nauli

Nauli is one of the kriyas or shatkarmas, preliminary purifications, used in yoga. The exercise is claimed to serve the cleaning of the abdominal region (digestive organs, small intestine) and is based on a massage of the internal belly organs by a circular movement of the abdominal muscles. It is performed standing with the feet apart and the knees bent.The 15th century Hatha Yoga Pradipika claims that Nauli (magically) removes all diseases.Nauli is an exercise of classical hatha yoga; it is not often taught in yoga as exercise. There are four steps, which are learned one after another:
the abdominal lock, uddiyana bandha: the lungs are emptied, and the abdomen is pulled inwards and upwards under the lower edge of the ribcage
madhyana nauli: only the central muscles of the abdomen are contracted
vama nauli: only the left muscles of the abdomen are contracted
daksina nauli: only the right muscles of the abdomen are contracted.

View More On Wikipedia.org
  1. Cmfungua

    Wale wote tuliwahi kutuma nauli na Mwanamke hakuja tukutane hapa kupunguza machungu

    Mie niko dar ila nilienda kurefresh akili mkoa wa Arusha kama week 1 nikakutana na mdada mrembo sana. Kama kawaida yang kidume nikajisemea lazma uyuu mtoto nimsajili kwenye team yang tukabadirishana number vzr tuu. Baada ya mapumzko yang ya week moja kuisha nikarud zangu Dar Nikawa nachati na...
  2. Komeo Lachuma

    Mpaka sasa Baada ya hizi nauli mpya na Tozo tunasemaje kuhusu Mama?

    Kwa Haya mambo ndugu Watanzania tunasemaje? MAMA BADO ANAUPIGA MWINGI? NAULI MPYA ZILIZOPANGWA NA SUMATRA ZA MABASI YA KWENDA MIKOANI KUTOKEA DAR: BEI ZOTE NI KWA SHILINGI YA TANZANIA.; DAR - ARUSHA; å Basi la kawaida 22,700/-. å Semi luxury bus 32,800/-. å Luxury bus 36,000/- DAR -...
  3. fatherhood

    Naomba kujuzwa nauli ya basi kutoaka Dar es Salaam - Arusha

    Kama heading above inavyojieleza nahitaji kujua nauli ya kwenda Arusha. Mimi natokea Dar es salaam kwenda Arusha. Nahitaji kujua bei zote za luxury na normal.
  4. K

    Wamiliki wa mabasi wapandisha nauli kwa wanafunzi, SUMATRA na Polisi wabariki kadhia hii

    SUMATRA na Polisi mnaposhindwa kudhibiti kadhia ya ongezeko holela la nauli kipindi hiki Cha kurejea mashuleni kwa wanafunzi tunashindwa kuelewa mnapewa nn na wamiliki wa mabus. Wanafunzi wasio na fedha wamekwama stendi mikoani kwa kushindwa kupata huduma, mabus yanakata tiketi kwa bei...
  5. L

    Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni haijalipa nauli za likizo Desemba 2020

    Halmashauri ya tatu kwa ukusanyaji mapato Tanzania. Halmashauri inayomiliki timu ya mpira ligi kuu Tanzania. Sasa ni mwezi wa sita watumishi wengine wanaanza likizo wakati huo huo kuna watumishi walioenda likizo mwaka Jana bado hawajaipwa nauli zao. Nauli ya likizo sio hisani ni lazima kila...
  6. peno hasegawa

    Kipi kimesababisha bei za mafuta kupaa hivi?

    Huko uliko bei ya mafuta ya petrol ni Tsh ngapi? Hali imeanza kuwa Tete baada ya kupanda Kwa bei ya mafuta. Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi. Serikali isipo angalia jambo hili, tunaelekea kusikojulikana.
  7. rich1

    Tuliotuma nauli tukazimiwa simu tukutane hapa

    Wale ambao tulituma pesa ya nauli na yakutolea, mwisho wa siku tukazimiwa simu na kupigwa block..tukutane hapa kwa nia ya kupeana moyo.
  8. Nigrastratatract nerve

    Jirani yangu tajiri mwenye maringo anataka mimi nitembee kwenda kwake nitumie nauli yangu lakini yeye ananitumia vijakazi wake

    Nina tajiri mwenye jeuri anataka nitumie hela zangu za watoto wangu nikamtembelee yeye wakati ninakoenda kuna mtoto wangu anaweza kuniwakilisha. Kama anachofanya yeyee kutotembelea majirani zake ili atunze hela za watoto wake inabidi pia hata mimi nitume mtoto wangu aliyeko huko hakuna haja ya...
  9. ktroshaban

    Ushauri: Mpenzi wangu nilietaka kumuoa ameondoka na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine

    Nilikuwa na mpenzi wangu niliyedumu naye miaka miwili. Hatukujaaliwa kupata mtoto na wazazi wangu walimtambua kama mkwe. Niliingia kwa miguu yote miwili katika penzi lake nikidhani ndio tayari chaguo langu, nilimpenda kupitiliza. Hivi ninavyowataarifu kaenda kuishi na mwanaume mwingine tena...
  10. R

    Inakera sana: Mtu umemlipia nauli kutoka mkoa hadi mkoa baada ya muda mrefu hamjaonana, akija gemu hafifu sana

    Jamani hizi ni zama za nipe nikupe! Huu ndio ukweli wa maisha ya siku hizi. Wadada mnaopenda kuhudimiwa na wanaume( Karibu nyote mnapenda) mjipime na kujitafakari kama huduma mnazotoa zinakidhi viwango au la! Huyu mpenzi wangu mimi kutokana na kazi zangu za kuhudumia jamii, nakuwa bize sana...
Back
Top Bottom