Tanzania ni maoja ya nchi zilizoalikwa kushiriki kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa G20.
Mkutano huo unafanyika Brazil ambapo pamoja na mambo mengine utajadili masuala ya climate change, democracy, nk.
Huu ni mkutano muhimu kwa nchi kama Tanzania ambazo zimejaliwa kuwa na...
Kenya kila kikao cha mawazili kikiisha huwa inatolewa taarifa kwa umma kile walicho azimia hii ni ili Raia wajue nini kinazungumzwa na kupitishwa
Hio ni Jana, na hio ni Taarifa tena Breaking News kabisa.
Tanzanua vikao vya mawaziri ni siri nzito mno, waoiga Kura hawapaswi kujua hizo siri...
Mtaani kuna polojo nyingi hasa mashabiki wa mpira. Wanadai Brazil ni nchi maskini.
Wanadai Brazil wanategemea mpira. Wanadai wa Brazil wana njaa.
Jamani Brazil ni nchi tajili. GDP yake ni zaidi ya 2 trillion USD. Ni ya Saba kwa uchumi Mkubwa duniani.
Uchumi wa Brazil ni 70% ya uchumi wa...
JF simameni katikati, hapa hajatajwa mtu..
Nikirudi kwenye mada, Kama kuna mtu wa ngazi yoyote anatoa maagizo wagombea wa upinzani wanyanyaswe kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa, ombi langu kwa Mungu ni amchukute huyo mtu ili nchi yetu iendelee kuwa salama.
Na kama ni mfumo, Mungu...
Kifo cha Mafuru kimeibua mambo mengi kwa kweli kwenye eneo la uchumi.
Huyu Mzee alifanya yake kwenye kipindi cha changamoto wa upatikanaji wa dola. Pumzika kwa amani
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza namna, Lawrence Mafuru, alivyoinusuru nchi na changamoto ya uhaba wa Dola ya Marekani hatua...
Uongozi wa chama hiki ambacho wengi wanadai wanakiamini kila mtu mbabe, hapo ndio watanzania wajue aina ya watu wanaotaka kupewa uongozi wa nchi, Tundu Lissu ni makamu wa mwenyekiti chadema, ukisema hakukuwa na makubaliano ya nusu mkate wakati Lissu kiuongozi anafuata baada ya Mbowe utakuwa ni...
Kuna vyama vya kuvipa Madaraka Ila siyo CHADEMA
1. Hii ilifaa aandike katibu, kuna hoja pia kua mmesusia chama mmemwachia Mrema.
2. Siku zote mnatuadress kwa press conference kwann hili hamjalifanyia press.
3. Ufafanuzi huu umetolewa kwa mujibu wa kikao kipi cha kamati kuu?
Kwani...
Tumeteseka sana miaka mitano iliyopita mtaani kulikuwa kugumu sana kiasi ambacho pona pona yetu ikawa ni kusaka ajira ambazo zilikuwa hazipo both private and public sectors.
Watu kila siku walikuwa wanafunga biashara zao na automatically wafanyakazi wanaondolewa wote. Mfano uchumi super...
Sasa hivi hali nchi siyo salama, ni vizuri tukaelimishana mbinu za kujikinga na kujinusuru dhidi ya watekaji .
Ndugu zangu hawa watekaji ni wauaji, ni makatili na inaonekana serikali ya Tanzania siyo ya kuaminika katika suala hili, Kiufupi imeshindwa kusimamia usalama wa raia. Wananchi wamepiga...
Wakuu
Ipo siku sisi kama watanzania tutaruhusu nchi yetu iingie katika kipindi kigumu zaidi Cha kiutawala ambapo tutajikuta tumeruhusu kutawaliwa na mtu asie mtanzania halisi bila sisi kujijua kwa sababu tunaonekana hatuna uzalendo kabisa.
Imefikia wakati watu Wanapenda vyama kuliko kuipenda...
Inaweza kubadilisha mustakabali wa utengenezaji wa bidhaa nchini Marekani. Kufuatia uchaguzi uliomalizika, bilionea Elon Musk amekuwa akionya kuwa uchumi wa Marekani unaelekea kufilisika na kumtaka Rais Donald Trump kuzingatia Bitcoin kama suluhu la deni linalozidi kuongezeka nchini humo...
Vita si jambo la kushabikia sana, lakini nchi kama Urusi, Iran, Korea Kaskazini, na China zinaonekana kushabikia vita. Wanafikiri pengine ni wao pekee wenye nguvu kubwa za kijeshi na silaha za maangamizi, wakipeana sifa kiasi hicho.
Mara nyingi utasikia, "Korea itamshambulia Marekani," na...
Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea...
Je tunajifunza nini hapa ktk serikali zetu kuajili matajiri ?
Ikumbukwe matajiri wa nchi zetu wengi huwa ni indirect involves in political funding japo kuna means of blackmailing n.k na kuna mafungu wanatoa, mana kwa nchi kama zetu raia wa sisemu akiona Mo anasupport CHADEMA kesho humkuti...
Zoezi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa linaendelea na sasa hivi liko hatua ya uwasilishaji wa pingamizi, nimeona malalamiko mengi sana kutoka kwa vyama vyote vya siasa nchini ikiwemo Chama cha Mapinduzi.CCM imelalamika kule Arusha kuwa majina ya wagombea wao 9 yamekatwa, Chadema wamelalamika...
Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k.
Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi
Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni
matumizi...
Haiti ndo nchi iliyopata uhuru kimafia kuliko nchi yeyote duniani na mara nyingi huwezi sikia watu au hata mashuleni ikifundishwa
Haiti ilikua inajulikana kama saint-Domingue (sandoming inavyotamkwa kifaransa) lilikua ni koloni la ufaransa ambalo ililichukua kutoka kwa wakoloni wahispania...
Hili Taifa litaangamizwa na unafiki na uchawa.Samia anasifiwa kwa kupigania nishati safi na salama ya kupikia, ipi hio na wapi? Mbona kasi ya mikaa na kuni iko juu sana?
Nani asie jua matumizi ya Mkaa bado yako juu sana? Nani asie jua hata huko Serikalini kwenyewe taasis zake wanatumia mkaa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.