1)Fanya utafiti yakinifu na makini kubaini gharama,namna bora ya uendeshaji,faida na mengineyo watu wa project wanaweza kunisaidia. Weka mipango mirefu na mifupi na kufanya tafiti za mara kwa mara kuona malengo yamefika wapi
2)Tafuta wataalam waliobobea kwenye maswala ya uendeshaji wa bandari...
Yaani jinsi maisha yalivyo magumu kwangu nawaza maishani mwangu nisije kupata mtoto akaja duniani kuja kula msoto kama Mimi.
Maana Mimi mwenyewe niña wazazi lakini siwezi kuwasaidia msaada wowote wanahangaika nauzee wao mtoto wao sieleweki.
Bora niwe wa mwisho kuteseka ila damu yangu nisiilete...
Wameniconferm jana, niende kituo cha kazi huko Geita ,mwezi ujao, hapa nilipo nahisi kama naota vile.
Naona siku kama haziendi niende nikalipoti, nahisi kama jamaa wanaweza ahirisha vile, nawaza namna gani maisha yangu yanaenda kubadilika, nawaza namna gani naenda kuitoa familia yangu kwenye...
Moja ya mkakati unaotumiwa sana ni kutumia njia ya kujiweka mbali ili adui yako hasikufikirie zaidi. Na kwa ujumla mkakati huu nawaza pengine unatumiwa na vyama vya upinzani kuizubaisha CCM wanavyomchukulia Hayati Magufuli. Kama ndivyo basi CCM.
Machoni mwa wengi sana Hayati Magufuli ni shujaa...
Tuanze na mwanzilishi wa neno "mbususu" sijui aliwaza nini. Linafanania na mahala husika. Wanawake walitambue hili
Twende kwenye hoja. Huyu rafiki hana cha maana cha ku-share na wenzie tofauti na ulaji wa mbususu
Utaskia mara oh mama fulani nimemla, mara mtoto wa fulani ana mbususu yenye...
Nimewaza yale ya Lowassa Vs Membe alafu mwingine ndo akaongoza nchi!
Kwa kifupi hawa vijana hawajaiva kushika madaraka makubwa kivile ya nchi wanatakiwa kuwa chini ya Uangalizi, wana familia na kila kitu Ila Uvulana bado unawatawala sana
Mtu ambaye umeshakuwa unakuwa na Dalili zifuatazo
1...
Atamsifia Samia kwamba kaimarisha demokrasia na kwamba kaleta haki za binadamu na karuhusu upinzani kufanya mikutano. Samia atavimba kichwa na kufurahi kusifiwa na makamu wa rais wa Marekani kumbe wananchi shida yao ni uchumi. Kamalla atapiga vijembe awamu ya tano na kujidai hali ya Tanzania...
Mdogo wangu alinifuata wiki moja iliyopita akitaka nimsaidie jambo moja. Huyu mdogo wangu ameoa, ana mke kwa muda wa miaka 4. Anatafuta mtoto naye hawajapata ata kidogo, sasa amekuja kwangu wiki iliyopita anasema anaomba nitembee na mke wake apate mtoto.
Sikuamini macho yagu kabisa, nikaona...
Wakuu naamini mu wazima na mnaendelea vizuri na TOZO.
Mimi nimekutana sana na visa vya kupendwa na wake za watu kimasihara sihara mpaka nahisi ni pepo. Wadada single nawapata kwa nadra sana.
Ila kati ya hao wote kuna huyu mmoja ambae alitokea kuzama zaidi.
Huyu binti ni mrembo haswa picha...
Roho inaniuma sana, juzi nilichukua statement nikauta wamekata 11,000 kama government levy
Baadaye nikapita JF nikakuta taarifa kua kuna tozo ya miamala ya kibenki tangu july
Jana, nime withdraw kiasi cha pesa, then leo kupitia statement fupi nimegundua kuna 10,010 imekatwa tena kama...
