nchi

  1. THE FIRST BORN

    NBC, Hio Man of the Match Kwa Camara imetolewa Kwa kigezo Gani?

    Good morning. Naona mnaanza kutengeneza attention ya kushindanisha kati ya Diarra na Camara ila ki uhalisia Jana Camara hakustahili kua Man of the Match. Hivi unampa Man of the Match mtu kapigiwa Shoot Moja la kulenga goli!!! NBC hamfai kabisa...angefanya save hata 10 sasa si mngempa golikipa...
  2. E

    CHADEMA mnapendekeza adhabu gani kwa mtu ambae ni msaliti wa Nchi ?

    Hakuna Nchi ambayo hakuna wasaliti na Tunaishi nao na kila nchi ina namna ya kudeal nayo . CDM mnapendekeza adhabu ? Maana nyie ndio watu ambao huwa hamfikirishi ubongo ni kulaumu tu
  3. Bulelaa

    Msimamo wangu kwa wasaliti wa nchi na mafisadi, dawa ni lisasi tu, hakuna cha Bwana Yesu asifiwe au mswalie mtume, hii iwe kikatiba

    Unaposaliti nchi yako, madhumuni yako ni mabaya sana moyoni mwako Maana yake upo tayari hata Rais wa nchi atekwe kwa sababu ya tamaa yako? Mtu wa namna hii, ni kivipi aiishi? 2025, kataa ccm, okoa uhai wa rasilimali za nchi na watu wake.
  4. comte

    Nchi inapaswa kujua Lissu alikuwa anawasiliana na nani na maudhui ya mawasiliano yalikuwa yapi

    Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo. Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo...
  5. Eli Cohen

    Inakuwaje France ina akiba ya dhahabu tani 2436 bila kuwa na mgodi wakati nchi kama Senegal haina akiba angali kuwa na migodi 860.

    Najua wengi wenu mtakuja na majibu ya wazungu ni wezi mara mabeberu wanaonea Waafrika. Ila mnasahau adui na mwizi wenu namba moja ni yule aliyeko pembeni yako na licha ya kukuibia bado anakutoza kodi ya kidogo kilichobakia. Hata kama wazungu ni wezi wa rasilimali zetu unafikiri ni nani ana...
  6. Abdul Said Naumanga

    CV za Mawaziri wa Afya kutoka nchi baadhi za Afrika

    Habari gani wana jamvi, leo nimekaa nikawa napitia baraza la mawaziri pamoja na sifa za wateule hao katika sekta mbalimbali kisha nikakutana na document moja hivi ikizungumzia mawaziri wa Afya nchi mbalimbali Africa. Nilipomaliza kuisoma hiyo document kwanza nikajiuliza, ni nani aliyeandaa doc...
  7. Felix Mwakyembe

    Climate finance; kitanzi cha nchi masikini katika sura ya ufadhili

    AHADI za fedha kutoka mataifa tajiri kwenda mataifa masikini kwa ajili ya kuhimili na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ni tamu, lakini kiuhalisia ni mtego wa madeni. Uchambuzi wa kina unabainisha kuwa fedha hizo zinaelekezwa kusikostahili, ambapo nyingi huenda kuchangia...
  8. J

    Pre GE2025 Jokate Mwegelo: Vijana tusitumike kama mgongo kwa wengine kwa maslahi yao kuelekea uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa Joketi Mwegelo amewataka vijana wa kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chaguzi zijazo. Akizungumza kwenye ziara ya siku moja akiwa Mkoani Iringa Katibu huyo mbele ya vijana amewataka...
  9. F

    Ni hatari kuacha watu wengi kufuatilia Siasa na Uongozi wa Nchi! Wazindike kwa burudani kama Mipira n.k

    Kenya Kila mtu ni mwanasiasa, anajua Katiba na anaweza kuchambua Financial Bills na kumpinga Rais na Serikali yake muda wowote tena kwa hoja thabiti. Nenda Jacaranda kwenye Bunge la Mtaani la akina Nuru Okanga uone hoja zao.Bunge la Tulia Ackson linasubiri! Kenya kwenye burudani kama mpira na...
  10. KING MIDAS

    Je una safari ya kwenda nje ya nchi? VISA INTERVIEW QUESTIONS:-

    VISA INTERVIEW QUESTIONS 1. What is the purpose of your visit?: Be prepared to explain the reason for your trip, whether it's for tourism, business, education, or visiting family and friends. 2. Have you visited this country before?: Provide details about any previous visits, including the...
  11. Allen Kilewella

    Waarabu huwa wanaandamana watu nchi nyingine wakionewa?

