nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Nataka kuoa naombeni ushauri wenu jambo litimie

    Kwakwel nataka kumuoa MAMA UMUT lakini sijui chochote yani kuhusiana na kupeleka barua na posa pia. Kwahyo nikaona nina familia kubwa na ndugu wengi huko JamiiForums niwashirikishe ili nijua BARUA inahitaji nini na iweje NA POSA iahitaji nini na iweje. ASANTENI SANA USHAURI WENU WANA JAMVI
  2. Jugado

    Topic ya shisha: Nipo Dynasty UNUNIO kufurahia salary, watu wanavuta shisha balaa nataka kujaribu

    Vipi Ina raha Gani sijawahi jaribu kuvuta chochote sio sigara sio nini. . N.b : ule uzi wa kuacha pombe Kwa miezi sita ushafeli napiga JB Mdogo mdogo nipo na yule mpangaji.
  3. R-K-O

    Mwajiriwa nataka nifungue biashara ya ps, mchanganuo wangu huu hapa, naombani mnirekebishe na kunipa ushauri

    Habari zenu, Nimechoka kusubiri mshahara wa kila mwezi nimeona nijiongeze, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya Ps nipo Mbeya. naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe mawazo mengine MCHANGANUO WANGU MTAJI WA KUANZIA PS4 nne zenye games 2,500,000 tv nne 1,500,000 pad...
  4. R-K-O

    Nataka nifungue gaming centre, mambo yapi nizingatie

    Habari zenu, Nataka niongeze kipato nje ya mshahara wa ajira, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya ps, gharama nilizopangilia, naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe mawazo mengine PS4 nne zenye games 2,500,000 tv nne 1,500,000 pad mtumba za ziada - 300,000 spea za...
  5. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Nataka Serikali moja tu ya Muungano, sitaki mbili wala tatu

    Utanganyika na uzanzibari imeanza kusikika, wenye mamlaka nao wamekaa kimya hawataki kukemea ubaguzi huu unaoendelea nchini. Tulishaungana tangu 1964, hakuna serikali ya TANGANYIKA wala ya Zanzibarinatikiwa iwepo hadi leo,tumewezaje kuungana bila serikali kuungana, Zanzibar inakuaje na...
  6. David Harvey

    Nipeni muongozo mimi ni mkristo nataka kuongeza mke wa pili

    Habarini? Yafika mwaka mmoja na nusu sasa sijawahi kushiriki tendo la ndoa na wife nikijaribu kuomba game 🎮 hataki kuna kipindi niliforce akanipeleka ustawi wa jamii kwamba nimembaka ilo likapita,mgogoro umefika mpaka kwa wazee wa kanisa lakini hakuna solution ,juzi niliforce tena akaenda...
  7. Mtu Asiyejulikana

    Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

    Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu. Now its too much. Aende zake kwa...
  8. F

    Nataka kuwa winga Kariakoo

    Naombeni ushauri jinsi ya kuwa winga Kariakoo, sijawahi kufanya hii mishe na sijui pa kuanzia nifanyaje ili niweze kufanya. Wiki ijayo naingia Dar kutoka Singida na ni mara yangu ya kwanza kufika Dar 🙏.
  9. GARDENER255

    Nataka kuanza biashara ya tofali

    Naiitaji msaada wa mawazo. Et naitajika kua na vifaa gan nikitaka kufungua kiwanda kidogo cha tofali kijijini. Na hivo vifaa navipata kwa bei gan. Note: kama kifa unacho unaacha mawasiliano na bei. Mimi nipo Tanga, Pangani.
  10. L

    Nataka nije na dini mpya

    Kwa hoja zifuatazo 1 Kuoa mwanamume aoe infinitely kulingana na uwezo wake. 2. Kuoa mke mmja ni dalili ya uroho na kukosa ukarimu Kwa wengine. 3. Mwanamke anaweza kuoa wanaume zaidi ya mmja kulingana na uwezo wake 4. Kwamba Mungu ni upendo. 5.kwamba hakuna aliye Bora kuliko wengine,hakuna...
  11. Stunnaman008

    Nimeboreka nataka mwanamke wakuchat nae

    Ndo ivo Ijumaa ila niko mpweke naomba ujee basi tuchat
  12. RingaRinga

    Mshahara wa June vipi, nataka nitaka nikabe hadi penati wadeni wangu!!

