Na ni matumaini yetu tutaitumia Ziara hii pia kuweza Kutibu tatizo letu Kubwa la Kifua na Upumuaji ikizingatiwa kuwa akina Panjuani na Samjo wa Bombay Kiasili ni Wataalam mno wa Kutibu Changamoto hiyo tofauti na kule Marekani na Canada ambako tulikuwa tukienda sana.
Halafu awali tuliambiwa ni...
Kweli... Mungu hatupi vyote sisi watanzania.
Leo yametokea Mashambulizi ya Kivita huko Israel kutoka kwa Palestina.
Huku kuna Ukrain dhidi ya Mrashia.
Pale kuna Mapinduzi ya Serikali sehemu mbali mbali hapa Afrika
Kule Marekani watu wanamiliki silaha nje nje kama simu za Iphone.
Lakini...
Naomba wenye uzoefu nayo hii Biashara(Ya Kuuza Nguzo za Umeme za Miti) tushee ideas mbali mbali kuhusu uendeshaji wake na dondoo mbali mbali za hii biashara.
Na kama Mtu ambaye nimejiandaa kuwa Mtetezi wa Serikali pale Mvua za El Nino zikianza ni Mimi GEBTAMYCINE.
Tokea Mwezi wa Tano ( May ) au wa Sita ( June ) Serikali kupitia Media mbalimbali kila Siku imekuwa ikitoa Tahadhari kwa Wananchi ( hasa wa Mabondeni Kuhama ) ila nasikitika kusema kuwa...
Ukihitaji salamu subiri kwanza nifulie,tofauti na hapo utaambulia Chuya!.
Kuna Majitu ndiyo yanayofanya ndoa zionekane hazina maana kwasababu hayataki kubadilika.
Ndoa ina raha na ndoa ni tamu mnoooooo hasa ukioa au kuolewa na mtu!.
Ndoa itakuwa chungu na yenye karaha hasa ukiolewa au kuoa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika uchaguzi ule utabaki katika historia ya wengi sana,utabaki kama ukumbusho wa kilele cha mafanikio ambayo upinzani ulikuwa umefikia katika kuteka mioyo ya watu,ulikuwa ni wakati ambao upinzani ulikuwa hata ukitangaza asubuhi kuwa mchana kutakuwa na mkutano watu...
Kwa hili linaloendelea kuanzia last week linalohusu mgawo wa umeme ambao Maharage Chande anasema haupo bali kuna ratiba ya umeme ni dhahiri matarajio ya Rais Samia aliyoweka kwa Waziri Makamba, Bodi ya Wakurugenzi na MD wao YAMEFELI.
Rais kamtoa Makamba baada ya kumuidhinishia fedha kwa...
Nje ya magari na vifaa vya aina hiyo,
Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.
Viongozi wa nchi wanachama wa BRICS ambazo ni kundi la nchi zinazoibukia kiuchumi, wamemaliza mkutano wao kilele wa 15 wa kila mwaka uliofanyika huko Afrika Kusini. Katika mkutano wa safari hii ambao umeanza Agosti 22 na kuendelea hadi Agosti 24, umekuwa ukifuatiliwa zaidi na watu mbalimbali...
Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais
Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
Nimefuatilia sana tunapokutana na wakuu wa nchi, mambo ambayo daima mnayaomba kwao ni dhaifu sana, ambayo ni;
1) Tupunguzieni ushuru wa Tende
2) Tupeni vifaa vya kuona muandamo wa mwezi
Bilashaka wakuu wanastajabu lakini wanapiga kimya, watafanyaje sasa maana ndio akili zilipoishia kwenye kuta...
MHESHIMIWA KIKWETE SISI WATUMISHI WA MUNGU HATUWEZI KUTOFAUTISHA SIASA NA DINI KWA SABABU SIASA NI DINI NA DINI NI SIASA.
Na Mwandishi wetu Mzalendo Mtanganyika toka Ughaibuni.
20 August 2023. 16:30 pm
Watanganyika wenzangu someni andiko hili mtapata faida na maana kubwa acheni kuhadaiwa na...
Mechi ikiwa inaendelea Wao (Mashabiki wao) huwa Wanashangilia kwa Kugeuka nyuma ( kutuonyesha Makalio yao ) kisha Wanabong'oa, Wanaganda kidogo, Wanayatikisa na kuendelea Kushangilia.
Mashujaa FC hakika kwa Sisi Vijana wa Pwani (tuliozaliwa na Kukulia) Dar es Salaam tafadhali mkija Dar es...
Leo hii timu ya mpira wa miguu ya Hispania imeshinda kombe la dunia la wanawake mjini Sidney nchini Australia baada ya kuifunga timu ya Uingereza goli 1-0.
Goli la Hispania lilifungwa na Olga Carmona baada ya kupewa pasi maridhawa na Mariona Caldentey. Hispania wamecheza mchezo kabambe khasa wa...
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba
Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
Wakubwa zangu poleni na uchovu.
Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali.
Naishi maisha Magumu mno. hii ni
Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha yangu ya ugomvi usio isha na pia ndugu zangu hawamtaki.
Ikiwa kugombana kupo japo chanzo ni ujeuri...
Rais Yoweri Museveni ametoa kauli hiyo baada ya WB kutangaza kusitisha Ufadhili na Mikopo yote mipya iliyoombwa na Serikali kutokana na Nchi hiyo kupitisha Sheria inayozuia Mapenzi ya Jinsia moja.
Museveni amesema "Inasikitisha kuona Benki ya Dunia na wahusika wengine wanathubutu kutulazimisha...
Maneno mengi yamesemwa juu ya mkataba huu na wengine wameenda mpaka Mhakamani kupinga mkataba huu. Sisi tunaokaa huku kwa wananchi tumesikia mengi na sumu nyingi imemwagwa kwa wananchi kuhusu ubaya wa mkataba huu. Kama Serikali ikiamua kuendelea na mkataba huu yafuatayo yanaweza kujitokeza:-...
Sasa imekuwa KERO, KERO KERO jumbe za kitapeli mtandaoni zimekuwa nyinginyingi mno!
Hapa nadhani TCRA umefikia wakati watoke hadharani na kukubali kuwa muziki wa matapeli umewashinda.
Kama kupata line za simu lazima uwe na namba ya NIDA, iweje tabia hii ya kitapeli izidi kushika kasi? TCRA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.