nchi

  1. Pa-Paa

    Ukitaka kujua hii nchi ina wajinga wengi tembelea @bambalivetz

    Umasikini na Maradhi angalau japo hali hairidhishi ila Ujinga bado sanaaaaa, sijui huu ufaulu unaopanda kila siku unapanda vilele vya ubwege au lah.. Si mara zote wanaiba kura ila hii nchi ina % kubwa ya wananchi wajinga haswa na huu ndo mtaji wa Sisiemu. Alooh hii ni mi5 tena kama asemavyo...
  2. robbyr

    Kuna watu wanaleta utamaduni wa ovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia

    Kuna dharau ila hii inavuka mpaka!! Kuna watu wanaleta utamaduni wa hovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia ya midomo. Hata waliotuaminisha hayo kwenye nchi zao sijawahi kuona kiongozi anatukanwa kiasi hiki. Marekani hii kitu haipo( wanakosoa kwa staha si matusi...
  3. Ritz

    Ufaransa: Macron azitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel

    Wanaukumbi. BREAKING🚨 Emmanuel Macron amezitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel ili zitumike Gaza. "Nadhani leo, kipaumbele ni kwamba turudi kwenye suluhisho la kisiasa, kwamba tuache kupeleka silaha kupigana huko Gaza"…🇫🇷🇵🇸...
  4. H

    Ni ajabu kwa Watanzania kuchambua na kufuatilia mgogoro wa Israel na Palestina badala ya nchi yao

    Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao. Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako yakakushinda ni ushabiki wa kijinga. Chambueni yenu kwaajili ya maendeleo ya nchi yenu.
  5. The Palm Beach

    Tujadili kesi ya Tundu VS TIGO: Nani analipa gharama za uwakili kwa kampuni hizi za kimataifa zinazosimamia kesi yake huko nje nchi..?

    Kwanza sikiliza hii: Tundu Lissu anasema katika voice note hii; "...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...." ".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna kazi kubwa ya kati ya sasa na kufungua kesi....." "......Kilicho muhimu ni kwamba, nimeshatoa...
  6. The Palm Beach

    Tujadili kesi ya Tundu VS TIGO: Nani analipa gharama za uwakili kwa kampuni hizi za kimataifa zinazosimamia kesi yake huko nje nchi..?

    Kwanza sikiliza hii: Tundu Lissu anasema katika voice note hii; "...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...." ".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna kazi kubwa ya kati ya sasa na kufungua kesi....." "......Kilicho muhimu ni kwamba, nimeshatoa...
  7. Yoda

    Nchi na aina ya comedy (ucheshi) pendwa zaidi.

    USA- Siasa, lifestyle, dini, race Uingereza-Siasa, lifestyle Kenya-Siasa, lifestyle, makabila Nigeria- Mapenzi/Nyash Uganda-Chakula, mapenzi Tanzania- Mpira, Mapenzi, makabila India- lifestyle Mexico-lifestyle South Africa- Siasa, lifestyle
  8. E

    Israel anajivunia akili na technologies anazouzia nchi nyingine. Ni ajabu kusema Israel haina nguvu bila Marekani

    Wayahudu ndio brain kubwa zinazofanya mambo makubwa huko US , Russia, Ukraine,Iran na nchi nyingine Hivyo sioni ajabu kwa US kumpa silaha Israel ,na ni lazima Israel ilindwe kwa manufaa ya wengi
  9. Sodoku

    Prince wa Saudi Arabia Salman: Mambo ya Palestine hayanihusu. Najihusisha zaidi ya Nchi yangu

    Prince wa Salman wa Saudi Arabia amesema kuwa hataki kujihusisha na mgogoro wa Palestine. Ana nchi yake na anapaswa aangalie mambo yanayohusu nchi yake. ========== Saudi Arabia's Crown Prince Mohammed bin Salman told US Secretary of State Antony Blinken that he does not personally care about...
  10. I

    Tanzania ikitaka kuwa salama ijiepushe kushirikiana na nchi za Mashariki ya Kati

    Ukiondoa magaidi ya madawa ya kulevya yaliyopo nchi za Caribbean na America ya Kati ambao wanaendesha biashara ya madawa ya kulevya, nchi hatari zaidi dunia kushirikiana nazo na hasa kwa nchi za Kiafrika ni za Mashariki ya Kati. Vita vyote vinavyopiganwa Afrika hivi sasa vina mkono wa UAE...
  11. Ricky Blair

    Nchi yako ya ndoto unayotamani kwenda ni ipi?

