Mkataba wa Leo Messi wa PSG unamalizika 2023 na huko Saudi Arabia, wanamtaka akajaribu bahati yake huko mara moja. Hata kabla ya mkataba wake kuisha.
Kama Al Nassr alivyofanya na Cristiano Ronaldo, Al Hilal sasa wanataka kumpa Messi pesa nyingi. Kulingana na 'Mundo Deportivo', klabu hiyo itampa...
CAF CONFEDERATION CUP 2022/2023
Group D:
1: TP Mazembe (RDC)
2: US Monastri (TUN
3: Young Africans S.C. (TAN)
4: Real Bamako (MLI)
Sasa hapo timu inayojiita ya wananchi ishindwe yenyewe tu kuongoza kundi. Hakuna timu hapo, na hiyo TP Mazembe imebakiza jina tu, imezembea sana!! Timu kali za...
1. Epuka na ujitoe kabisa kutoka katika Kundi la watu wenye mitazamo hafifu juu ya maisha yao.
2. Acha kuwa king'ang'anizi kwa wale waliokutenga katika maisha yako.
3. Kuwa mtu wa haki na upendo hata kwa watu usiowajua.
4. Kuwa mtu wa heshima na upendo kwa kila mtu.
5. Kubali kuishi na watu...
HII NDIO MAANA HALISI YA MWANAUME NI KICHWA CHA FAMILIA
Anaandika, Robert Heriel
Ukiwa kama kijana unayetarajia kuwa Baba, au ambaye tayari ni Baba na upo kwenye Familia yako. Shika Kwanza hizi nyundo;
i. Kuna mambo unapaswa kuwa nayo lakini Mkeo asijue unayo.
ii. Kuna mambo unapaswa kuwa...
Baada ya Kukamatwa Jana huko Mbagala alikojificha kwa Kosa la Kujeruhi kwa Ukatili kwa Kumkata Mgoni wake Sikio na Kidole cha Kati hii ndiyo Tuhuma inayomkabili Mfanyabiashara wa Mihogo Soko la Kawe Bwana Cherehani.
KOSA lake / TUHUMA yake ni
KUTAKA KUUA KWA KUKUSUDIA.
Na tayari ORDER...
Bado tunaweza kuwa na Sherehe za Siku ya Uhuru kwa bajeti yoyote ile iliyopangwa na mambo mengine yakaendelea kama yalivyopangwa.
Ni dharau kwa Watanzania wazalendo kama akina Cognizant (alias), Adorable, Angel kufuta sherehe za uhuru na kusema pesa zielekezwe katika matumizi ya jambo lingine...
Back in 2013 namkumbuka sana huyu dogo cheche zake kuanzia Dear Gamble, Mrs Superstar n.k, nilikuwa fan wake mkubwa, ukichanganya kule kuchana kwake kuchanganya swaggs kama young daddy.
Nimemiss zile flavour real kutoka kwa huyu dogo, nashindwa kuelewa tatizo liko wapi? Ameshindwa kabisa...
Nimewahi andika kuhusu hili, nimeona niliandike tena na kulimalizia.
Frustration ni hali impatayo mtu baada ya kushindwa kufikia malengo yake
Kwenye uzi huu tutaona jinsi watu mbalimbali wanavyo react dhidi ya kushindwa kufikia malengo.
1. Rationalization(Sizitaki mbichi hizi)
Moja ya tokeo...
Leo (13/11/2022) imetimia miezi miwili (siku 62) tangu yule mshambuliaji 'machachari' Fiston Mayele afunge goli katika NBC PL. Ikumbukwe Mayele ndiyo mchezaji pekee ambaye 'tunaimani' anaenda kutuvusha group stage ya CAFCC mbele ya Pyramid na TP Mazembe.
Wanayanga kipindi 'tunaendelea' kuhesabu...
Madude yanaendelea kumjongea Putin, alilianzisha wenzake wanamalizia, wamehakikisha amedhoofishwa na kataifa kadogo Ukraine, sasa hivi kiuchumi anaendelea kuangukia pua, halafu Warusi wenyewe wamemchoka na mavita yake yanayoendelea kuua watoto wao na kurudisha nchi nyuma, anafukuzia vijana...
Habari wana jukwaa hili. Naomba kujua ni mambo gani ambayo unapaswa kuyaeka sawa kwa wakati wa mwanzo kabisa wa kuanzisha biashara(Yenye mfumo wa kampuni), ili iweze kuleata tija, faida na uendelevu kwa miaka ijayo mbele. Hili nikimaanisha namna ya kuandaa hesabu zako kwa ajili ya kodi...
Watu wengi wanajua neno mipaka linamaanisha nini, lakini hawajui ni nini.
Mipaka ni njia ya kujitunza mwenyewe. Unapoelewa jinsi ya kuweka na kudumisha mipaka ifaayo, unaweza kuepuka hisia za kinyongo, kukatishwa tamaa, na hasira ambazo hujengeka wakati mipaka imeondolewa.
Hizi ni aina 5 za...
Yaani unakuta mtu anakaribia kufa unamuuliza "sasa mzee unatuachaje?" Anasema "muishi kwa amani na upendo"
Khaaaa... Amani na upendo hakuna mshiko? Mzee anakufa anawaachia Kauli tu. Maana ndiyo aliyo nayo hana mali.... Anaacha kauli na madeni.unakufa bado unawaachia shida. Si bora ungeishi...
Maisha magumu hayanaga hodi, ni vema mtu uwe walau una maandalizi yake maana lolote laweza tokea.
Kuna malezi haya ya dezo huwa naona ni hatari kwa watoto, ikitokea mara paap mzazi kafukuzwa kazi, biashara imeyumba, katoweka, n.k na hana ndugu wa kuendelea kumlea mtoto wake maisha ya dezo, basi...
Yaani mwanaume umekuwa mwanamke na kinyume chake, utafanya nini? Mimi cha kwanza naenda kukojoa, halafu natafuta mbususu nione inafeel vipi.
Hamna period wala kuzaa yayyy!
Wewe je?
Hii ni dhana potofu na ni tatizo.
Yaani mwanaume unaenda bao 3, 4 au 6 halafu mkeo ana bao 1 tu au hajapata kabisa, hilo ni tatizo rafiki zangu. Mwanaume mwenye nguvu (rijali) hasifiki kwa idadi ya bao anazopiga yeye, abadani, anasifika kwa muda anaotumia kutoka bao moja kwenda jingine, hiyo ni...
Kulipwa mishahara baada ya miezi miwili kupita!
Mgao mkali wa umeme!
Maisha kuwa ghali!
Bidhaa kupanda kiwango cha mtu kushindwa kumdu maisha!
Miradi ya Serikali kusuasua na au kusimama kabisa
Hasira za viongozi kuwa juu baada ya mambo kuwa magumu, hatataka kusemwa semwa!
Na kadha wa...
Za jioni ndugu zangu, kwema.
Ndugu wanajamii forum wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza clear kabisa hapo juu. Ni kwamba kuna mpango mahususi unapangwa wa kuiadabisha Russia (na kwa bahati mbaya sehem kubwa ya dunia ) kutokana na kiburi ilichonacho Russia dhidi ya mataifa makubwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.