    Wakati gani waarabu walishawahi kuandamana kupinga wananchi wa nchi nyingine wasionewe? Wenye kujua nijuzeni.
  12. sinza pazuri

    Diamond Platnumz kuisimamisha nchi kuachia wimbo wa kimataifa tarehe 23 September 2024

    Msanii namba moja Africa na mfanyabishara millionea Diamond Platnumz siku ya jumatatu 23 September 2024 ataachia wimbo mkali sana level za kimataifa. Kwa sasa watanzania wote macho na masikio wameelekeza kwenye ujio huu wa diamond unaokuja kikubwa. Je ni wimbo upi ataachia holiday au upi...
  13. matunduizi

    Nini chanzo cha wazazi wa kiafrika kuwaandaa watoto ili waje wawasaidie?

    Mpja kwa moja kwenye mada Wazazi wengi wanakomaa kulipa ada kubwa na kujitoa muhanga kiuchumi ili watoto wao wasimame. Kusudi lililojificha nyuma ni ili mtoto wao akifanikiwa awasaidie kimaisha. Wazazi wanavizia mahari za watoto wao wa kike. Wanapambana watoto wa kike waolewe na wenye uwezo ili...
  14. God Fearing Person

    Naomba ushauri sisi watu wenye Akili nyingi nchi gani inatufaa kuishi na kufanikiwa ?

    Nauliza , kuna nchi gani inatufaa sisi great thinkers kuishi na kufanikiwa?
  15. chiembe

    Kwa sasa nchi nzima iko chini ya udhibiti wa dola, iwe baa ya nyota tano au kilabu cha komoni na chibuku, kijiwe cha boda,.gesti, wako kila kona

    Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali. Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu...
  16. Chakaza

    Kuwalinda Waziri Masauni na IGP Wambura Kunavyo Weza Chafua Nchi.

    Msingi wa mvutano wa serikali (ya CCM) na Wananchi kuhusu maandamano yao ya kuonyesha masikitiko kuhusu Utekaji, kupotea na mauaji na polisi kuhisiwa kuhusika ni kutaka wahusika wakuu wawajibishwe. Yaani Waziri yule Mzanzibari Masauni na mkuu wa Polisi IGP Wambura. Katika uwajibikaji, hata wao...
  17. T

    Ujinga wetu ni wa Kiutamaduni na Kimfumo. Mfumo wa nchi una wajibu wa kutengeneza uelekeo wa fikra za watu wake

    Mfumo wa Jimbo una jukumu la kuunda mwelekeo wa fikra wa watu wake Kwanza nakubaliana na mtoa hoja wa Jamii forum kwamba "uzezeta wetu, ujinga wetu, umbumbumbu wetu ni wa Kiutamaduni, ila ningependa niongezee kwamba ni systematic pia, sio by chance!!!!" Kwa nini nasema ni wajibu wa system ya...
  18. Lord denning

    Huu ndo Ushahidi wa Nchi za Magharibi zinavyotusaidia. Anayewatukana na kuwasimanga muonee huruma sana!

    Kwa kifupi Nchi za Magharibi zinatusaidia kuanzia miradi ya Afya ikiwemo kupambana na magonjwa kama Ukimwi, Kifua kikuu, utapia mlo na mingine mingi. Zinatusaidia Kuokoa uhai wa Mama wajawazito na watoto kwa kutoa fedha nyingi sana tunazotumia kuboresha hospitali zetu! Nchi hizi zinatusaidia...
  19. Gemini AI

    Mbowe: Kuna utamaduni wa kudhani Utashi wa Kiongozi Mkuu wa Nchi ndio Dira ya Taifa badala ya Katiba

    Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema ili Demokrasia ionekane kuwa na maana inapaswa kutambua Haki na hilo linawezekana kukiwa na Utashi wa Kisiasa ambao hasa unatakiwa kutoka kwa waliopewa dhamana ya kuliongoza Taifa. Akizungumza katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania...
  20. F

    Rais Samia angekuwa mkali kwa wazembe, wezi na mafisadi nchi yetu ingefika mbali sana kimaendeleo

    Watu wanasema kama rais Samia anaweza kuonesha ukali kwa viongozi wa vyama vya upinzani na watu wenye mawazo kinzani na yeye kumbe anaweza kuwa mkali kwa wazembe na mafisadi waliopo nchini ambao ndio kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya nchi hii. Nchi yetu hupoteza matrilioni kutokana na uzembe wa...
Back
Top Bottom