wakuu habari za muda huu, nmejichaga sasa nahitaji gari ya juu na katika pita pita zangu hii chuma nmeielewa sana sasa wataalamu naomba mnifahamishe vitu hivi
upatikanaji wa spare ( nipo mbeya)
changamoto zake ni zpi
ulaji wa mafuta
na ipo bora yenye turbo au isiyo na turbo( mizungiko yangu ni...
Habar wakuu,
Naomba msaada wenu nataka kufunga CCTV camera 16 naomba maelekezo kampuni ya camera zipi Zina onyesha picha angavu mchana na usiku kati ya DAHUA,HIK VISSIOn.
Natakiwa ninunue nin na nin,poa kwa camera 16 natakiwa vifaa vya uwezo Gani na vingap ninunua maana ni eneo kubwa wastani...
Samahani ndugu zangu kuna dawa naihitaji lakini kwa hapa Tanzania haipatikani.
Nataka kuagiza nje ya nchi kama vile India.
Maomba mwenÿe connection na phamacy za India na huwa anaweza kuagiza au kama kuna mtu hapa Tanzania huwa anaagiza dawa nje ya nchi anisaidie kwa kuja inbox.
Habar wakuu nataka kusafiri na ndege kwa mara ya kwanza ktk maisha yangu ..safar yangu nikutoka dar-bukoba..nin kinatakiwa kuwa nacho na kipi hakitakiwi na pia nin chakuzingatia ili kufanikisha safar niweze safiri...Sina uelewa wowote na nauli nishingap one way
Wakuu habari za jioni.
Nipo Gairo, nna safari ya kwenda Kiteto naombeni ushauri wa masuala muhimu.
1. Namna ya kufika huko toka hapa nilipo.
2. Gharama za kulala lodge na lodge nzuri na huduma zake.
3. Hali ya hewa na tahadhari za kuchukua mwanzo wa safari hadi mwisho.
4. Any other...
Nimepata idea ya kutengeneza game la mpira ambalo litakuwa na leagues za tz tu na pia commentator atakuwa anaongea kiswahili na pia viwanja vitakuwa vya Tz.Je nauliza kama kuna sheria ambazo zitanibana kwa baadae maana ntatumia majina na sura za wachezaji halisi(original)
Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu.
Siwezi kukaa mwenyewe kutokanq na majukumu yangu kwahiyo nimepangq nimuweke mtu kwa ajili ya kuuza.
Naomba...
Wakuu kwema
Kijana niko na 350k , kuna jamaa yangu kaniambia anauza saluni yake kwa hio bei.
Vinyozi wanampa 4k per day, na kodi wanalipa wao, nataka kuinunua .
Naombeni ushauri pia kama mna idea nyingine.
Asanteni.
Habari wana jamii, samahani ndugu yenu nimepata safari nnje ya nchi sasa sijui chanjo ya manjano inachukua mda gani kudungwa dosi na kupata cheti chake maana safari ipo karibu sana. Naombeni msaada kwa wazoefu tafadhali
ukingalia kwa makini haya maandamano sio kama hao watoto wanareject hiyo financial bill au politics issue la hasha unaona ni maandamano ya mapinduzi ya kimfumo hawa vijana wanataka serikali ya kenya iendeshwe kileo na hili ni kutoka na viongozi wengi wa africa kutowatilia maanani vijana wadogo...
Habari Wakuu,
Nimeshawishika sana kuichukua Google pixel 8 pro mpya kutokana na features zake, na Shughuli zangu nnazozifanya naona itanifaa sana,
Nahofia kitu kimoja, mwaka jana nlinunua Google pixel 5a pale china plaza, iliku ni hizi refubished ,Ile simu nlikaa nayo miezi miwili tuu ghafla...
Hello Jf.
Je, kuna watu humu waliwahi kufunga na kuomba kwa siku kadhaa? (3,7 ama mwezi)
Je, lengo lenu la kufunga lilitimia?
Nataka kufunga kwa siku tano tu kuombea jambo langu flani, nipeni ABC's nini cha kufanya katika kipundi hicho cha kufunga maombi yafanyike ya aina gani
Kuna mtoto wa ndugu yangu
ninamsomesha. Huyu dogo kafaulu
Kidato cha 4. Kapangiwa college,
kwa akili za huyu mtoto naona bado hawezi kusoma college.
Ni kijana wa kiume, mvivu, bonge, hana adabu, jeuri. Kwa ujumla alilelewa kishenzi.
Mimi niko mbali na anakoishi.
Nimewaza aende Form 5 shule za...
Habari zenu wakuu,
Naomba kujuzwa kampuni makini ya kusafrisha mizigo kutoka Dar kwenda Babati. Pia kama Kuna mtu aliwahi kusafirisha Kwa bus usalama wake ulikuwaje baada ya kufika.
Natangulza shukrani kwenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.