Habari Wakuu,
Nataka nivute Pikipiki kwaajili ya misele yangu hapa Town.
Tatizo Nikiinunua itakuwa Pikipiki ya Washikaji tu. Muda wote naazimwa, Siwezi kupata muda mzuri wa kuinjoy nayo.
Msaada, nifanyeje kuepuka Washikaji kuniazima Pikipiki mara kwa mara?
1. Kwanini soda za pepsi na cocacola kule Majuu Yani Ulaya (sijajua kama ni nchi zote) eti ladha yake ni tofauti na za kwetu hapa bongo
2. Kwanini pia iPhone za hapa Bongo eti pia ni tofauti na za majuu ( kwao eti hazina sehemu ya kuwekea Laini😲)
3. Pia tekno za kwetu ni tofauti na za kwao...
1. Ili wana Simba SC tunaodanganywa kila mara mpaka kutuletea Mchezaji Mhamasishaji, Majeruhiwa, Mwanasiasa ( hasa za Michezo ), Mpiga Kura, Msanii na kufanywa Wapumbavu tuumbuke.
2. Ili Uongozi mbovu na wa Upigaji mwingi ubadilike au uachie ngazi.
3. Itufanye Mashabiki wa Simba SC kuachana na...
Maridhiano yaliyofanywa kati ya CCM na CHADEMA, kila mwenye akili timamu alijua mwisho wake
Hao wenye akili na macho ya kuona kama kina Lissu, waliuona huo mchezo kwamba, hauna tija wala mwisho mwema katika kuitafuta dola kama chama cha upinzani!
Yale yalikuwa maridhiano ya kuipozesha CHADEMA...
Ndugu zangu wana Jamiiforums, mimi ndugu yenu naomba kama kuna mtu yoyote humu anayefanya kaz ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti nahitaji nimfate DM tuzungmze nina shida ya muhimu sana
Ahsanteni
Habari zenu wakuu, nimepitia pitia mitandao ya huko kwa wenzetu nimeona kwamba huwa kuna unga ama vimiminika vinarejesha rangi za nguo zilizopauka rangi.
Kwa hapa kwetu nimeona nguo hasa hizi za dukani zina janga la kuondosha rangi hara sana waweza kununu aipo fresh ila ukifua nara mbili ama...
Well, nimewaza niwafanye nini wadada wa JF ambacho watanishukuru na kunikumbuka milele. Nikapata jibu.
Mimi kiuchumi nipo vizuri. Sina shida ndogo ndogo maisha yangu ni uchumi wa juu wa kati. Sijafanikiwa bado kuwa uchumi wa juu wa juu.
Ila si haba mambo mengi kwa kweli nayaweza. Tena nayaweza...
Habari Wana JF!
Nataka nianzishe mradi wa kufuga kondoo dume pamoja na mbuzi dume kwa mkoa wa Tanga, ningependa kujua eneo zuri likiwa karibu na mjini itapendeza zaidi.. na mbinu na je italipa au.
Wakuu mimi ni ngosha nimeingia daisalama nimeona mengi sana, nimeona barabara imejengwa juu ya barabara.
Tuachane na hayo, nataka kwenda kwenye hiyo ofisi, nafikaje? Napanda magari ya wapi nashukia wapi.
Amakweli ngosha aliijenga daisalama.
This is mei dei. Happy birthday dear workers world wide.
Kwa wasiojua siku hii inazingatiwa na international labour organization- ILO.
Niende kweny point yangu. Nilianza kuhangaikia maisha long ago. Age is so so so going fast. Nyumba yangu ya kupunzikia sio kulala. Ninayo. Watoto yesu...
Shalomu Tanzania'
Kwanza, itasaidia sana, pesa nyingi zilizoelekezwa kununua magari ya viongozi, bajeti yake ielekezwe kwenye maendeleo.
Bajeti ya kunywesha mafuta magari hayo kwa mwaka mzima, pia ielekezwe kwenye maendeleo na bajeti hiyo itumike kama nyongeza ya mshahara kwa wafanya kazi...
Kwa wenyeji na wazoefu wa maeneo ya Kibamba nataka kuhamia huko. Naomba mnisaidie kufahamu ni Kibamba ipi nzuri kwa mtu anaeishi maisha ya kibachela na rahisi kwenda na kurudi katikati ya jiji.
Pia namna gani naweza pata chumba au nyumba ya kupanga na bei zake zipoje, kwa nyumba standard iliyo...
Wazoefu naomba msaada,nataka kununua gari kwa jamaa,lakini yeye aliuziwa na kampuni,ila hakubadili jina,linasoma la kampuni,,documents za mauziano anazo,naomba kujua taratibu za kufuata wakuu.
Wakuu nawasalimu,
Heri ya sikukukuu ya Pasaka. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada nataka kuanza kilimo cha maharage na target yangu ni kupata gunia zisizopungua 100, naomba kusaidiwa ni hekali ngapi zitanifikisha katika hyo target?
Palizi yake ni mara ngap, mavuno ni baada ya...
Wadau Nataka kununua pikipiki Aina ya Honda Ace 125 individual made in South Africa.
Bei yake ya ofa 2,600,000/= mpya.
Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya hii ambayo bajeti take haivuki milioni 3.2.
Ni ya kutembelea tu sio Kwa biashara ya bodaboda
Habari wakuu,
Kuna mlimbwende mmoja humu amenivutia sana, nataka msimu ujao wa mavuno, niweze kutangaza ndoa kabisa.
Huyu mrembo ameiteka sana akili yangu, mpaka uwezo wa kufikiri umepungua; nilipo pishana naye tu barabarani, ilikuwa kidogo tu nigongwe na bajaji.
Kupitia huu uzi, anatakiwa...
Kuna faida kubwa kwenye umoja. Makabila mengi yalianza bila vision. Mazingira tu yalipelekea watu kukutana sehemu moja na baada ya muda muingiliano, mfanano wa lugha, mila na desturi zilizojengeka ukawaunganisha. Imagine sasa haya yote uyafanye kwa makusudi na kwa kufuata vision mliyojiwekea...
Nilipata wazo kuongeza kitega uchumi nje ya kazi yangu kuu na nikaona nijaribu nifungue duka dogo nitesti kana ikikataa nifunge ama ikikubali niongeze mtaji, mwanzoni niliweka binti lakini alikuwa slow na sio mzoefu hivyo biashara ilikuwa ipo ipo tu ikabidi aondoke, duka lilikaa mwezi limefungwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.