Mwamuzi wa soka nchini Tanzania, Ahmed Arajiga, amesema anatamani kuwa Mtanzania wa kwanza kuchezesha michuano ya Kombe la Dunia, akieleza kuwa anaamini kutimiza ndoto hiyo kunahitaji kuendelea kuziishi njozi zake na kufanya kazi kwa bidii.
“Nchi yetu ina wasomi wengi sana, lakini si kila msomi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.