nayo

Nayo is a village in Bhamo Township in Bhamo District in the Kachin State of north-eastern Burma.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Al Hilal nayo yamtaka Messi kwa mabilioni ya pesa

    Mkataba wa Leo Messi wa PSG unamalizika 2023 na huko Saudi Arabia, wanamtaka akajaribu bahati yake huko mara moja. Hata kabla ya mkataba wake kuisha. Kama Al Nassr alivyofanya na Cristiano Ronaldo, Al Hilal sasa wanataka kumpa Messi pesa nyingi. Kulingana na 'Mundo Deportivo', klabu hiyo itampa...
  2. Nahitaji channel ya Youtube

    Wakuu, mambo vipi nahitaji Youtube channel yenye Adsense yake mwenye nayo tuwasiliane pesa ipo nichek kwa namba 0767893175
  3. M

    Hili kundi la Yanga mchekea sana, Timu hapo ni TP Mazembe tu nayo siku hizi imezembea

    CAF CONFEDERATION CUP 2022/2023 Group D: 1: TP Mazembe (RDC) 2: US Monastri (TUN 3: Young Africans S.C. (TAN) 4: Real Bamako (MLI) Sasa hapo timu inayojiita ya wananchi ishindwe yenyewe tu kuongoza kundi. Hakuna timu hapo, na hiyo TP Mazembe imebakiza jina tu, imezembea sana!! Timu kali za...
  4. Mambo ambayo kijana wa sasa unatakiwa kuwa makini nayo sana

    1. Epuka na ujitoe kabisa kutoka katika Kundi la watu wenye mitazamo hafifu juu ya maisha yao. 2. Acha kuwa king'ang'anizi kwa wale waliokutenga katika maisha yako. 3. Kuwa mtu wa haki na upendo hata kwa watu usiowajua. 4. Kuwa mtu wa heshima na upendo kwa kila mtu. 5. Kubali kuishi na watu...
  5. Hii ndiyo maana halisi ya mwanaume ni kichwa cha familia

    HII NDIO MAANA HALISI YA MWANAUME NI KICHWA CHA FAMILIA Anaandika, Robert Heriel Ukiwa kama kijana unayetarajia kuwa Baba, au ambaye tayari ni Baba na upo kwenye Familia yako. Shika Kwanza hizi nyundo; i. Kuna mambo unapaswa kuwa nayo lakini Mkeo asijue unayo. ii. Kuna mambo unapaswa kuwa...
  6. C

    Hii ndiyo Tuhuma aliyokutwa nayo Mfanyabiashara Katili Cherehani huku akiwaponza Mama Mkwe na Mkewe aliye Mjamzito

    Baada ya Kukamatwa Jana huko Mbagala alikojificha kwa Kosa la Kujeruhi kwa Ukatili kwa Kumkata Mgoni wake Sikio na Kidole cha Kati hii ndiyo Tuhuma inayomkabili Mfanyabiashara wa Mihogo Soko la Kawe Bwana Cherehani. KOSA lake / TUHUMA yake ni KUTAKA KUUA KWA KUKUSUDIA. Na tayari ORDER...
  7. C

    Kughairisha Sherehe za Uhuru ni dharau kwa Tunu ya Uzalendo tuliyokuwa nayo Watanzania

    Bado tunaweza kuwa na Sherehe za Siku ya Uhuru kwa bajeti yoyote ile iliyopangwa na mambo mengine yakaendelea kama yalivyopangwa. Ni dharau kwa Watanzania wazalendo kama akina Cognizant (alias), Adorable, Angel kufuta sherehe za uhuru na kusema pesa zielekezwe katika matumizi ya jambo lingine...
  8. Wanaomuelewa Young Killer anaimba nini siku hizi, mbona kama simuelewi? Ameshindwa kuisoma gemu na kunyumbulika nayo

    Back in 2013 namkumbuka sana huyu dogo cheche zake kuanzia Dear Gamble, Mrs Superstar n.k, nilikuwa fan wake mkubwa, ukichanganya kule kuchana kwake kuchanganya swaggs kama young daddy. Nimemiss zile flavour real kutoka kwa huyu dogo, nashindwa kuelewa tatizo liko wapi? Ameshindwa kabisa...
  9. Frustration na jinsi ya kukabiliana nayo

    Nimewahi andika kuhusu hili, nimeona niliandike tena na kulimalizia. Frustration ni hali impatayo mtu baada ya kushindwa kufikia malengo yake Kwenye uzi huu tutaona jinsi watu mbalimbali wanavyo react dhidi ya kushindwa kufikia malengo. 1. Rationalization(Sizitaki mbichi hizi) Moja ya tokeo...
  10. Kwa huu ujumbe na kichekesho- leo nayo ni siku- siku yangu imeisha

