Leo wakati nafuatilia Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2023/2024 Waziri Abdallah Ulega amesema idadi ya Nguruwe "kitimoto" imeongezeka kwa mwaka 2022/2023 kutoka Nguruwe Milioni Tatu na Laki Nne(3.4M) hadi Nguruwe MilioniTatu na Laki Saba(3.7M)...
Mpaka lini sisi tutaendelea kuitwa masikini? Huu umasikini tunaoitwa nao kila leo, sababu yake ni ipi kama sio hii ya wakubwa kuiba mapesa yetu? Ni kweli kabisa sisi ni masikini au ni upumbavu wetu?
Umasikini upi tulionao sisi ili hali robo nzima ya bajeti yetu, inaishia mifukoni mwa...
Kwenye Mtandao wake wa Truth Social, Donald Trump kapost hii habari.
Wakati huoo huko Twitter, Elon Musk katoa neno.
Democrats hawana Tofauti na Msoga Gang kabisa.
Niende kwenye hoja!
Yamekuja maelekezo ya kusainisha waalimu mkataba ambao unamtaka kila mwalimu kufaulisha somo lake kwa asilimia 100. Hakuna mwanafunzi kufeli mtihani wa somo lake! Na kufeli kwao inaanzia B na sio F kama baraza la mitihani linavyo elekeza!
Je, Sikuhiz mwalimu ana sign...
Akizungumza na Vyombo vya Habari, Msemaji Mkuu wa Serikali amesema Tanzania ina hekta Milioni 44 za ardhi inayofaa kwa kilimo na kati yake ni hekta Milioni 10.8 ndizo zinalimwa na kuongeza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita kwa kutambua kuwa kilimo ndicho kinaajiri zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania...
Kwa ufupi sana
Nimesoma mikutano itaanza hivi karibuni.
Katika mikutano yenu mtaeleza ajenda mbalimbali ikiwemo katiba mpya na ugumu wa maisha. Hayo yote tunayajua. CCM wanajua vyote hivyo ila wamekaza mashavu. Kwa hiyo kusema tu haitoshi inatakiwa twende extra miles.
Hamasisheni maandamano...
Kiongozi mkubwa wa CCM amewataka wananchi wapuuze uzushi unaonea mitandaoni kuwa mchele umefikia 3500 kwa kilo sababu yeye mwenyewe ametembelea masoko yote makubwa nchini na hajakutana na bei hiyo tajwa.
Ameenda mbali zaidi na kudai Kuna kona kadhaa za nchi mchele upo hadi sh 1000 kwa kilo...
Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.
Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa.
Jamani, hivi huyu mtu angekuwa...
Hello,
Story kwa ufupi, duniani hakuna mjanja aloshindikana, kila penye nyumba na nyufa ipo. Katika hali iliozoeleka inaonekana kutoka na mke au mume wa mtu ni ushujaa sana mithili ya kubeba kombe la Dunia.
Kwa taarifa yenu hao mnaowaibia wake au waume zao ndio wanaotoka na watoto zenu, dada...
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema limeandaa mpango maalumu wa kuanza kusambaza nishati ya gesi asilia kupitia mabomba makubwa kwa lengo la kuwafikia wateja wengi katika mikoa mbalimbali nchini.
Mtaalamu wa idara ya mafuta na gesi kutoka TPDC, Mhandisi Eva Swilla amesema...
Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya.
Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni moja tu ya Sengerema kwenda Katoro.
Geita kuna laana
Pia inadaiwa GGM walitaka kujenga uwanja wa...
Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!
Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.
Una Ziwa Tanganyika.
Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.
Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?
Tutakukumbuka hayati.
Tangu mwaka 1964 mpaka leo sare ni nyeupe na bluu! Ni nini hiki kisichobadilika? Kwanini kila shule isiwe na sare zake kulingana na jiografia ya eneo husika?
Habari za kazi ndugu wadau. Napenda kuuliza hivi Katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu wajumbe wa nyumba kumi au mabalozi.
Maana wanateuliwa na CCM kuongoza wananchii. Balozi CCM, Mwenyekiti CCM, diwani CCM, mbunge CCM mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, wote CCM, mtendaji kata CCM, Katibu tarafa CCM...
Tamko la makamu wa Rais kwamba samaki, na pengine nyama zinazouzwa zinaleta kansa, kwa kweli linaleta ukakasi.
Mamlaka ya chakula, tunahitaji ukaguzi wa kina nchi nzima, na taarifa za Kila siku au mwezi au wiki zitolewe
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, ameagiza matibabu ya malaria kutolewa bure kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya serikali.Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa wananchi wanaofika kufanya vipimo vya malaria na kifua kikuu.
Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa...
Utashangaa kiukweli hii inaonyesha ni Kwa namna gani serikali inawasikiliza watu wake hasa katika kuhakikisha inawapunguzia makali wakulima kutokana na hali ya kupanda kwa bei za mbolea katika soko la dunia si Tanzania pekee bali ni ulimwenguni kote. Zipo sababu kadhaa zilizosababisha bei...
Idara ya Trafiki Barabarani imetangaza kuanza ukaguzi wa kitaifa wa mabasi ya shule ili kuhakikisha shule zitakapofunguliwa, wanafunzi wasafiri salama kwenda na kurudi mashuleni.
Haya yanajiri siku chache baada ya ajali iliyoua wanafunzi 8 wa Shule ya Msingi King David na watu wazima huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.