Tusheherekee zetu tu kwa Kushinda jana na Kufuzu huko Robo Fainali ya CAFCC na kupata hicho Kitita cha Shilingi Milioni Mia Nane ( 800,000,000/= Tsh)
Ila kwa Mpira mbovu niliouona Jana huku Beki Onyango, Beki Tshabalala, Viungo Mkude na Kanoute na Washambuliaji Morrison na Sakho wakionyesha...
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe...
Wanaukumbi.
Chadema mnajitapa mna wanachama active 12 milioni. Kampeni ya ‘Join The Chain’ imebuma. Mmekuja na “One Million Challenge’ kwa wiki mnaomba 1K kwa kichwa nayo tia maji, tia maji. Hao wanachama 12m ni wafu au ‘Ghosts’? Kama katika 12m mnashindwa kupata 1K kwa mtu kwa siku 7?
Chadema...
Marekani ni mnunuaji mkubwa sana wa mafuta yasiyosafishwa toka Urusi!! Hilo ni eneo nyeti sana kwake kiuchuni. Jana katika hotuba yake muhimu kwa Taifa, mataifa ya ulaya yalitegemea Biden kutangaza kususia ununuaji wa mafuta toka Urusi, na kwa mshangao wao hakugusia kabisa jambo hilo. Hata...
Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA(Naomba kusahihishwa...
Waziri wa Afya wa Uingereza @sajidjavid amesema kuwa corona inaweza kuwepo milele hivyo inatubidi tuanze kuiona kama mafua na kujifunza kuishi nayo.
Aidha Javid amesema "inasikitisha lakini ni ukweli kuwa kuna miaka mingine huwa tunakumbwa na wimbi la mafua makali sana nayo huwa yanaua watu...
Habari ndugu zangu. Leo nina jambo nataka ku-share na nyinyi na nina imani litawasaidia.Leo nitazungumza na wenzangu wasomaji sana wa vitabu ambao kwa experience yangu humu ndo mashujaa wa mada ngumu ngumu.
Kiukweli tunashauriwa kutumia muda mwingi kujijenga kwa kusoma vitabu.Na ni jambo jema...
Wadau wenzangu wakilimo hiki kinachoitwa benki ya kilimo naona Kama hakina tija yoyote kwa mkulima halisi,najua mkulima yupo kijijini Lyazumbi, Katonto,Muze,Mtowisa,Chikumbulu huku au Ngulugulu huko Ileje ndani na vijiji vyote vinavyohusika na kilimo hawana taarifa na namna ya kunufaika na benki...
Kiufundi nawaogopa zaidi Azam FC kuliko hata Yanga SC kwani Azam FC wana Wachezaji wenye Vipaji Asilia huku Yanga SC wakiwa na Wachezaji wenye Ushindani na Morali ya Juu.
Hakuna Mechi ambayo inaniumiza Kichwa Kuiwazia mpaka kuwa na Hofu nayo kama hii ya leo kati ya Simba SC yangu dhidi ya Azam...
Nakumbuka mwaka jana 2020 , mwanzoni
Nlikuwa nmeenda kwenye project moja songea sasa wakati narudi sister akinipa kazi nirudi na beki tatu mmoja ambaye tayari sister alishamalizana na wazazi wake ilikuwa ni mimi tu kumchukua na kumfikisha mahali husika (DSM)
Sasa kufika Njombe pale saa 4...
Eti anajiuliza Mwanasisasa anawezaje kumaliza PhD kwani anatumikia siasa na wakati huo huo anabukua! hawa ndiyo wale MaProf waliokuwa wakizingatia sana kupoteza muda mwingi wa kusoma Enzi zao ambazo hazikuwa na teknolojia kama ya sasa.
Hawa waliamini katika kusoma kwa muda mrefu badala ya...
Wala siyo Gari nyingi bali ni Nne tu kama siyo Tano tofauti na za Marais ambazo unaweza hata Siku ukakutana nazo zikiwa 43 au 69 kabisa.
Hata hivyo kuna Mwamba Mmoja aliniambia kuwa huo Msafaea wa CDF Gen. Mabeyo ni mdogo hivyo ila waliopo hapo Kiulinzi ni wale Wajuba watupu wa 92KJ kule Sanga...
Waswahili walimenya kwamba mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Huu ndiyo ukweli wenyewe kwamba Mama anajitahidi tu kusimamia kua katika utawala wake haki inatendeka.
Ikitokea wewe umetuhumiwa kufanya tukio flani hiyo ni juu yako wewe, serikali inachosimamia ni kusisitiza haki itendeke...
Akihutubia wananchi mkoani Kilimanjaro mheshimiwa Rais amesema mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya kwenye mitandao ya simu ambayo ilipigiwa kelele na wananchi wengi, na Serikali ya Uingereza nayo imeanzisha tozo kama hii.
Kumbe mama anafanya vitu Hadi mataifa yaliyoendelea yanavikubali hadi...
Habari JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mradi wa afya umebuniwa na kampuni ya kitanzania, ila utekelezaji wake ni lazima upitie shirika au asasi ya kijamii.
Hivyo naomba mtu anayemiliki NGO au anafanya kazi kwenye NGO au ni mjumbe wa NGO au una mahusiano na NGO yoyote, inayoweza...
Mbona hamkukaa mfanye mahesabu ya kueleweka ili mkamilishe hata mradi mmoja tu, mlikurupuka sana kuanzisha miradi kote kote na kuongea ongea sana, kuna kitu kinaitwa "Upembuzi yakinifu", sio unataka ufanye kila kitu.
==================================
Dar es Salaam. Licha ya umuhimu wake kwa...
Kuharibika kwa mfumo wa ajira kumeangusha taifa kiuchumi kisiasa na kiutamaduni na CCm inaporomoka na madhira haya.Kwa kawaida state ina nafasi nzuri ya kupick best intellectuals kuliko sekta binafsi, tabia ya kuweka vimemo kwenye baadhi ya application au big people kuingilia mchakato wa ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.