Wakuu nimegundua Ulaya na Marekani kuna upagani mwingi sana.
Wala hakuna ukristo kule ni zuga tu.
Sina wasiwasi na uarabuni na china, Maana huko kwa utafiti wangu kuna wakristo kificho wengi sana ila wanaingia misikitini na kuswali kwa ajili tu ya usalama wao.
Nimefikilia hawa wazungu kabla...
Habari za muda,
Mimi ni kijana wa miaka 23 nimekuwa na uraibu mkubwa sana wa kamari (kubeti). Nilianza kubeti tangu 2015 kipindi nipo Form 2 kipind Primier Bet inaanza wale wa vikaratasi then nilistop kwa muda ila wakati nipo form 5 nikarud na uraibu ulianza.
Japo nilishawahi kushinda...
Wakulima wa mbaazi wa hapa mjini Kibaya wanalalamikia kuwa viongozi wa Wilaya wameshindwa kulinda maslahi ya wakulima wa mbaazi Wilayani Kiteto na wao kugeuka ndio madalali wa zao hilo.
Wakulima wamepima mbaazi zao toka wiki Moja iliyopita na bado hela hawajalipwa.
Kibaya zaidi wao mbaazi yao...
Dunia sasa hivi imehamia kwenye ( computer technology) nataka nisome IT, chuo gani kizuri?
UCC au VETA? Kama ni ucc branch gani wapo vizuri? (Udsm au Posta?)
Nataka kwanza nisome kozi yupi fupi za IT then baada ya hapo ndo nitafikiri nisome certificate then Diploma.
Vitu vyangu vingi (...
Natumai wote hamjambo humu.
Nina ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, hapo awali alikuwa ni mtu smart na mpambanaji wa maisha, sijui kitu gani kimemkuta, anakunywa pombe muda wote hata kazi ameacha kwa sababu ya pombe.
Watu wengi wamenishauri nimpeleke sober house {Kwa kiswahili sijui...
Wajuvi,wajuzi,wakulungwa na makontawa na matycoon mnaitwa huku mtoe ushauri.
Nina jirani yangu huku Morogoro ni mmama wa makamo, alienda Dar kibiashara lakini katika pitapita zake amekutana na kampuni posta wanasaidia kuprocess watu kwenda nje. Sasa amepewa plan ya kuunganishwa kwenda UK...
Salaams wana jamvi.
Mimi ni mdau wa miaka mingi humu ila sio mara nyingi kuwa active lakini huwa napitia sana baadhi ya thread zinazohusu biashara na ujasiriamali.
Mimi naishi maeneo ya Kitunda relini na by profession ni Graphics designer ila tangu nikiwa kijana mdogo (teenager) miongoni mwa...
Samahani wale ma IT na computer science mlioko huku
Nataka kutengeneza Sexy Voice Kwa kutumia audio, ndio na edit nini au kuna app gan natumia?!
Mume Yuko mbali so lazima nimpagawishe🏃🏃🏃🏃
Hello bila shaka mu wazima, poleni kwa wale wenye changamoto za hapa na pale, Mola awape ujasiri wa kukabiliana nao na kuushinda!
Niende moja kwa moja kwenye mada, nina mchumba wangu, nimemtambulisha mpaka nyumbani na kwa ndugu zangu, sijawahi kufanya hivi kwa mwanamke yeyote, hiki ni kiashiria...
Wakuu za jioni.
Mwenzenu nataka kujipongeza (Kwa jinsi mambo yanavyoenda kadri nilivyotarjia) Kwa kupanda ndege kutok mbeya Hadi Dar via Precision air maana hizo zingine nimeon gharama sana.
Sasa nikifika uwanja wa nyie napita wapi na wapi hadi kufika mbezi?
Mke wangu mbegu nyingi humtoka baada ya kusex naye nashindwa kuelewa maana bado hatujapata mtoto na mimi ndo mtoa bikira karibia mwaka sasa
Embu nipeni shule maana hasikii maumivu yoyote kama nilivyo ambiwa kuwa kunaweza kukawa na kitu kama kidole kina zuia mbegu kwenda mbele
Habari zenu wana jamvi.
Nisiwachose sana.
Ni hivi, sauti yangu ya ndani inanishuhudia nioe mwanamke wa kizanzibari..
Kuhusu dini Mimi ni Mkristo mwenye vinasaba vya uislamu. Nipo tayari kusilimu wakati wowote ule. Kwanza I am not even a church going person.
Ukristo wangu ni ukristo wenye...
Habarini wakuu,
Kama kuna mtu ana uelewa na hichi kitu nitaomba msaada.
Nahitaji ku register kampuni au biashara. Ila kuna mara ya mwisho nilisajili biashara nilivooenda TRA kwa ajili ya TIN ya biashara walitaka niwapatie mkataba wa pango la biashara.
Na baada ya kuwapa wakaanza kupiga...
Habari wajameni,
Kwa unyenyekevu kabisa wapendwa, jokes aside please, nakuja mbele yenu kinyonge na kuomba msaada.
Kuna mdada mmoja wa kimag'hati niko nae kwenye mahusiano miezi kama mitatu. Huyu manzi yuko Bomba sana yaani bonge la pisi kali na shoo anaweza sana.
Tatizo lake limetokea hivi...
Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Akizungumza katika mkutano huo Rais Samia amekumbusha juu ya wajibu wa TLS...
Kama uko Tabora na unauza tv inch 32 niambie nataka ilio tumika nataka kwa leo au kesho nitajie bei na aina ya tv na sehemu ulipo na pia kama una picha itapendeza.
Kwenye group Moja hivi member mmoja amenihoji naongea sana kuhusu Bandari kwani ni yangu? Kwa kweli nimechukia sana.
Nina hasira sana naomba kushusha hasira zangu hapa.
Jamani kitu ambacho hamjui Bandari ni mali ya umma maana yake umma ni Mimi na wewe ndio umma. Kwahiyo Tukihoji Maslahi ya...
Niko Ujiji natafuta Kitimoto siku nzima lakini wapi.
Nimeongea na wenyeji hapa wananiambia hata wenyewe asilimia karibia 70 wanamtumia shida huwa inakuwa ni wanaogopa macho ya watu kwa hiyo inabidi waende mbali kidogo.
Nataka kuwa nafanya delivery mpaka home unajifungia ndani na familia yako...
Mambo vp wadau kama kuna mtu yoyote anaweza kunisaidia kujua faida na hasara kwa kufungua acc ya usd kwa kuhifadh hela naomba anifafanulie nipate uwelewa vizuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.