Ni shauku yangu kufanya hivyo! Ikimpendeza Mungu, nitaenda huko mwakani.
Lengo la safari ni utalii wa kuangalia fursa za kibiashara, hasa bidhaa zinazopatikana kwa wingi huko zinazohitajika sana Tanzania. Na, kama wasemavyo, "mwenda bure si sawa na mkaa bure", huenda katika hiyo ziara...