Ndugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra).
Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye mambos na mpenzi wangu wa siku zote na katika kuhitimisha mambo yetu kila kitu kilienda sawa kwenye romance...
MAMBO 10 MUHIMU
UNAYOTAKIWA KUYAACHA.
Rafiki yangu mpendwa, Unashindwa kutoka hapo ulipo siyo kwa sababu hutaki kutoka hapo ulipo, hapana, unataka sana tu kutoka hapo ulipo na kufika kule unapotaka wewe kufika.
Ila tatizo lako wewe ni kuwa unataka kutoka hapo ulipo kwa maneno na si kwa...
Nimemaliza kidato Cha sita nimepanga kusoma md uganda,
Je, Kuna athari gani kwenda kusoma nje ya nchi bila no objection certificate ya tcu maana sijatimiza vigezo vya D tatu ya tcu na nimekosa chuo.hapa.nchini. Nimepata phy D chem D bioE 3.13
Ninataka kusoma afya ila siwezi kuona damu, nimemaliza PCB div 1.8 Kuna course gani za afya ambazo hazihusishi kuona damu?
Matokeo yang ya form 6 ni phy C chem B bio C
Habari wadau..!
Kwa tetesi za mtaani viwango vya riba vimeongezwa kwa wale wanohitaji kuweka pesa kwenye akaunti za kuzaa faida yaani Fixed deposit au fixed term ,wanadai hii inatokana na ukwasi katika mabenki mengi hivyo wanahitaji watu watakao weka pesa kwenye mabenki yao.Je ni kweli?
Kwa...
Baada ya mheshimiwa kusema tuhamie Burundi nilijipanga vizuri ili nihamie Burundi ila nikakumbuka kuna watu wamekimbia Burundi na kuja Tz
So naomba kuuliza kwa mlioko Burundi hali ya tozo ikoje, amani, na mazingira ya biashara nisije kujikuta naangukia pua
Habari zenu wakuu,
Katika kutafuta mishe za kazi nimefikiria kutua mwanza kufatilia kazi kwenye mradi wa reli. Naombeni ushauri niende nikajitose au namna kwa sasa nipo Dsm.
Haki yangu ya msingi naona imeporwa, nataka kufungua kesi dhidi ya malipo ya kodi ya jengo kupitia Luku ila shida iliyopo ni hao ninaowategemea wana maslahi na nafuu waliyoipata, wakili ananyumba anapangisha yeye mzigo wa kuilipia kodi wamemtua na hakimu naye nyumba yake anapangisha naye mzigo...
Habari za wakati
Kufikiria sio kazi rahisi,ni kazi ambayo ina ugumu wake.
Je unafikri unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa Kitanzania katika eneo ulipo?Je ajira utakayowapatia itakuwa na sifa gani,utawalipa kiasi gani,itakuwa na faida gani kwa jamii inayokuzunguka?
Zingatia kwamba...
Jamii Forums (JF) ni Asasi ya Kiraia inayoratibu mtandao wa JamiiForums na kuhamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora.
Jamii Forums imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa la...
Mwaka 2019 mwezi wa tano nilibahatika kuzaa na binti mmoja ambae nilimpenda sana ila tulikuja kushindwana baada ya kuwa na tabia za kiswahili na kuwa mtu wa starehe yale maisha yalinishinda tukatengana.
Nikawa natoa huduma za mtoto kipindi yupo kwao kitu kilicho nifanya mpaka naandika uzi...
Waswahili nimewashindwa,kila demu wa kibongo anataka na ya kutolea.
Makato yamezidi, watanifilisi hawa.
Hivyo Ni mitaa ipi nikihudhuria sana naweza pata Toto la mbele huko, haijalishi mjapani au mzungu.
Natanguliza shukrani
Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa
Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba...
Habari za kazi wanandugu. Kazi iendelee ila irekebishwe kidogo maana tozo na ugaidi vimezidi.
Twende kwenye mada.
Mimi nina uzoefu kidogo kununua magari kutoka Beforward, kwa mara ya kwnza nilitumia wakala, ya pili nikazama mwenyewe mtandaoni nikachagua ninayotaka process zote za malipo hadi...
Wakuu hivi karibuni natarajia kununua chombo cha moto (piki piki)
Mapendeleo yng ni kuwa na piki piki aina ya boxer,lkn naziona zipo tofaut tofaut,zingne nasikia zinaitwa mdomo wa mamba..
Kwa anaejua tafadhari;
Ipi ni Boxer imara zaid kuliko nyingne?
Bei yake imesimama ngapi huko madukani...
Kuna binti wa kisukuma nina mpango wa kumuoa na home kwao tiyari natambulika. Nipeni maujuzi ya kujianda na ndoa na maisha ya ndoa maana soon nataka nianze process za ndoa.
Kuhusu dini yeye Pentecosti na mimi Moroviani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.