Wakuu, sijaidharau, ila nimeshangazwa na bei yake. Nimeona mtandaoni pikipiki zinazouzwa Dar Es Salaam kwa bei ndogo sana. Zipo za kuanzia laki tano mpaka sh 1.8m. Zote ni used.
Sikuwahi kumiliki pikipiki. Lakini nilipoziona leo mtandaoni, kwa jinsi zilivyo bei "chee", nimepata wazo la kuinunua...