Nipo mkoa wa kilimanjaro , kata niliyoombea nafasi ya ukarani wa sensa , yaani people zilikuwa ni 400+ plus sasa kwa idadi hiyo inanifikirisha kuwa nafasi ya kuchaguliwa ni finyu, mie na conclusion yangu hapa kuanzia jumatatu ntazunguka wilaya hizi za HAI na ROMBO , ili nika jaribu kuulizia...
Nawaza sana ile siku ya tarehe 17/03/2020 tulipoondokewa na Rais wa jamhuri ya Tanzania ni siku ambayo nilifikiria mengi kuhusu siri ya ulimwengu na jinsi unavyojiendesha(endeshwa),ila niliishia kwa kusema sifa kuu apewe muumba wa mbingu na ardhi yake ni yeye mwenye kuunda na kuboa hivyo...
Miaka ya nyuma kuwekewa tu simu ya mezani ilikuwa ni issue kubwa unaweza ukazungushwa sana. Mara paaap zikaja simu za mikononi TTCL yale maringo hayapo tena. Shirika la Posta sina ushahidi nalo kuhusu tuhuma za usumbufu mara paaap simu za mkononi kutumiana message sio lazima kuandika barua, siku...
Wakuu hi tozo ikiondolewa wakazi wa Kigamboni itawapunguzia Sana Ukali wa Maisha.
Mbunge wa Kigamboni Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) ameitaka Serikali kuondoa tozo za Daraja la Nyerere lililopo Kigamboni na badala yake Serikali ibebe mzigo wa deni la mkopo wa NSSF.
Ndugulile ameyasema haya leo...
Kwanini mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi ma-RPC nk., nk...
Pamoja na mishahara yao minono bado wanapewa nyumba, magari, walinzi, wanalipiwa umeme, maji, matumizi ya simu nk ili hali watu wengine wafanyakazi wengine wa serikali na taasisi zake wanabeba misalaba yao wenyewe?
Why...
Ndiyo! Hakuna la kumfanya, kwasabb katiba imesema rais hashitakiwi kwa jambo lolote.
Na ushauri yeye ndiye anaamua aupokee ama aukatae.
Kwa katiba hii atakuja kutokea rais ambaye ataamua:-
1. Kuzipiga marufuku na kuzifuta kabisa sherehe za Uhuru.
2. Kuulipua kwa mabomu na kuusabaza kabisa...
Asalam wakuu naomba mnukuu kwanza kwenye title ya uzi kuwa nawaza tu na neno huenda ndilo mpigie mstari.
Ni kwamba sina uhakika Japo sipo sahihi kama sabaya atakaa miaka 30 jela.
Kulingana na kauli ya sabaya leo kuwaambia hata wasihofu Mungu yupo huenda ina Maana Zaidi.
Je, unazani hakuna watu...
Jameni Wazambia ni balaa, malori yote 200 wamekamata na hawajali liwalo na liwe.....
The government said yesterday that it was not aware of reports that over 200 trucks owned by Tanzanian operators had been seized in Zambia linked to illegal logging claims.
“We haven’t received any...
Wakuu habari,
Haya ni mawazo yangu tu, ambayo nimekuwa nikifikiria kwa muda mrefu pengine ni nadharia tu kwa sababu sina uelewa wa kutosha lakini hainizuii kufikiria na kutafakari,
Nitatumia mifano ya awamu ya 5 na 6 kueleza mawazo yangu ambayo nimekuwa nikiyafikiria,
Inawezekana kuna watu...
Habari wana bodi,
Niende moja kwa moja kwenye maada tajwa hapo juu, ni miezi takribani 3 tangu aliyekuwa mpenzi wangu (x-girlfriend) aliponiacha kwa kunitamka kuwa "kuanzia leo mimi na wewe basi" alipo nitamkia sentence iyo tu tangu siku iyo hakuwai kuona sms wala calling yangu, nilifuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.