Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.
Maandamano yatakayokuwa ya...
Nadhani ni muhimu sana kuendelea kukumbushana mara kwa mara na kwa kina juu ya nini hasa kinahojiwa kuhusiana na kuuzwa kwa Tanganyika kwa ujumla wake.
Japo ukisema Tanganyika imeuzwa wanakwambia lete ushahidi kwamba nchi imeuzwa, sasa tujiulize, lengo la kutaka kubadili sheria ya kulinda...
Kiongozi cha Chama Kikuu cha Upinzani cha Citizens Coalition for Change (CCC), kimetangaza kuchuka hatua hiyo kwa maelezo kuwa Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yaliyompa Ushindi Rais Emmerson Mnangagwa ni Batili.
Maandamano hayo yatafanyika katika Majimbo 10 huku CCC ikiwaomba Wanaharakati kusambaza...
Mmoja wa washiriki kwenye Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari 2020 amerusha swali kwa wawasilishaji Mike Mushi na Ayoub Rioba pamoja na meza ya Mgeni Rasmi Waziri Nape Nnauye kwanini serikali haijatoa ufafanuzi juu ya kupotea kwa internet kipindi cha uchaguzi mwaka 2020 kama serikali hivi...
Nimeona taarifa ya Tanesco kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo chake cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo na kusababisha upungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kwenye mfumo, hivyo baadhi ya maeneo kwenye mikoa yanakosa umeme nyakati tofauti.
Nimempigia...
Huwa najaribu kujiuliza, hawa wenzetu wameumbwaje? Sijawahi kupata jibu. Akili zao zinafanya kazi vipi, huwezi kuelewa.
Mkataba wa DP WORLD ni mbovu, na unatunyonga sisi wenyewe. Tunapiga kelele vifungu vibovu virekebishwe, lakini CCM wamekuwa wakitumia kodi zetu kuzunguka nchi nzima wakisema...
Chanzo cha habari kilichiripoti tukio hilo sikuu hii ya leo kabisa tena siku tukufu ni gazeti la mwananchi, watu wamesikiliza kwa makini waraka huo na kuelewa nini kinaendelea nchini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.
Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo...
Jeshi la Polisi Tanzania, limetoa onyo kali watu wanaotangaza mpango wa kuiangusha serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia akibainisha kuwa huu ni uhaini na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Akitoa taarifa hiyo, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura...
Watoto wanahangaika kuomba vyuo vya kati ambavyo viko chini ya NACTEVET. Hawapokei simu na kuna mambo muhimu yanayohitaji ufafanuzi. Unapiga simu zote hazipokelewi nchi nzima.
Rutayugwa unafanya nini hapo ofisini? Uzembe of the highest degree exemplified by this!
Tumebaini kuwepo kwa taarifa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii ikidai kuwa waagizaji na wasambazaji wa mafuta wamekaa kwenye kikao na EWURA na kuishia kwenye mtafaruku na kutokukubaliana.
Kwa niaba ya Wanachama wetu wa Chama cha Waagizaji na Wasambazaji wa Mafuta Tanzania (TAOMAC) ambao...
MAAZIMIO YA KAMATI KUU JUU YA MKATABA WA BANDARI.
1) Kamati Kuu inalitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuta azimio lake la kuridhia mkataba wa uendeshaji wa Bandari nchini kwa sababu mkataba huo hauna maslahi yoyote kwa nchi yetu.
2) Kamati Kuu inaitaka Serikali kuwachukulia hatua...
Benki ya KCB imetoa fursa ya mafunzo kwa vitendo na ujasiriamali kwa kushirikiana na vyuo vya kati (VETA na SIDO)
Course za miezi mitatu zitakazofundishwa ni
Tembelea website ya KCB kujisajili ONLINE na kusoma vigezo na masharti
Mwisho ni tarehe 26 July.
Kutokana na mwenendo wa shule hizi (msingi/sekondari) kwa miaka hii ya Sasa kutokufunga kabisa hasa kwa madarasa ya mitihani nashauri yafuatayo:
1. Badala ya kukaa na watoto kwa kipindi cha mwaka mzima bila likizo ya kurudi makwao basi wawape watoto kazi za nyumban kipindi cha likizo (home...
Mtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.
Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida.
Pia, amewataka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari, Plasduce...
Kuanzia Bashe amekuwa Waziri wa Kilimo msimamo wake ilikuwa ni kutofunga mipaka ili wakulima wapate bei nzuri ya mazao yao. Humu JF kuliandikwa nyuzi nyingi za kulaani kutofunga mipaka na kutabiri njaa kutokea Tanzania.
Kati ya Machi na Mei mikoa mingi sana wamevuna na bei zimeshuka chini. Na...
WAZIRI MKUU MAJALIWA ATOA MAAGIZO KWA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WOTE NCHINI, AMPONGEZA MKUU WA WILAYA MSTAAFU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametoa Maagizo Kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi Wote nchini kwenye Halmashauri zao Kusimamia Kutokuwepo kwa Michango Holela inayo kera Wananchi na...
Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo Mei 12, 2023 Bungeni Dodoma kwenda kwa Waganga wa Wilaya na Mikoa Nchini kote akiwataka kusimamia utoaji wa Dawa hizo kwa Watoto wenye chini ya miaka 5.
Waziri Ummy amesema Dawa hizo zikiwemo Kidonge Myeyuko cha 'Amoxicillin', Zinc na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.