nchi

  1. Madwari Madwari

    Syria miaka ya 1970s kabla wapuuzi hawajachukua nchi

    Syria miaka ya 1970s kabla wapuuzi hawajachukua nchi. 👇 👇 👇 👇
  2. Stephano Mgendanyi

    Nchi 9 Zashiriki Tamasha la 43 la Bagamoyo

    NCHI 9 ZASHIRIKI TAMASHA LA 43 LA BAGAMOYO WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa Tamasha la 43 la Sanaa na Utamaduni la Bagamoyo limeshirikisha Nchi 9 Duniani pia limetoa fursa za ajira na biashara kwa wananchi wa Bagamoyo na washiriki wa Tamasha hilo...
  3. matunduizi

    kwanini nchi zenye ukaribu na US/wazungu zinafanikiwa kiuchumi kuliko zile neutral au zenye ukaribu na Russia/China au Warabu

    Mfano Korea Kusini Taiwan Kwa East Africa Kenya. Israel middle east Rwanda (japo bado anaungaunga) Kimsingi nimejaribu kuangalia kwa ukaribu hata nchi yetu tukiamua kuqnzia sasa tufungamane bega kwa bega na wazungu tu na US, tukawapiga chini waarabu, wachina, warusi tunaweza kutoboa kirahisi...
  4. Mr Why

    Nchi ya Tanzania itafanikiwa endapo 90% ya Wananchi watakuwa wamepata elimu na kujifunza nidhamu ya kufuata sheria

    Ndugu zangu Watanzania napenda kuwaeleza kuwa matatizo ya Tanzania yanasababishwa na ukosefu wa elimu (ujinga) na sio umasikini. Utajiri unapatikana hata kwa kuuza mboga endapo nidhamu ya pesa itazingatiwa Wananchi wanapokosa elimu matokeo yake ujinga unatawala katika fikra zao na mwisho wake...
  5. K

    Propaganda za CHADEMA na mkakati wa kuchafua taswira ya nchi

    Mnamo tarehe 19 Novemba 2015, katibu mkuu mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na aliyekuwa mgombea urais, Dk. Willibrod Slaa, alitoa kauli kwamba “Chadema wanatekana,” akifichua siri nyingi kuhusu chama hicho. Kauli ya Dk. Slaa inahusiana moja kwa moja na madai ya kutekwa kwa...
  6. Bams

    Kwenye Haki za Wananchi, Awamu Hii, Nchi Ipo Kwenye Hali Mbaya Kuliko Awamu Yoyote

    Nchi yetu inapitia kipindi kigumu ambacho hakijawahi kuwepo tangu Taifa liwepo. Japo kumewahi kuwepo malalamiko mbalimbali kuhusu usalama na haki za watu, lakini hali haijawahi kuwa mbaya kama ya awamu hii. Kwenye awamu zilizopita, mathalani wakati wa utawala wa Kikwete, Dr Ulimboka alitekwa...
  7. I

    Wanajeshi wa Korea Kaskazini wako nchini Russia kuisaidia nchi hiyo kwenye vita vyake na Ukraine

    Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi ya Jamhuri ya Korea imetoa picha za satelaiti zinazodaiwa kuwaonyesha wanajeshi wa DPRK katika uwanja wa mazoezi wa Sergeevka huko Primorsky Krai, karibu na Vladivostok, na katika kituo cha kijeshi huko Khabarovsk. Inadaiwa kuwa vikosi vya ziada vya DPRK vimewekwa...
  8. ADOLPH EMMANUEL

    Tunahitaji kubadilisha mindset za Watanzania ili kuifikia nchi ya ahadi.

    Watanzania wengi (Waafrika) mindset zetu kuna namna bado haziko huru yaani bado zinatawaliwa na watu wachache hasa mataifa yaliyoendelea. Inawezekana nitakuwa natumia lugha ngumu kama nikisema tuna colonised mind. Ndio ni maneno makali lakini huo ndio ukweli. Kuna mambo tunashindwa kuyafanya na...
  9. Moto wa volcano

    Wa Tanzania tuna katiba Bora kuliko ya wa kenya

    Sheria za wakenya ni za kijinga . Hivi kumuondoa makamu wa Rais mpaka kuchoma resources za nchi , Bunge lipoteze muda kwa midahalo isiyo na faida . Tanzania Rais wetu ana mamlaka kamili anacheza na karamu tu kufanya maamuzi. Katiba yetu idumu
  10. Logikos

    To my African Comrades (Kama hatuwezi kusimamia lolote, tunaweza kusimamia Nchi)

    Preamble: Binafsi naamini Free market na Competition ndio inaleta Huduma Bora na Bei rahisi kutokana na kwamba watu wanashindana kugombania wateja. Ingawa kuna mambo ya Huduma naamini kabisa Serikali / State ni muhimu kujikita kinagaubaga.., Mengine yote luxurious hatuna haja ya kuweka Kodi zetu...
  11. kavulata

