Dawa ya moto ni moto, ili katiba mpya ipatikane basi ni mwendo wa makongamano uanze.
Kama lile la Mwanza liliwatetemesha na kukubali matokeo basi tujipange kama chama tuanzishe makongamano tena.
My take: Hakuna kubaki nyuma na kurudi nyuma. Mbele kwa mbele kudai katiba mpya.
Kuna mambo ambayo nakubaliana na hayati Magufuli khasa katika utekelezaji wa sera za CCM hususani dira ya maendeleo ya 2015-2025.
Hayati Magufuli alitaka kila mradi khasa ile miradi mikubwa ikamilike kabla ya 2020.
Moja ya miradi ambayo hata hivyo alitaka ikamilike mwaka huu ni ujenzi wa mji...
Kwenye bajeti ya Serikali juu 2021/22 sijaona fedha zilizotengwa na Serikali kukarabati shule za Msingi Tanzania.
Shule nyingi za Msingi Tanzania sasa zimekuwa magofu. Hapa Kilosa Mkoa wa Morogoro kuna shule ya msingi inaanguka.
Akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mataifa mbalimbali , wakiwemo na waandishi wa Habari wa Tanzania Kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Katibu Mkuu wa chama hicho Mh John Mnyika , alitangaza rasmi kwamba tarehe 5/8/2021 kuwa siku ya Watanzania wote...
Nimeanza kuona umuhimu wa watu kusoma na kuelimika. Angalia sisi ndani humu tulivyomakondoo mpaka vyombo vya nje cnn, aljazeera, sky news nk ndo wanatusaidia kudai haki na inaonekana wao neo wameguswa zaidi na uonevu na ni kama wanaandamana invisibly lakini sisi hakuna tunachojua hata...
TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI.
TAMKO LA KATAZO LA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA
Tarehe 22 Julai, 2021 - Dar es Salaam.
Ndugu Wananchi, kama tunavyofahamu Tanzania iko kwenye mapambano ya kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 ikiwa ni wimbi la 3 la mlipuko huu tangu uingie nchini Machi...
Taarifa ya sasa duniani na hasa baada ya ccm kurudia makosa yale yale ya miaka yote , ya kukubali kushindwa hoja na kuamua kulitumia Jeshi la polisi kudhibiti Chadema badala ya viongozi wake wa chama akiwemo Shaka Hamdu ambaye ni Katibu wa uenezi na itikadi , zinadokeza kwamba hii Operesheni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.