  11. Achana na rekodi ya 'Unbeatean', Wanayanga hii rekodi pia 'Tuishi Nayo'

    Leo (13/11/2022) imetimia miezi miwili (siku 62) tangu yule mshambuliaji 'machachari' Fiston Mayele afunge goli katika NBC PL. Ikumbukwe Mayele ndiyo mchezaji pekee ambaye 'tunaimani' anaenda kutuvusha group stage ya CAFCC mbele ya Pyramid na TP Mazembe. Wanayanga kipindi 'tunaendelea' kuhesabu...
  12. Marekani kusimika TPS-80, nayo Uhispania kusimika TPS-43 pale Romani, maskini Urusi analo

    Madude yanaendelea kumjongea Putin, alilianzisha wenzake wanamalizia, wamehakikisha amedhoofishwa na kataifa kadogo Ukraine, sasa hivi kiuchumi anaendelea kuangukia pua, halafu Warusi wenyewe wamemchoka na mavita yake yanayoendelea kuua watoto wao na kurudisha nchi nyuma, anafukuzia vijana...
  13. S

    Mambo muhimu ya kuwa nayo ili uendeshe kampuni yenye faida,tija na ufanisi hapa Tanzania

    Habari wana jukwaa hili. Naomba kujua ni mambo gani ambayo unapaswa kuyaeka sawa kwa wakati wa mwanzo kabisa wa kuanzisha biashara(Yenye mfumo wa kampuni), ili iweze kuleata tija, faida na uendelevu kwa miaka ijayo mbele. Hili nikimaanisha namna ya kuandaa hesabu zako kwa ajili ya kodi...
  14. Mipaka unayostahili kuwa nayo katika maisha

    Watu wengi wanajua neno mipaka linamaanisha nini, lakini hawajui ni nini. Mipaka ni njia ya kujitunza mwenyewe. Unapoelewa jinsi ya kuweka na kudumisha mipaka ifaayo, unaweza kuepuka hisia za kinyongo, kukatishwa tamaa, na hasira ambazo hujengeka wakati mipaka imeondolewa. Hizi ni aina 5 za...
  15. Ukiwa Maskini hata siku ya Kufa utakuwa nayo ni Shida tu kwa wengine

    Yaani unakuta mtu anakaribia kufa unamuuliza "sasa mzee unatuachaje?" Anasema "muishi kwa amani na upendo" Khaaaa... Amani na upendo hakuna mshiko? Mzee anakufa anawaachia Kauli tu. Maana ndiyo aliyo nayo hana mali.... Anaacha kauli na madeni.unakufa bado unawaachia shida. Si bora ungeishi...
  16. Sio sawa kwa wazazi wenye pesa kuwaficha watoto wao upande mgumu wa maisha

    Maisha magumu hayanaga hodi, ni vema mtu uwe walau una maandalizi yake maana lolote laweza tokea. Kuna malezi haya ya dezo huwa naona ni hatari kwa watoto, ikitokea mara paap mzazi kafukuzwa kazi, biashara imeyumba, katoweka, n.k na hana ndugu wa kuendelea kumlea mtoto wake maisha ya dezo, basi...
  17. Fikiria kesho unaamka jinsia tofauti na uliozaliwa nayo

    Yaani mwanaume umekuwa mwanamke na kinyume chake, utafanya nini? Mimi cha kwanza naenda kukojoa, halafu natafuta mbususu nione inafeel vipi. Hamna period wala kuzaa yayyy! Wewe je?
  18. Mwanaume kupiga bao nyingi kwa tendo moja nayo ni dhana potofu

    Hii ni dhana potofu na ni tatizo. Yaani mwanaume unaenda bao 3, 4 au 6 halafu mkeo ana bao 1 tu au hajapata kabisa, hilo ni tatizo rafiki zangu. Mwanaume mwenye nguvu (rijali) hasifiki kwa idadi ya bao anazopiga yeye, abadani, anasifika kwa muda anaotumia kutoka bao moja kwenda jingine, hiyo ni...
  19. P

    Tumekataa kupelekwa mchakamchaka, yafuatayo lazima tukutane nayo!

    Kulipwa mishahara baada ya miezi miwili kupita! Mgao mkali wa umeme! Maisha kuwa ghali! Bidhaa kupanda kiwango cha mtu kushindwa kumdu maisha! Miradi ya Serikali kusuasua na au kusimama kabisa Hasira za viongozi kuwa juu baada ya mambo kuwa magumu, hatataka kusemwa semwa! Na kadha wa...
  20. Kauli hii inaashiria madhara makubwa itakayokumbana nayo Urusi na dunia kwa ujumla endapo....

    Za jioni ndugu zangu, kwema. Ndugu wanajamii forum wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza clear kabisa hapo juu. Ni kwamba kuna mpango mahususi unapangwa wa kuiadabisha Russia (na kwa bahati mbaya sehem kubwa ya dunia ) kutokana na kiburi ilichonacho Russia dhidi ya mataifa makubwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…