiction mbalimbali watakutana na kujadili nini cha kufanya hasa kwa lugha yetu hadhimu Addiction kama 1.punyeto 2.ulevi 3.uvutaji sigara 4.kuangalia porn 5.uvivu 6.kuwaza ngono all time(uzinzi) N.k...
  15. Zacht

    Ushauri: Nataka nifanye biashara hii

    Heri ya mwaka mpya . Kuna kitu nimewaza kufanya lakini sijui kama nipo sawa kimahesabu kwa Sababu sio uzoefu nayo, iko hivi nimewaza nianzishe biashra ya chakula (wali) kwa kufanya partnership na mtu. Yaani namtafuta m-mama au mdada nampa mchele 90-100 kg auze. Then mimi Nitakuwa nachukua Kila...
  16. S

    Amenisadia sana, lakini nataka nimuache niolewe na HB. Namuachaje kiustaarabu?

    Jamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori. The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri, lkn huo muonekano usiopendeza kwenye picha unaninyima raha. Kanifanyia makubwa sana hapa mjini...
  17. M

    Nataka kuwa Mtanzania wa kwanza kula nyama kwa Salt Bae

    Nataka kuweka rekodi ya kipekee ya kuwa mtanzania wa kwanza kula nyama choma kwa mchoma nyama maarufu duniani mturuki Salt Bae. Hii ni fursa ya kipekee ya kuitangaza taifa letu kimataifa. Nataka kuungana na watu maarufu duniani ambao walipata hii fursa ya kipekee na adim kula nyama choma kutoka...
  18. Pdidy

    Sehemu gani kwa DSM wanauza kitimoto rosti nzuri bila kuiba? Nataka niende na shemeji yenu

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi Don Pdidy kwa heshima na t aadhima nilipenda kutoka na shemeji yenu siku ya christmass. Kwa bahati nzuri hana ghara ma shuhuli iko kwenye ngrooongroo anapenda iliostaraabika (haiibiwi). Na iliorostiwa standard. Tafadhali kwa maeneo ya dar aaepajua...
  19. S

    Nataka mshahara wangu wote wa Disemba niutumie kwenye likizo hii

    Nafanya kazi vijijin uko ndanindani somewhere in Tanzania, kwakweli ni sehemu ambayo hamna cha kuenjoy zaidi ya filamu na mpira tu nikitoka kazini. Nafikiria likizo hii ya siku 10 ya mwisho wa mwaka niende mjini nikaenjoy tu. Mnanishaurije wadau au nisevu tu ela yangu nibaki mageton kijijin...
  20. P

    Nataka kujifunza kwenu wana JF kuhusu Katiba na nafasi ya Urais Tanzania

    Tunatarajia kuwa na katiba mpya hivi karibuni! Ngoja tusizungumzie hiyo ijayo tuzungumzie iliyopo! Katiba iliyopo inaitambua nafasi ya Urais kuwa ni ya watanganyika na makamo wa Rais shariti atokee Zanzibar! Kwa minajiri hiyo, huku bara, yaani Tanganyika, ndiko anakotokea Rais wa muungano wa...
Back
Top Bottom