Maneno hayo yana ukweli mwingi. Kujua Katiba ya nchi yako ni muhimu sana kwa sababu:
Inakupa Ufahamu wa Haki Zako – Unapojua haki zako, huwezi kudhulumiwa kirahisi, na utaweza kuzitetea ipasavyo.
Unajua Wajibu Wako – Katiba siyo tu kuhusu haki, bali pia inabainisha majukumu yako kama raia...
Viongozi wa nchi za kiarabu waliokutana huko Cairo wamesema Gaza itajengwa kwa plani nzuri waliyokwisha kuibuni wakati wapalestina hao wakiwa humo humo ndani.
Raisi Elsisi ambaye mara nyingi ameonekana kama kibaraka mkubwa wa Marekani ameongoza kwa kutoa tamko kali akisema zaidi ya kuijenga...
Habari wadau
Nazani wote tunaona Trump anachofanya.
Trump mwenyewe ni tajiri kweli kweli kuanzia yeye mwenyewe, ukoo wao na mpaka familia yao wote ni matajiri kweli kweli.
Pia Trump anaongoza Taifa tajiri kweli kweli. USA ni taifa tajiri sana.
Pamoja na utajiri wote huo bado Trump ni...
Wana YANGA mpooo
Wana YANGA tumeamuaaa kumpongeza na kumwombea Mungu ambariki MH RAISI MAMA SAMIA HASSAN SULUHU WA Tanzania Mungu azidi kumlinda na kumbariki ampe nguvu ktk kuongeza MAENDELEO ya nchi yetu
Tar 8 MARCH...
Pamoja na hayo tumepanga kutembelea jamii mbalimbali kutoa misaada tar 7...
Norwegian fuel company Haltbakk Bunkers has announced it will cease supplying fuel to U.S. military forces in Norway and American ships docking in Norwegian ports, citing dissatisfaction with recent U.S. policy towards Ukraine...
Februari 28, 2025 Wakuu wa Umoja wa Ulaya wanamwambia Zelensky kwamba "hauko peke yako" baada ya kukashifiwa na Trump katika Ikulu ya White House
Wakuu wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen na Antonio Costa wanamhakikishia kiongozi wa Ukraine Volodymyr Zelensky uungwaji mkono usioyumba wa...
Top 10 African countries with the weakest currencies in Africa 2025
1)-São Tomé and Príncipe 🇸🇹 22,281.8 Dobra
2)-Sierra Leone 🇸🇱20,969.5 Sierra Leonean Leone
3)-Guinea 🇬🇳 8,626.3 Guinea Franc
4)-Uganda 🇺🇬 3,673.6 Ugandan Shilling
5)-Burundi 🇧🇮 2,954.3 Burundian
Franc
6)-Democratic...
Wakuu niko na obsession ya kusafiri kama wale youtuber shida sijapata company .
Au mtu mwenye hoby kama yangu.
So naishia kugairi kila mara
Imagine sijafika hata BURUNDI tu.
Kusafiri mwenyewe naona ni Risk sana hasa nchi za ugenini.
Tuanze na nchi za Africa kwanza
Mawazo tafadhari
Tarifa iliyopo huko X (Twitani) ni kwamba, muda wowote PK ataanza kuchezea vikwazo na ama kufurushwa kabisa ikuluni na hawa walezi wa dunia hii
Swali ni kwamba, nchi za Africa haziwezi kabisa kuadabishana mpaka tuingiliwe na watu dunia ya mbaali huko?
Kama ndivyo, Je, Africa inaouwezo sasa...
Wanafunzi 30 pamoja na Mwalimu mmoja wa Shule ya Sekondari, Tumaini Jema, iliyopo Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo baada ya jengo moja la darasa walilokuwa wakisomea kuanguka kutokana na upepo mkali.
Wanafunzi hao pamoja na Mwalimu wanaendelea kupatiwa matibabu katika...
Ina urefu wa Kilomita 12
Ina kituo kimoja cha polisi
Ina sehemu moja tu ya kupata huduma za mawasiliano
Ina bank moja tu
Ina hotel moja tu
Raia wake kwa sehemu kubwa wanafahamiana wote
Airport yake hutumika kwa football pia
Karibu Tuvalu
Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na "Indo-Pacific Center for Civil Society Resilience" jumla ya nchi 7 katika bara la Asia na Oceania (Indo - Pacific region) zilipitia changamoto ya kuzimwa kwa mtandao na kuminywa kwa Uhuru wa kujieleza Mtandaoni kwa mujibu wa ripoti ya "Freedom of the Net"...
Kila Kona Kuna biashara, watu wanahangaika sana kwa sababu ya pesa.
Halafu hiyo pesa wanatumia ikulipa ili waishi Katika sayari yao wenyewe.
Dunia imekuwa kama jenehamu, biashara zinahharibu radha ya jiji.
Mida ya saa moja kasoro robo, leo hii tarehe 24 Februari 2025, badhi ya wanajeshi wa SADC waliokuwa Goma, kwenye mission ya SAMIDRC, wamepitia mpaka mkubwa wa Goma na Rubavu, wakirudi makwao.
Ni baada ya kuwepo DRC kulisaidia jeshi la serikali ya Congo (FARDC) kukabiliana na kundi la M23...
Hawa watu ni wahuni wameshawapiga watz wanataka kusepa na pesa sasa.
Meneja wao huo hapa anaitwa Emily yupo Uingereza +44 7429 429168.
Ukiangalia list ya makampuni ya Uingereza hii kampuni haipo.
Ukiingia google ukasearch scarm company imo so iliwezekanaje hawa wahuni kupewa vibali vya kufanya...
Wadau hamjamboni nyote?
Lebanon imechoshwa na vita vya nchi nyingine
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
February 23, 2025
Lebanese president tells Iranian parliament speaker: Country is ‘tired of others’ wars’
Lebanese President Joseph Aoun tells Iranian Parliament Speaker Mohammad...
Ni wakati wa kuwakataa viongozi wa ccm kwa miaka 63 ya uhuru watanzania wametufanya kuwa wajinga huku wao na familia zao wakiishi maisha mazuri na yenye amani.
Viongozi wa ccm wamefikia hatua ya kuona bila kupigiwa kura wanaamini watakuwa viongozi
Tanzania ina madini lukuki maziwa na mito lakini...
Walipokutana viongozi wa mataifa ya kiarabu hapo juzi na kukataa mpango wa raisi Trump wa kuwahamisha wapalestina na kuimiliki Gaza kumeivunjia heshima pakubwa taifa la Marekani.
Tukio la hapo juzi lina sura kama ndio mara ya mwanzo kwa mataifa hayo kupingana na mipango inayotoka nchi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.