carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Mwamuzi wa soka nchini Tanzania, Ahmed Arajiga, amesema anatamani kuwa Mtanzania wa kwanza kuchezesha michuano ya Kombe la Dunia, akieleza kuwa anaamini kutimiza ndoto hiyo kunahitaji kuendelea kuziishi njozi zake na kufanya kazi kwa bidii.
“Nchi yetu ina wasomi wengi sana, lakini si kila msomi amepata nafasi. Kila mmoja ana maono na ndoto zake, lakini mimi nina njozi ya kuwa
Chanzo : Stein tv
“Nchi yetu ina wasomi wengi sana, lakini si kila msomi amepata nafasi. Kila mmoja ana maono na ndoto zake, lakini mimi nina njozi ya kuwa
Chanzo : Stein tv