    Tanzania ni nchi 2 zinazoshindwa kutoa wachezaji 11 bora AFCON

    Tanganyika na Zanzibar tunashindwa nini kuunda timu Moja imara ya kushinda makombe Africa na duniani. Shida ni vipaji hakuna, makocha hakuna, mashabiki haukuna na uongozi wa nchi? tumerogwa?
  12. Yoda

    Ali Kamwe acha kubwatuka nonsense, nchi ina mambo mengi ya kufanya zaidi ya mpira

    Nimemsikia huyu kijana anayeitwa Ali Kamwe mfanyakazi wa Yanga anazisihi taasisi, kampuni na mashirika mbalimbali katika nchi ziruhusu wafanyakazi wao kutoka kazini mapema Jummane wakaishangilie timu ya Taifa. Huu ni wendawazimu, nchi hii ina mambo mengine muhimu zaidi ya mpira, yaani Jumanne...
  13. U

    Mstaafu Dkt. Kikwete: Amani na Utulivu nchini kwetu ni matokeo ya msingi imara uliowekwa Hayati Mwalimu Nyerere

    RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema amani na utulivu ambayo nchi nyingi duniani na bara hili wanayaona nchini ni matokeo ya msingi imara ambao umejengwa chini ya uongozi wa Baba Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na kuongeza kuwa ni jukumu la kila Mtanzania kulinda...
  14. GENTAMYCINE

    Je, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere angependa tuwe na Tamasha na Land Rover Arusha au tupambane zaidi na Maadui wakuu wa nchi aliowataja?

    Halafu wenye Akili Kubwa tukisema kuwa Tanzania ya sasa huenda ikawa na Viongozi Wehu zaidi mnaanza Kuchukia.
  15. U

    Iran: Takribani lita milioni 20 hadi 50 za mafuta huuzwa kimagendo nje ya nchi kwa siku, vigogo Serikalini na Jeshi wahusishwa

    Nchini Iran takribani lita milioni 20 hadi 50 za mafuta huuzwa kimagendo nje ya nchi kwa siku, vigogo Serikalini na Jeshi wahusishwa Wadau hamjamboni nyote? Huu ni utafiti kuhusu biashara ya magendo ya mafuta nchini Iran na uhusika wa Viongozi waandamizi kisiasa na kijeshi kufanikisha biashara...
  16. Roving Journalist

    Waziri Silaa: Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi nyingine kukuza Uchumi wa Kidijitali

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi nyingine duniani katika kukuza uchumi wa kidijitali kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa katika sekta ya TEHAMA. Waziri Silaa aliyasema hayo wakati akifungua kikao...
  17. D

    Hii nchi imegawanywa kuanzia kipindi cha Magu, Samia anaendeleza dhambi hiyo kuhusu ujenzi wa miundo mbinu

    Ndugu zangu watanzania wenzangu nchi hii si moja, hakuna usawa ktk ujenzi wa miundo mbinu. Mwezi wa 8 nilisafiri kutokea Arusha kwenda Dodoma kupitia Kiteto. Kiteto ni wilaya ndani ya mkoa wa Manyara. Ukitokea Arusha unapitia mji wa Orkesumet ambao ni makao makuu ya wilaya ya Simanjiro. Hilo...
  18. I

    Ni Nchi Tano tu zinatengeneza nusu ya Pato la Taifa la Afrika

    Pato la Taifa la Afrika linafikia dola trilioni 2.8 mwaka 2024, pato la kiuchumi la watu bilioni 1.4. Lakini sio tija yote hiyo inasambazwa kwa usawa. Ramani hii inaangazia nchi tano ambazo pato lao la kiuchumi kwa pamoja ni sawa na lile la bara zima. Data imetolewa kutoka Shirika la Fedha la...
  19. S

    Tanzania, nchi ya watu wastaarabu

    Kwanza nianze kwa kumushukru Mungu muumba mbingu na nchi na Yesu kristo mwokozi wetu. Naomba kutoa wito kwa viongozi wote wa selikari ya Tanzania kuongoza nchi hii kistarabu kwa sababu Tanzania ni nchi ya watu wastarabu. Watanzania siyo wajinga Wa Tanzania ni wastarabu. Wa Tanzania wamejaa...
  20. S

    Tuilinde nchi Yetu Tanzania

    Tanzania ndio nchi pekee ambayo ni mama Yetu. Hivyo ni lazima tuilinde tuipende na kunilinda. Tanzania ndiyo nchi pekee katika Bara la Africa ambayo imejariwa Amani upendo na mushikamano. Tuilinde tuipende Tanzania
Back
Top Bottom