Kuharibika kwa mfumo wa ajira kumeangusha taifa kiuchumi kisiasa na kiutamaduni na CCm inaporomoka na madhira haya.Kwa kawaida state ina nafasi nzuri ya kupick best intellectuals kuliko sekta binafsi, tabia yakuweka vimemo kwenye baadhi ya application au big people kuingilia mchakato wa ajira...
Kati ya Kesho Jumatatu mpaka Jumatano au Alhamisi kuna Zengwe la Awali linaenda Kuibuka Klabuni Yanga SC ambalo litawahusu hasa Watu Wawili Msemaji mpya Haji Manara na Injinia Hersi Said.
Hata hivyo Zengwe hilo.litazimwa kwa muda ila litaibuka kwa Nguvu mpya Weekend ijayo pale ambapo Yanga SC...
Nimetoka kuangalia makala hapa inayohusu mambo ya cocaine na ninmegundua ya kwamba aina hii ya madawa ni bei mno.
Hapa nazungumzia cocaine yale madawa yanayovutwa kwa pua (kusniff)
Madawa haya bila uwezo wa kutoa laki kila siku huwezi kuyapata
Nimeona watuamiaji wa bangi na mateja wanaotumia...
Nikaskiza redio (Efm)
Tarehe 10/08/2011
Sababu ya kwanini mabasi ya express kushindwa kufika mapema kama ahadi walizotoa.
kiongozi mmoja kutoka ofisi za wanaohusika na usafiri wa barabara aliulizwa na akatoa sababu zifuatazo:
1/ KUEPUSHA KUTEKWA
Mabasi yote lazima yasubiriane vituo fulani ili...
Ajali za moto katika jamii yetu zimekuwa ni majanga yanayohitaji mjadala makini kutokana na athari kubwa yanazosababisha pindi yanapozuka katika maeneo mbalimbali ikiwemo katika taasis za umma kama vile vyuo, mashule na katika vituo vya biashara kama vile masoko na maeneo mengine.
Athari zake...
Nataka IGP Sirro ajitokeze atueleze Haya yafuatayo
1. Wahusika waliomshambulia Lissu
2. Nani alimuua Alphonce Mawazo
3. Nani aliyempoteza Ben Saanane
4. Yuko wapi Azory Gwanda
5. Kuna taarifa za watu kipindi kile kukutwa kwenye viroba (tukaambiwa ni wakimbizi)
6. watu mbalimbali...
Nimekuwa nikisikia sehemu mbalimbali (hasa hasa hapa nchini Herzegovina) yalipo Makazi yangu Siku zote kuwa licha ya Wanadamu wote kuwa na Five ( 5 ) Senses, ila kwa wale Majasusi (Manjagu) wao wanatakiwa kuwa na ya Sita (6) pia.
Je, hii ( hiyo ) Sixth ( 6 ) Sense anayotakiwa hasa kuwa nayo...
Habari ndugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 nishawahi kuwa na mahusiano na wanawake wawili tu mpaka kufikia huu umri lakini kuna changamoto napitia naona inakuwa ngumu sana kucopy
Mwanamke wa kwanza
Huyu nilidumu nae ko mda wa mwaka mmoja tu nakumbuka kipindi icho nimehitimu kidato cha...
Mwanzo tulidhani rais huyu ni muungwana, mchukia uonevu, mstaarabu kumbe ni walewale. Ukiwa member kwenye timu ya wachawi na wewe ni mchawi tu.
Naona serikali yake imeanza kubambikizia watu kesi. Eti Mbowe gaidi, ugaidi mmeujua tu kwa kuwa kaanza kudai katiba mpya na haki ya vyama vya siasa...
Makamu Mkiti wa CHADEMA akiongea leo kwenye Forum ya Maria Space inayoongozwa na Mwanaharakati Maria Sarungi iliyoshirikisha watu zaidi ya elfu 6 duniani kote, amesema,
“Kama makundi mengine ya vyama vya kiraia, vyama vya siasa, NGOs, viongozi wa dini wanasita au wanaogopa dola kujitokeza...
Katika mkutano wa wakuu wa China, Ufaransa na Ujerumani uliofanyika hivi karibuni kwa njia ya video, rais Xi Jinping wa China alitoa wito kwa Ulaya kutoa chanjo dhidi ya COVID-19 kwa Afrika, na pia kuisaidia kukabiliana na shinikizo la madeni linalotokana na janga hilo. Juu ya hilo, kuna vyombo...
Chadema kuweni makini na huyu mama wanawake huwa wakatili zaidi ya wanaume,kauli yake inaongoa zaidi kwa kirefu ,"nasikia wameanza chokochoko tumejipanga"
Wakuu natumaini kuwa hamjambo!
Napenda kuuliza hili swali langu dogo;
Kwakuwa mitandao ya simu huongeza tozo mara kwa mara kulingana na sababu mbalimbali ikiwemo kuongezeka kwa gharama za uendeshaji.
Je, serikali nayo itaongeza tozo kwa wananchi kama watakavyofanya mitandao ya simu au itabaki...
Kuna msemo wa Kiswahili unaosema "Ukimkimbiza sana mjusi hugeuka kua nyoka na kukuuma"
Viongozi wa upinzani piganieni haki yenu ya Kikatiba kwa sasa. Ambayo ni kufanya mikutano ya hadhara hiyo ipo wazi. Simamieni hapo Katiba imewaruhusu na Mama hawezi kuzuia hilo. Anapaswa kuheshimu Katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.