Naifikiria sana hii kitu pale mtu anapoachwa wiki nzima hajazikwa, huwa inakuwaga huzuni mara mbili kwa wafiwa.
Solution ya hii kitu nimegundua ni mtu kuzikwa fasta fasta na sio kuchelewa zaidi ya siku mbili.
Mwaka jana kwenye family yangu kuna mtu aliumwa kinoma, nikajisemea hapa akifa nazika...
Tunachukuliana poa kwakua mmiliki wa haki ya matangazo ni MTanzania mwenzetu. Lakini proffessionally, financially hata socially anaenda kulilia chooni kwa hasara anayoingia na anafanya hivyo asiwakere waliompa tender.
Pole sana Azam, nia yako ni njema ila waliokupa kazi hawathamini jasho lako.
Wanaojua haka kaugonjwa kapo sana maeneo ya pwani.
Nakumbuka shulen huko pwani watu walikua wanaugua sana kwa sababu ya maji tuliyokua tunatumia na mazingira ya unyevu nyevu.
Wajasiliamali wa dawa za fangas huku walijipatia hela.
Lakin jana kulala kuamka nakuta nina hao fangas kwene korodani...
Uje wekwa mdahalo wa Lissu Simba na Mama Abdul tupime IQ zao. Nani ana uelewa. Kisha baada ya hapo tuamue tu nani anafaa bila kutumia gharama kubwa kwenye uchaguzi.
Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua kabisa ni watu wa karibu ambao wanatumia sura ya unafiki.
Kuna matukio mengi sana kwa sasa...
Wanajamvi za muda huu?,
https://youtu.be/JYA8O-5Apeg?si=QkR1Ts42tJqTZrct
Bila kupoteza muda, ninatumaini kuwa wengi wetu tayari tuna ufahamu kuhusu suala linaloendelea la “Maandamano ya CHADEMA” yaliyotarajiwa kufanyika tarehe 23 Septemba 2024. Kwa wale ambao huenda hawajajua, sababu kuu ya...
TWIME TUBITE
Napenda kuufahamisha umaa na mhariri mkuu kwamba mjadala huu ulifaa uwe kwenye technology,Lakini mantiki yake inafaa kujadiliwa na kusomwa na watu wenye maulizo yasiyo ya kawaida.
-------------
Akili bandia, Kuna binadamu wenzetu wanawaza na kutenda kwa namna ya kipekee sana, ama...
Basi nimeshiba zangu hapa ndizi nyama, nina GB za kutosha, uhakika wa kula mpaka keshokutwa ninao., Basi hii ikanifanya hisia Zangu kwenda mbali zaidi.
Nipo nawaza na kuwazua kwanini tuwapo safarini Ile hali amazing ( Ooh.. my.. God!!)haikai kwa muda mrefu!!! Ujue ingekaa angalau hata...
Ni kitendo cha kiwango cha ki mauaji
Si kila mtu anaweza kawaza haraka haraka hili.
Yaani hapa ataitwa meneja au polisi au mjumbe.
Sio jambo dogo.
Sasa watakuwa wamekuudhi au unawachezea tu??
Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.
CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .
Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale...
Tuliomaliza shule wakati magroup ya whatsapp hayajaanza tulibadilishana mawasiliano tu..baadae teknolojia ikatukutanisha kwa sura zetu pichani na wengine hawaweki nyuso zao isipokuwa avatar au picha za wanawe nakadhalika. Kazi inakuwa na maswali pale lnapokuwa hamuonani na mnaanzisha group la...
Ukiliangalia kwa umakini utagundua kubwa Simba ina timu isiyoweza kufurukuta kwenye mashindano makubwa ya kimataifa.
Kikosi chake ni dhaifu sana hasa katikati na nyuma. Hawana mlinda mlango wa kutumainiwa. Mechi za ligi kuu wanashinda kwa mbeleko ya waamuzi.
Leo huenda ikawa siku ya aibu...
Ukiliangalia kwa umakini utagundua kubwa simba ina timu isiyoweza kufurukuta kwenye mashindano makubwa ya kimataifa. Kikosi chake ni dhaifu sana hasa katikati na nyuma. Hawana mlinda mlango wa kutumainiwa. Mechi za ligi kuu wanashinda kwa mbeleko ya waamuzi. Leo huenda ikawa siku ya aibu kubwa...
Tena akiwa mama Abdul sijui atakuja na ipi na vile katoka ukanda wa mipasho itakuwa kivumbi tupu!.
Ugumu unakuja taswira alioitengeneza watu sahivi wanaona hafanyi Yale aliyokuwa akiyafanya mtangulizi wake,ambapo aliurithi ule usemi wa "hapa kazi tu" nakuuita "kazi iendelee".
Hapo kwenye kazi...
Wakuu samahani naomba ufafanuzi Kwa suala la bandari linaloendelea kuwa kubwa nchini. Hizi kelele za upingaji MKATABA ni kutokana na nini? Muda wa MKATABA kuhusu bandari? Terms and conditions zilizomo? Udini?
Au kelele hizi ni kutokana na kuvuja kwa MKATABA? Mikataba mingine tusiyoipigia...
Hotuba ya Dr Samia jana imenipeleka mbali sana kutafakari kama tungefanya makosa tukaikabidhi nchi kwa Lisu ingekuwaje.
Samia wewe ni Muungwana nimekuelewa vizuri, sisi ambao tumepata bahati ya kuziona nyakati zote za uongozi wa Nchi hii tunauona mzigo mkubwa uliojitwisha wa kuiongoza Nchi...
Mara zote Rais wa Taifa hili akizungumza sioni akimtanguliza Mungu na kumtaja ama kumtukuza na kumsifu Mungu wetu wa dini zote aliyepo hai jana, leo na hata milele, sioni faida ya kutamka nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano.
Sina hakika na kutamalaki na wito wa mbegu njema ya Mungu chini...
Ukihitaji salamu subiri kwanza nizeeke,sasa hivi utaula wa chuya!
Nawaza sana endapo Mungu akinipa Umri mkubwa wa Kuishi,sijui uzee wangu utakuwa wa namna gani!😩
Je, nitadharaulika kama baadhi ya wazee leo wanavyodhaurika?
Je, nitakosa thamani kama wazee wengine wanavyokosa thamani miongoni...
Nawaza nje ya box...CCM ni ileile.
CCM ni waoga sana kutoka madarakani, inapokuja hoja inayotishia uwepo wao madarakani watafanya lolote hata ikibidi kudhulumu ili wabakie.
Wakati CUF inajipantia nguvu Zanzibar miaka ya 92 kwenda 95 walieneza habari nchi nzima kuwa CUF ni chama cha dini flani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.