Wakuu nataka kwenda njombe, naombeni kujua nauli ni sh ngapi kwa MTU anayetokea Dar. Na vipi, nauli za magari/usafiri Wa mchana ni Sawa na nauli ya usafiri Wa usiku? Na pia kama kuna yeyote anayejua magari ya usiku Dar to njombe (magari ya kawaida, sio luxury) basi naomba aniambie ni yapi...