    Ni nchi gani kati ya hizi unazotamani sana kwenda kutembea au kuishi ungekuwa na uwezo?
  12. U

    News Alert: Benjamin Netanyahu awaahidi waIran kuwa nchi yao itakombolewa hivi karibuni!

    News alert Netanyau awaahidi watu wa iran kuwa nchi yao itakuwa huru hivi karibuni , asema wataishi nao kwa amani kama ilivyokuwa zamani Waziri Mkuu huyo amewaambia watu wa Iran wasiruhusu kikundi kidogo cha wabakaji kukandamiza matumaini yao na kuua ndoto zako. Ameongeza kuwa Watoto wa...
  13. MK254

    Wananchi zaidi ya 100,000 wa Lebanon waikimbia nchi, waingia Sysria kama wakimbizi

    Magaidi ya waislamu, Hezbollah inasababisha shida kubwa sana kwa wananchi wa Lebanon, na mbaya zaidi haya magaidi sio raia wa nchi hiyo, ni majitu yametokea huko mbali yamejawa na mzuka wa kiislamu wa kuua watu. ============= More than 100,000 people have crossed into Syria from Lebanon since a...
  14. K

    Tanzania imekuwa nchi ya kitoto toto! Hatuku makini kama zamani

    Tanzania ya sasa sio ile ya zamani. Pamoja na ukuaji wa habari na teknologia kuna ongezeko kubwa la watoto na vijana wengi. Umri wa kati Tanzania ni miaka 19. Tusishangae kuona wasanii wamejaa kwenye mikutano ni kwasababu yangu vijana wadogo. Kijana wa miaka 21 hawezi kujali katiba au kuelewa...
  15. Roving Journalist

    Rais Samia akishiriki kwenye Kikao cha Baraza la UWT Taifa Ukumbi wa Kanisa la Katoliki Bombambili Songea, leo Septemba 28, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi kwenye Kikao cha Baraza la UWT Taifa Ukumbi wa Kanisa la Katoliki Bombambili Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 28 Septemba, 2024. https://www.youtube.com/live/QeGkuTfuCOs?si=5KIOMJBOaZ3n3TPG
  16. mr pipa

    Huwezi pata watendaji wazuri ikiwa utaongoza kwa umungu mtu!

    Hiyi nchi sio kwamba viongozi walio chini ya uongozi mkuu hawawezi wajibika hapana isipokuwa mamlaka aliyopewa Raisi ni makubwa kuliko uhalisia au uwezo halisi. Mimi naamini tuna viongozi bora sana na wenye nia ya kujituma ila kwakuwa mkuu ndio mwenye mamlaka ya kila kitu kitachofuata utafanya...
  17. matunduizi

    Netanyahu aipiga mkwara mzito Iran na nchi zote za mashariki ya kati

    Anasema hakuna sehemu Iran na middle east yote ambapo mkono wa jeshi la Israel hauwezi kufika. My take Kuna haja ya Iran na wadau wake waweke tofauti zao na Israel pembeni. Maana Israel kwa sasa anaweza hata kuua nusu ya raia wa middle east na watu wote wakabaki wanamchekea. Hakuna mtu wa...
  18. T

    Kama taifa tuna mwongozo wa jinsi ya kulinufaisha taifa letu kwanza tuwapo nje ya nchi yetu!?

    Mataifa mengi sana yaliyo serious na maendeleo huwa walishawajengea watu wao wote kwamba ukiwa kwenye mataifa ya watu hakikisha kwa namna yoyote uwezavyo nufaisha taifa lako kwanza. Nakumbuka nimewahi kufanya kazi na makampuni kutoka Africa kusini yaani walikuwa kila kitu kinachotumika kwenye...
  19. G

    Kipimo cha uhuru wa kiimani ni namna dini yenye waumini wengi inavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti, ni neema tumezaliwa nchi iliyojaa wakristo

    Kipimo cha ubora wa dini ni namna unavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti na yako. Kama jirani yako anaabudu ng'ombe na hakubagui wala kukunyanyasa wewe unayemuabudu Jehova au Allah hakika huyo ni jirani mwema na bora zaidi ya wale wanaohubiri amani na upendo huku wanalazimisha sheria za...
  20. Eli Cohen

    Ukristo una miaka mingi ila ushawahi kusikia nchi inaitwa "The christian Republic of so and so"?

    Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating. Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu. Lina fukuza watu wasio wa kundi lao katika jamii zao ila jamii zao ziikishia kupata kash kash ziletazwo na watu wa kundi lao...
Back
Top Bottom