    Habari wadau! Naulizia mshahara wa June 2023 umetoka au bado? Nina wajinga wawili nataka niwape experience ya kudaiwa waache juchukulia watu poa!
  13. Mjegejo Wa Begeju

    Dogo namwona hayupo Serious na Maisha kabisa. Nataka nimfukuze Home

    Anaamka asubuhi anajiangalia kwenye kioo. Nimemshangaa sana. Halafu anatumia dk 10 zote akinyoosha nguo. Haya maisha mtu hana kazi anategemea kula kwangu. Anataka apendeze . Ili iweje? Kama vile haitoshi kanaondoka asubuhi hii kanajipulizia na utuli. Nimekwazika sana. Huyu dogo kamaliza Chuo...
  14. R

    Nataka niwe mchawi msomi pasipo haya, je inawezekana?

    Habar wakuu !!! heading isiwachanganye taratibu mtanielewa ipo hv maisha ni magumu sn kila siku watu wanatubeep so sad ni kibaya zaid sina bib wala babu ambae ni mganga ila nashukuru MUNGU nimepata elimu sasa nikapata wazo nikichukua elimu niliyonayo plus UCHAWI naweza fanya kitu kikubwa...
  15. Hold on

    Msaada: Ni mara ya pili nataka kujidhuru

    Hi, Kiukweli nina mawazo sana, sana, leo nimenusurika kugongwa na gari mara mbili. Mara ya kwaza ilikuwa pale Mbuyuni, mara ya pili Morocco. Binafsi sioni umuhimu wa mimi kuishi, nawonea wivu wale waliotangulia mbele za haki, mapambano yamekuwa magumu sana, peke yangu siwezi kabisa. Mara ya...
  16. F

    Mimi ni mzaliwa na raia wa Tanzania bara nataka kuwa raia wa Zanzibar, je inawezekana? Nifuate taratibu zipi?

    Mimi ni mzaliwa na raia wa Tanzania bara nataka kuwa raia wa Zanzibar, je inawezekana? Nifuate taratibu zipi?
  17. SaidJuma123

    Wapi ni sahihi kujenga nyumba ya Maisha kati ya Kigamboni Gezaulole au Goba?

    Wadau, Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba. Ipi ni sehemu sahihi?
  18. Equation x

    Nataka nitoke na wewe leo

    Ukitembea na pisi kali warembo wengine watakuwa wanajitongozesha wao wenyewe. Jumamosi iliyopita, nilipata mwaliko kutoka kwa mpenzi wangu (mchepuko) tukutane katika kiwanja fulani, angalau tuweze kubadilishana mawazo. Ilipofika saa nne usiku, ikabidi nifike eneo husika na bahati nzuri nayeye...
  19. kyagata

    Mliobahatika kuacha unywaji wa pombe mlitumia formular gani?

    Wakuu Kiukweli I had a plan kuacha kunywa pombe this year ila nashindwa kabisa.mfano toka Wednesday ya week hii sijagusa kabisa pombe ila leo nimeamka na kiu ya hatari,nikaona nikajiboost kidogo.i feel sorry for me ,na natamani kuachana na hii addiction but nashindwa. Nyie wenzangu...
  20. F

    Nataka kuacha kazi

    Wakuu kwema? Naombeni ushauri mimi nafanya kazi sehemu x ila nataka kuacha kazi sababu nalipwa 3000 kwa siku hiyo hiyo nifanyie Kila kitu kula, kodi, kuvaa yani Kila kitu nimefanikiwa kufanya ujanja ujanja mwingi kazin hadi nimesevu milion moja kwa miaka miwili ila Sasa ujanja unakuwaga na...
Back
Top Bottom