Nilikuaga mpenzi sana wa soda aina ya coca cola iliyo ya baridi sana.
Ilikuwa siku ikiisha bila kupiga coca najiona mtupu.
Matter of fact ingebidi nipatiwe tuzo ya mnywaji bora coz nilikuwa nakunywa kila siku.
Hadi hapo siku moja nilianza kuhisi meno yangu ya mbele kuanza kuuma pale...
Hawa mashabiki na viongozi ndo Huwa wanalalama eti Yanga anakuwa bingwa Kwa kuzifunga timu kwenye ligi Kwa sababu zinadhaminiwa na GSM
Sasa wao kila mechi kipigo
Wao watwambie kama GSM ashaanza kuwadhamini
Tengenezeni timu
Acha kulia
Leo mnalia refa
Mara kipa Camara kauza mechi
Zile 5 mlisema...
Kwa majonzi makubwa nachukua nafasi hii kuwatangazia ya kwamba dada mama na ndugu yetu mwanaJamiiForums mwenzetu dada niah ametwaliwa kutoka maisha haya..! Amefariki juzi tarehe 2 Dodoma General hospital alikokuwa akipatiwa matibabu
Msiba uko nyumbani kwake Dodoma na ndugu yetu Mwifwa yuko huko...
Wadau hamjamboni nyote?
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei anatarajiwa kuongoza sala ya Ijumaa na kutoa hotuba ya hadhara ambayo wengi wanadhani inaweza kueleza mipango Iran baada ya shambulio kubwa la kombora dhidi ya adui yake Israel.
Hotuba hii adimu ya Khamene itakiwa ni ya...
Hakuna kitu kinaumiza kama kuona mabinti wa Arusha na Moshi wakiwa wamekimbilia mikoa mingine kufanya kazi bar nk.. Wakati maeneo watokayo ndiko kulikogunduliwa madini ghali zaidi duniani na yakipatikana Tanganyika tuu.!
Madini ya Tanzanite na madini mengine Tanganyika hayakugunduliwa na...
Mwaka 2040 sio mbali sana, Tusijisahau sana kwenye kujiandaa na uzee, kujali afya zetu, kuwekeza, n.k.
Umezaliwa 1970, ukifika 2040 utakuwa na miaka 70
Umezaliwa 1971, ukifika 2040 utakuwa na miaka 69
Umezaliwa 1972, ukifika 2040 utakuwa na miaka 68
Umezaliwa 1973, ukifika 2040 utakuwa na...
Utapeli Kwa jina la sadaka na zaka ndio maneno ya kuvuta pesa yako, pale hakuna la maana.
Sadaka na zaka ni mambo yaleyale yaani jina linabadilika kidogo.
Hizo zaka na sadaka wanaenda kula hao wanaokusanya over,
Amini unachokiona, usichokiona hicho hauna sababu ya kukiamini.
Ukikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu wasio na elimu yoyote cha ajabu unakuta mpaka msomi anasimulia bila haya mbele za watu.
1. Diamond na...
Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi?
Je ni kampuni gani ya mabati ambayo hayapauki haraka, niliambiwa ALAF na ANDO sasa sijui ni ipi niondoke nayo?
Yamkini wewe uajua kampuni nzuri pia nitapokea ushauri, nataka ati zuri kwajili ya nyuma nzuri.
Tupo Arusha
Sijawahi kusikia iwe ni Arsenal au Manchester United au Liverpool FC yangu au PSG au Real Madrid na FC Barcelona au Bayern Munich au AC Milan ao hata Mamelodi Sundowns FC wakisema kuwa Timu yao ipewe muda au Mashabiki wao wawe Wavumilivu kwani Vikosi vyao Vinajengwa na miaka mingi ijayo.
Mpira...
Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi).
Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
Tusipotezeane sana muda kwani bado nina HASIRA KALI ya Timu yangu ya WAPUMBAVU SC a.k.a Kisingizio cha bado TUNATENGENEZA Kikosi kufungwa tena Wiki iliyopita na kuendeleza ule msemo kuwa Mke huwa hana Ubishi wa Mume.
"Kuna Clip moja niliiona Tembo akinyanyua Kigari cha ki IST hadi nikaogopa"...
Faida za mipango mikakati, maagizo na maelekezo yanayoamuliwa na kutolewa kutoka vikao vya ngazi za juu vya CCM, hususani taifa, yanafika bara-bara na yanatekelezwa vizuri kikamilifu sana, na kwa ufanisi mkubwa mno kwenye matawi na mashina ya CCM huku mitaani na vijijini. hili liko wazi kabisa...
Ulanzi na pombe maarufu ya ndizi kama "banana wine" nazo ni wine?
Ninavyofahamu wine inatengenezwa kwa zabibu tu.
Hongera kwa huyu mzee kupaki ULANZI katika hali ya kisasa. Watengeneza gongo nao wapate fursa kama hii.
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani,Boris Pistorius, amesema kulitumia jeshi la nchi yake kuilinda Israel iwapo itashambuliwa na Iran si jambo linalohitaji kujadiliwa.
Kauli hiyo ya Ujerumani inafuatiwa na uamuzi wa Marekani kupeleka meli na askari kuizunguka Israel ili kuipa ulinzi nchi hiyo ambayo...
Uturuki nayo imetuma Ndege mbili za mizigo yavsilaha kwenda Tehran
Two days in row,at 31-07-2024 & 01-08-2024 , Airbus A400 of the Turkish Air Force flew twice to IRAN,
on the route Tehran-Ankara-Instabul.
In same time Russian special squadron Il-96 flew also twice in two days+one Russian Il-76 .
Sidhani kama hili halikuwekwa kwenye mkataba, kwamba waliotengeneza treni hiyo wanatakiwa kutoa warrant ya sio chini ya miaka mitatu, na pia, kwa muda walau wa mwaka, washiriki moja kwa moja pamoja na watanzania katika kuiendesha katika safari zake.
Hii itasaidia kuhamisha maarifa kwa mafundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.