I’m continuing to read the tea leaves from Tundu Lissu’s Clubhouse appearance.
Lissu aliulizwa swali kuhusu Mbowe kuibeba CHADEMA kifedha.
Akafunguka na kusema kuwa kuna nyakati kamati kuu ya chama ilikuwa inamwambia Mbowe kuwa chama kinahitaji kiasi hiki cha pesa kwa sababu moja, mbili, tatu...